Je, Kulikuwa na Machafuko Kabla ya Mwanadamu?

Je, Kulikuwa na Machafuko Kabla ya Mwanadamu?

Hatuongelei mambo ya Abraham mkuu tupo kwa kaini kuoa ndugu yake
Umesema hakuna taarifa ya ndugu kuoana.
Kama Ibrahim ambae alikuja baada ya Kaini, alimuoa dada yake inashindikanaje kwa Kaini kumuoa dada yake?
 
Hakutoka mahali.

Alikuwa hapahapa ulimwenguni.

Na alizaliwa na Mama yake pia.

Kila mtu hapa ulimwengu alizaliwa na Mama yake.

Watu wanazaliwa Milele na Milele.
Kwa hiyo hakuna chanzo.
Je wanavyosema dunia ina bilions of years ni kweli?
 
Unaandika maelezo marefu sana ila haujibu unacho ulizwa.

Unajua maana ya deductive logic?
Nmekujibu mda sana, maana ake unatoa hitimisho kulingana na taarifa au kanuni zilizopo ndomana nmeuliza je kunataarifa yoyote au kanuni iliyo sema ndugu walikua wanaolewa hapo kabla, kwahyo kaini nae alioa ndugu kwa sababu hyo ?
 
Bado haimake sense mkuu hizo ni perception zako lakini hakuna direct proof kwamba alioa ndugu, bado Kuna vitu vingi huvijui naweza kusema hvo
Shikilia hapo kwanza
Kwasababu kaini na ABEL Ndo watoto wa Kwanza na ukiisoma Biblia vizuri inaonekana aidha Kuna vitu vingi vimefichwa?
 
Hakutoka mahali.

Alikuwa hapahapa ulimwenguni.

Na alizaliwa na Mama yake pia.

Kila mtu hapa ulimwengu alizaliwa na Mama yake.

Watu wanazaliwa Milele na Milele.
Dah! Kweli JF kuna mambo. Sasa kama kila mtu alizaliwa na mama yake tangu milele na milele, ina maana hao akina mama walikuwa wanaishi kwenye hewa tupu kabla ya dunia kuwepo?

Inshort, hoja yako inapingana na akili ya kawaida tu.
 
Dunia haijawahi Kutokuwepo.

Dunia imekuwepo milele.

Na binadamu wanazaliana milele.

Huelewi nini?
 
Umesema hakuna taarifa ya ndugu kuoana.
Kama Ibrahim ambae alikuja baada ya Kaini, alimuoa dada yake inashindikanaje kwa Kaini kumuoa dada yake?
Mkuu umefwatilia vizuri nmesema hizo taarifa hazikuwepo kipindi cha kaini au kabla ya kaidi sizungumzii Habari ya Abraham hapa, au mambo yaliyo tokea baada ya kaini nazungumzia life time ya kaini
 
Nmekujibu mda sana, maana ake unatoa hitimisho kulingana na taarifa au kanuni zilizopo ndomana nmeuliza je kunataarifa yoyote au kanuni iliyo sema ndugu walikua wanaolewa hapo kabla, kwahyo kaini nae alioa ndugu kwa sababu hyo ?
Kanuni ya kwanza kabisa ya Mungu tangu uumbaji ni zaeni mkaongezeke mkaijaze dunia.

Hiyo ndiyo kanuni kuu, na ili uijaze dunia ukiwa na watu wawili tu na watoto wao, njia pekee ya kibiolojia inayowezesha hiyo kanuni kutimia ni watoto wao kuoana.

Sheria ya kuzuia ndugu kuoana isingewezekana kipindi hicho kwa sababu isingetekelezeka hilo agizo. Sijui huelewi nini wakati kwa akili ya kawaida tu kila kitu kiko open.
 
