verify
JF-Expert Member
- Dec 31, 2024
- 1,295
- 3,087
- Thread starter
- #21
Tusitumie one single driven qn kuconclude hii maada mkuu twende all the way vipi kuhusu perception na overview kuhusu huo mstari wa mwanzo 1:2 ambao ndo msingi wa majadalaKama Adamu na Hawa walikuwa chanzo cha wanadamu wote, basi
Kaini alimuoa mmoja wa binti za Adamu na Hawa—yaani dada yake.
Mungu alikuja kukataza hilo baadae kwenye walawi 18.