Asha Abdala
JF-Expert Member
- Mar 21, 2007
- 1,130
- 44
Du kaazi yaani kweli kweli!
Dawa ya deni ni kulipa tu!
Huwezi kulipa deni ambalo kiasi unachodaiwa kimekosewa. Lazima kusubiri mahakama iamue kwanza kwa haki. Lakini alikopa milioni 15 na ameshalipa zaidi ya milioni 50. Sasa angalia sheria, kesi ikienda mahakamani riba ni asilimia ngapi? Halafu utajaza kwamba hata kama akishindwa kesi anawajibika kulipa bei gani. Na ni fedha ambazo kwa mtu kama yeye sidhani kama anashindwa kuzilipa. Ila kiongozi wa upinzani anayesimamia haki hawezi kukubali haki yake mwenyewe ikaporwa.
Asha