Mkuu umefwatilia vizuri nmesema hizo taarifa hazikuwepo kipindi cha kaini au kabla ya kaidi sizungumzii Habari ya Abraham hapa, au mambo yaliyo tokea baada ya kaini nazungumzia life time ya kaini
Wewe unabisha na hujui lolote.
Kama kuna ushahidi wa Ibrahim kumuoa dada yake.
Unataka uthibitisho gani kwa kaini kumuoa dada yake? Otherwise sema wewe alimuoa mtoto wa mzee nani.
 
Dunia haijawahi Kutokuwepo.

Dunia imekuwepo milele.

Na binadamu wanazaliana milele.

Huelewi nini?
Hii nadharia yako ya steady state Theory kwamba ulimwengu hauna mwanzo ilishapitwa na wakati na ikatupwa kule tangu miaka ya 1960 baada ya kugundulika kwa cosmic microwave background radiation.
 
Kanuni ya kwanza kabisa ya Mungu tangu uumbaji ni zaeni mkaongezeke mkaijaze dunia.

Hiyo ndiyo kanuni kuu, na ili uijaze dunia ukiwa na watu wawili tu na watoto wao, njia pekee ya kibiolojia inayowezesha hiyo kanuni kutimia ni watoto wao kuoana.

Sheria ya kuzuia ndugu kuoana isingewezekana kipindi hicho kwa sababu isingetekelezeka hilo agizo. Sijui huelewi nini wakati kwa akili ya kawaida tu kila kitu kiko open.
Huyo jamaa either kamezeshwa vitu havijui or anafanya kusudi kubisha ili kuendeleza mjadala.
 
Wewe unabisha na hujui lolote.
Kama kuna ushahidi wa Ibrahim kumuoa dada yake.
Unataka uthibitisho gani kwa kaini kumuoa dada yake? Otherwise sema wewe alimuoa mtoto wa mzee nani.
Yupo kubishana tu, facts tumempa za kutosha bado anazunguka zunguka na blah blah ambazo hata hazieleweki.
 
Wewe unabisha na hujui lolote.
Kama kuna ushahidi wa Ibrahim kumuoa dada yake.
Unataka uthibitisho gani kwa kaini kumuoa dada yake? Otherwise sema wewe alimuoa mtoto wa mzee nani.
Wewe ni mmoja wapo ulie rukia gari kwa mbele hivi unaelewa nini msingi wangu wa kutaka uthibitisho wa maandiko ?
 
Huyo jamaa either kamezeshwa vitu havijui or anafanya kisudi kubosha ili kuendeleza mjadala.
Sahihi kabisa, hakuna haja ya kuendelea na huu mjadala, maana hata anachokipinga hakijui, ni kama kuna sehemu tu anacopy maelezo kwa ajii ya kubishana tu.
 
Wewe ni mmoja wapo ulie rukia gari kwa mbele hivi unaelewa nini msingi wangu wa kutaka uthibitisho wa maandiko ?
Hakuna anaerukia gari kwenye jukwaa huru, ungemtumia pm
Hakuna msingi wowote ulioujenga kama hoja badala yake unabisha bila fact.
 
Kwa hiyo hakuna chanzo.
Kama kila kitu kilichopo lazima kiwe na chanzo, Hata chanzo cha kila kitu kitahitaji kuwa na chanzo chake kingine.

Hivyo kutakuwa na msururu mrefu wa vyanzo vingi visivyokuwa na mwisho.

Hii inaitwa infinite regress of causes.

An infinite regress of causes is an endless chain of events where every cause has its own prior cause going back forever. There is no first event, no start, and no uncaused beginning.

Pasiwepo kitu chochote kile kilicho exist chenyewe tu bila chanzo.

Na kama si lazima kwamba kila kilichopo kinahitaji kuwa na chanzo, Hata Ulimwengu na vyote vilivyomo except man-made things, Havina na wala havihitaji kuwa na chanzo.
Je wanavyosema dunia ina bilions of years ni kweli?
Sikweli.

Ni makisio na makadirio tu.

Kwa sababu hakuna aliye hesabu hizo billion years.

Ni watu tu walikisia.
 
Back
Top Bottom