Je, Kulikuwa na Machafuko Kabla ya Mwanadamu?

Je, Kulikuwa na Machafuko Kabla ya Mwanadamu?

Kama Hadithi za sungura na fisi tunazisoma na kuzijadili, why tusijadili hizi unazoita stori uchwara?
Unataka kujadili hadithi za uongo zilizojaa logical contradictions kutafuta ukweli wakati tayari hadithi hizo ni uongo?

Wewe unataka kutafuta ukweli kwenye uongo.
 
Nimeelewa na alternative ya jibu langu ni 50% kwamba hakuoa ndugu kwasababu sina uhakika kimaandishi kama wewe ambavo hauna uhakika kuhusu kuoa ndugu yake ndomana nikasema 50%, kwani hata wewe umefanya deductive logic
Adamu na Hawa ndio wanadamu wa kwanza kabisa na walizaa watoto, ukisema mke wa Kaini hakutoka kwenye hao watoto, hiyo 50% yako unaiweka wapi?

Ili useme 50/50 lazima kuwe na machaguo mawili yanayowezekana, njia mbadala ya Kaini kutooa ndugu yake ni ipi? Give me one logical alternative, sihitaji mambo ya asilimia hapa.
 
Naheshimu reply yako hvyo ningependa kuona ukichangia kuhusu mada iliopo juu sio vingenevyo vitakavyo zua mabishano yaliyopo nje ya mada.
Hapa ni public forum.

Ukishaweka mada yako hapa huwezi kupangia mtu namna ya kuchangia.

Hapa ni open forum, mtu anaweza kuchangia chochote.

Hapa si kanisani au msikitini ambapo utapenda kusikia yale tu ya imani yako.
 
Tuna socialize
Ndio maana nasema hizo hadithi za Biblia ni hekaya za kutungwa zisizo na ukweli wowote ule.

Ni hadithi za kutungwa tu, sawa na hekaya za Abunuwasi, Hadithi za Esopo na hadithi za Kalume kenge.
 
Ndio maana nasema hizo hadithi za Biblia ni hekaya za kutungwa zisizo na ukweli wowote ule.

Ni hadithi za kutungwa tu, sawa na hekaya za Abunuwasi, Hadithi za Esopo na hadithi za Kalume kenge.
Wewe unafikiri kwa nini zilitungwa?
 
Adamu na Hawa ndio wanadamu wa kwanza kabisa na walizaa watoto, ukisema mke wa Kaini hakutoka kwenye hao watoto, hiyo 50% yako unaiweka wapi?

Ili useme 50/50 lazima kuwe na machaguo mawili yanayowezekana, njia mbadala ya Kaini kutooa ndugu yake ni ipi? Give me one logical alternative, sihitaji mambo ya asilimia hapa.
Mkuu usitumie general understanding yako kama conclusion kwa mitazamo mingine.
Mimi naweza ongelea mtazamo tofauti kabsa.

Mtazamo wa kawaida Adamu alikuwa mtu mmoja wa kwanza, pamoja na Hawa ambapo wote tumeamini hivi.

Mtazamo wa hypothesis mwanadamu wa Mwanzo 1 anaweza kuchunguzwa kama kundi/idadi ya wanadamu, huku Adamu wa Mwanzo 2 akiwa mtu maalum ndani ya maandiko kwasababu hakuna sehemu walipo andika aliumbwa mwanadamu mmoja tu.
 
Naona unajiandikia vihadithi vyako vya kubuni, havina logic yoyote, kama kulikuwa na kundi la watu wengine duniani, kwa nini Kaini alipomwua Abeli alifukuzwa na Mungu akawa analalamika kuwa atakuwa mtoro na kuzurura duniani kwa ukiwa?
 
Je watungaji wamefanikiwa lengo lao?
Wamefanikiwa kwa kiasi fulani.

Wamefanikiwa kupumbaza watu wengi hasa waafrika wasiotaka kutumia akili zao kufikiri wanabaki kuaminishwa ujinga.

Kuna mazuzu mpaka leo hii, karne ya 21 wanaamini kuna maisha bora baada ya kufa.

Hawapambani wawe na maisha bora hapa duniani. Wanasubiri maisha ya kufikirika huko mbinguni.

Maandiko ya kidini, Biblia ikiwemo imechangia pakubwa kuwapumbaza.
 
Yeap let dive in mkuu
Sawa kimsingi kuna tafsiri inadai hivyo lakini ni muhimu kutenganisha na kile ambacho maandiko yenyewe yanasema.
Tukianzia na wazo la Gap theory kwendana na hiyo mwanzo 1:2 inasema kulikuwa na kipindi kirefu ambacho kitu kilitokea kwa mfano uasi wa viumbe wa kidogo na dunia ikawa ukiwa.

Kwa baadhi ya wanaoitafsiri hudhani uumbaji ulianza kwanza kisha tukio la uharibifu alafu ndiyo dunia kuwa ukiwa na tupu (tohu wabohu) mwishowe Mungu kuipanga upya. Lakini ni interpretation si jambo ambalo Mwanzo 1:2 inalielezea moja kwa moja.

Biblia inazungumzia viumbe wa kiroho na uasi wa shetani katika sehemu mbalimbali nafikiri hapa rejea hata kitabu cha Ufunuo wa Yohana 12:7 lakini sasa kwa bahati mbaya hainganishi waziwazi uasi huo na Mwanzo 1:2 ndiyo maana bado haijathibitishwa kuwa kulikuwa na viumbe wakaharibu dunia .

Hilo haijathibitishwa na maandiko yenyewe ila zinabaki kuwa nadharia tu brother.
 
Wamefanikiwa kwa kiasi fulani.

Wamefanikiwa kupumbaza watu wengi hasa waafrika wasiotaka kutumia akili zao kufikiri wanabaki kuaminishwa ujinga.

Kuna mazuzu mpaka leo hii, karne ya 21 wanaamini kuna maisha baada ya kufa.

Hawapambani wawe na maisha bora hapa duniani. Wanasubiri maisha ya kufikirika huko mbinguni.

Maandiko ya kidini, Biblia ikiwemo imechangia pakubwa kuwapumbaza.
Aisee, ukweli ni upi sasa?
 
Naona unajiandikia vihadithi vyako vya kubuni, havina logic yoyote, kama kulikuwa na kundi la watu wengine duniani, kwa nini Kaini alipomwua Abeli alifukuzwa na Mungu akawa analalamika kuwa atakuwa mtoro na kuzurura duniani kwa ukiwa?
Ooh Well nilitaka tufikie hapa . kama nimetunga hii theory same applies to you mana hata wewe hujanipa hiyo conclusion ya moja kwa moja kwamba aliona dada yake au mdgo ake , wote tumefanya conclusion ambayo haipo popote tumetumia common sense kwahiyo hauna haki yakusema kwamba mimi sipo sahihi na wewe upo sahihi.
 
Back
Top Bottom