Je, Kulikuwa na Machafuko Kabla ya Mwanadamu?

Ooh Well nilitaka tufikie hapa . kama nimetunga hii theory same applies to you mana hata wewe hujanipa hiyo conclusion ya moja kwa moja kwamba aliona dada yake au mdgo ake , wote tumefanya conclusion ambayo haipo popote tumetumia common sense kwahiyo hauna haki yakusema kwamba mimi sipo sahihi na wewe upo sahihi.
Madudu yote haya umeandika lakini haujajibu chochote kwenye hoja yangu, na hiyo ni kwa sababu hauna hoja yoyote yenye mantiki kupingana na hoja zangu.
 
Aisee, ukweli ni upi sasa?
Ukweli ni kwamba maandiko yote ya Kidini; BIBLIA, QURAN, TORAH, THE VEDAS, TRIPITAKA, THE KOJIK, THE GURU GRANTH SAHIB, RASTAFAR BIBLE na mengineyo yote.

Ni vitabu vya kutungwa na kuandikwa na binadamu wala sio vitabu vya Mungu.

Hakuna Mungu.

Maandiko yote yanayodaiwa kwamba ni ya Mungu, Sikweli ni uongo mtupu.

Ni maandiko ya kibinadamu tu. Yaliyo andikwa na binadamu.

Na kila mtu anajaribu kutetea andiko lake ambalo aliaminishwa na kupumbazwa tangu utotoni.

Lakini, ukweli ni kwamba, hakuna andiko lolote la Mungu.

Mungu hayupo.
 
Ukiachana na dhana za Ki biblical

Dunia Kamwe isingekuwa smooth... Kuna nyakati, kuna hurricanes, kuna tectonic movements.. Kuna vitu vingi tu vya kusababisha machafu ko na hata kiumbe asihusike

Mm naona dini zimewaharibu watu wengi sana
 
Ukweli ni kwamba maandiko yote ya Kidini; BIBLIA, QURAN, TORAH, THE VEDAS, TRIPITAKA, THE KOJIK, THE GURU GRANTH SAHIB, RASTAFAR BIBLE na mengineyo yote.

Ni vitabu vya kutungwa na kuandikwa na binadamu wala sio vitabu vya Mungu.

Hakuna Mungu.

Maandiko yote yanayodaiwa kwamba ni ya Mungu, Sikweli ni uongo mtupu.

Ni maandiko ya kibinadamu tu. Yaliyo andikwa na binadamu.

Na kila mtu anajaribu kutetea andiko lake ambalo aliaminishwa na kupumbazwa tangu utotoni.

Lakini, ukweli ni kwamba, hakuna andiko lolote la Mungu.

Mungu hayupo.
Ok.
Kwa hiyo nani alimuumba mwanadamu?
 
Madudu yote haya umeandika lakini haujajibu chochote kwenye hoja yangu, na hiyo ni kwa sababu hauna hoja yoyote yenye mantiki kupingana na hoja zangu.
Hujakubali tangu mwanzo nlipo kuulza hiyo point yako imeendikwa wapi kama alioa ndugu ? Ukasema ni deductive logic sasa inakuaje tena deductive yako ionekane perfect kuliko ya mtu mwingine? Wakati huo hakuna maandishi ya moja kwa moja juu ya hizo deductive zote mbili , au unataka niseme Sawa uko sahihi wakati ulicho andika hakina ushahidi 100% kama ni kweli au sio kweli ?
 
Ok.
Kwa hiyo nani alimuumba mwanadamu?
Binadamu hawaumbwi na wala hatukuumbwa.

Binadamu wanazaliwa kwa kuzaliana wenyewe kwa wenyewe.

Hata wewe hukuumbwa.

Mama yako alikuzaa.

Hakuna aliyeumbwa.

Kila mtu alizaliwa.
 
I mean source.
 
Hujakubali tangu mwanzo nlipo kuulza hiyo point yako imeendikwa wapi kama alioa ndugu ? Ukasema ni deductive logic sasa inakuaje tena deductive yako ionekane perfect kuliko ya mtu mwingine? Wakati huo hakuna maandishi ya moja kwa moja juu ya hizo deductive zote mbili , au unataka niseme Sawa uko sahihi wakati ulicho andika hakina ushahidi 100% kama ni kweli au sio kweli ?
Hivi unajua maana ya deductive logic kweli au unalitumia tu hilo neno kwa sababu nimekutajia?

Kama haujaelewa hoja zangu ni wazi hujui kusoma kwa ufahamu, na unasoma ili ubishane siyo kueleweshwa uelewe.
 
Bado haimake sense mkuu hizo ni perception zako lakini hakuna direct proof kwamba alioa ndugu, bado Kuna vitu vingi huvijui naweza kusema hvo

Sheria ya kuoa haikuharamisha kuoa ndugu. Walioana wenyewe kwa wenyewe.

Mbona Ibrahim alimuoa Sarah nduguye?
 
Binadamu hawaumbwi na wala hatukuumbwa.

Binadamu wanazaliwa kwa kuzaliana wenyewe kwa wenyewe.

Hata wewe hukuumbwa.

Mama yako alikuzaa.

Hakuna aliyeumbwa.

Kila mtu alizaliwa.
Huyo mtu wa kwanza kabisa alizaliwa na nani?
 
Hivi unajua maana ya deductive logic kweli au unalitumia tu hilo neno kwa sababu nimekutajia?

Kama haujaelewa hoja zangu ni wazi hujui kusoma kwa ufahamu, na unasoma ili ubishane siyo kueleweshwa uelewe.
Umeamua kutumia profanity (hujui kusoma kwa ufahamu) nisinge penda kujibu hyo part lakini kama ni hivo sidhani hata wewe kama unaelewa deductive logic kwasababu hakuna taarifa iliopo kabla inayo sema ndugu walikua wakiolewa kwa hyo umetumia kanuni hyo kuhitimisha , hakuna kanuni kama hyo kabla kwa kipindi cha adamu . Kwahyo wrong interpretation ya deductive logic ilianza kwako.
 
Mwanzo 20:12
 
Unaandika maelezo marefu sana ila haujibu unacho ulizwa.

Unajua maana ya deductive logic?
 
Umeamua kutumia profanity (hujui kusoma kwa ufahamu) nisinge penda kujibu hyo part lakini kama ni hivo sidhani hata wewe kama unaelewa deductive logic kwasababu hakuna taarifa iliopo kabla inayo sema ndugu walikua wakiolewa kwa hyo umetumia kanuni hyo kuhitimisha , hakuna kanuni kama hyo kabla kwa kipindi cha adamu . Kwahyo wrong interpretation ya deductive logic ilianza kwako.

Sasa mkuu wewe biblia imesema mtu wa kwanza ni Adamu, kisha mkewe Hawa.

Kipi hukielewi kwamba Watoto walikuwa wanaooana wao kwa wao?

Ingesema watu wengine waliumbwa mahali pengine tungesema kuna hoja ipo.
Lakini filamu au riwaya imeanza bayana kwamba dunia ilikuwa kimya, tupu na ukiwa. Hapakuwa na chochote.

Haya kuna Agizo viumbe akiwemo Adamu waliagizwa wazae wakaongezeke waijaza dunia.
Sasa unapouliza watu wengine walitoka wapi huoni jibu lipo hapohapo kwenye Agizo alilopewa Adamu?
 
Back
Top Bottom