Ndio maana huwa tunasema chanzo cha kwanza kabisa cha ulimwengu hakiwezi kuwa na mwanzo.
If nothing comes from nothing.
Hata hicho chanzo cha kwanza cha ulimwengu, Hakiwezi kukwepa kanuni hii.
Hicho chanzo cha kwanza cha ulimwengu hakiwezi kutokea tu from nothing.
Kama chanzo cha kwanza cha ulimwengu kinaweza kukwepa kanuni hii ya "
nothing comes from nothing" Basi hata Ulimwengu wenyewe unaweza kukwepa kanuni hii.
Na ulimwengu ukawa ndio mwanzo wenyewe. Bila kuhitaji chanzo kingine.
Lakini tukisimama kwenye kanuni hii ya
nothing comes from nothing . Tunarudi kule kwenye infinite regress of causes.
An infinite regress of causes is an endless chain of events where every cause has its own prior cause going back forever. There is no first event, no start, and no uncaused beginning.
Ambapo, Hapapaswi kuwa na chochote kilicho anza chenyewe tu, from nothing.
Hivyo kutakuwa na msururu mrefu wa vyanzo vingi visivyokuwa na mwisho. Pasipo ku stop!
Kinapaswa kuwa kitu chenye nguvu ambacho hakijaumbwa, hakijazaliwa, na kiko nje ya muda na nafasi.
Hata Ulimwengu si lazima uwe umeumbwa.
Na wala ulimwengu hauhitaji kuumbwa.
Lakini kama ni lazima ulimwengu uwe uliumbwa, Hata huyo muumbaji wa ulimwengu atahitaji kuumbwa.
Na huyo muumbaji wa muumba ulimwengu atahitaji kuumbwa.
Patakuwa tena na msururu mrefu wa waumbaji wengi, pasipo kukoma.
Kama kuumbwa ni lazima basi ulazima huu itabidi u-apply kwa kila kitu. Including huyo muumbaji mwenyewe.
Kumu exclude huyo muumbaji kwenye "ulazima wa kuumbwa" halafu kufosi vitu vingine viwe viliumbwa ni kufanya logical fallacy inaitwa
special pleading fallacy.
The special pleading fallacy happens when someone applies a general rule to everyone else, but claims an unjustified exception for themselves or their topic. It relies on a double standard and changes the criteria mid-argument without a valid reason.
Kwa hiyo kama kuumbwa ni lazima. Basi ulazima huu ni kwa kila kitu. Pasiwepo chochote kile kilicho exist chenyewe bila kuumbwa. Including huyo muumbaji.
Wewe ndio ulikuwa unalazimisha kila kitu lazima kizaliwe na mwanamke!
Binadamu ndio anazaliwa na mwanamke.
Viumbe wengine vinazalina vyenyewe.