Mwafrika wa Kike
JF-Expert Member
- Jul 5, 2007
- 5,185
- 65
My point is, NSSF ndio mara zote wamekwenda mahakamani kucheleweshwa kulipwa. Kesi ya msingi ilifunguliwa na NSSF sio Mbowe.
Hebu kasome sheria zetu jamani zimeeleza wazi kuhusu kiwango cha riba cha mahakama
Asha what is your point haswa. Let match apple kwa apple and not orange kwa apple. Kesi yoyote inayodeal na promise especial kwenye swala la contract, jaji is requred to enforce contract as long as contract doesn't includes any fraud deal. Kama tungekuwa na Usury Act which prohibit lending at high rate that should be another case.
Lakini at this moment, Mr.Mbowe wasn't even supposed to show up at the court, sababu there is no arguments he can create. The contract bound the promise. Do you need to be profesional in business Law to know that?
Advise yangu ni kwamba Mbowe akae chini na NSSF then anegosiate deal. Lakini kusema sijui mbona kesi ya Mrema haisikilizwi sijui mbona nini doesn't play part in this argument. Let finish this first, and then we will start about Mrema and court system.
I dont see how personal attack will help us, jamani tu create arguments na sio kusema nani anatumia log on gani. I think it isridiculous because it is irrelevant to the topic.
Please let us create arguments, and not speculate things without facual data. Our time is short and we have more to cover. Peace!
GREAT ! Nadhani kama wengi watakuwa na mtazamo kama wako nafikiri tutapiga hatua na hii ishu itakuwa solved huku tukikata ishu nyingine lakini watu wanajifanya kama mbowe asihojiwe ndio kitu kinachokwamisha hii thread kuwepo hapa na nadhani itakuwepo as long as it can hadi atakapotoa maelezo sahihi !
hizi ndizo hoja zisizo na mguu wala kichwa, nani kakataa Mbowe asihojiwe hapa? Hakuna mtu anayeogopwa hapa kama watu wanamsema Rais wao kwa uhuru Mbowe ni nani asihojiwe. Tatizo linakuja pale ambapo watu wanatunga story na kuzilazimisha alimradi tu ili ionekane Mbowe ahojiwe au mtu mwingine vile vile.
Mtu kaja na kusema "Mbowe kafeli mtihani" watu na akili zao timamu wanarukia na kuanza kurusha madongo ya mtu aliyefeli; mtu kaja na taarifa "Mbowe Kaifisili NSSF" watu na akili zao wanarukia na kusema Mbowe arudishe mkopo yaishe! Lakini hakuna anayejiuliza ni lini walisikia NSSF imefilisika!
Watu wanakimbilia na kusema "arudishe mkopo bwana" kwani huu ni mkopo wa gengeni? Huu si mkopo wa Juma kwenda kwa Marko ambapo mtu anasema "nikopeshe shilingi 1000 bwana nitakulipa"! Mkopo huu una masharti na vipengele kibao na kama mtu anafikia mahali mkopo haulipiki mtu anahaki ya kunegotiate terms za mkopo huo.
Hivi sasa tunasikia kuhusu matatizo ya mikopo ya nyumba Marekani hadi watu wanaanza kunyang'anywa nyumba zao, mabenki na serikali si wangeacha tu watu wafikishane mahakamani? Lakini kwa nini leo wanahangaika kuwasaidia na mikopo hiyo? Hata wale wenye mikopo ya elimu, au mingine kuna wakati inabidi mtu azungumze na chombo kilichomkopesha kujadiliana nao kupunguziwa riba n.k Hii yote ni sehemu ya uwajibikaji katika kukopo.
Je mtu kuchelewa kurudisha mkopo ni jambo geni? La hasha isipokuwa katika nchi ya kufikirika. Tanzania ilikuwa na madeni hadi tukapiga magoti kuomba yasamehewe kwa maana hayalipiki! Kama mtu umekopa mkopo wa biashara, na ile biashara haiendi unavyotaka wewe au hailipi kiasi cha kukuachai faida ya kutosha kuweza kulipa mikopo yako, unayo haki ya kukaa chini na taasisi yako ya fedha kufanya tathmini.
Lakini wajenga hoja wa hapa wao wamesikia "Mbowe anadaiwa" wao wanakurupuka na kuaanza kutoa laana na kuona kuwa mbowe naye ni fisadi. Wanachoshindwa kukiri ni kuwa Mbowe kafikishwa mahakamani, na hata kama anataka kulipa haendi kulipa hadi mahakama itoe uamuzi wake. Sasa kama Mahakama ingekuwa imesema Mbowe ana makosa na afilisiwe au alipe mkopo huo kwa masharti x,z na Mbowe akakataa kulipa au akapoteza na rufaa basi sisi sote tungeshangaa kwanini serikali imeshindwa kumchukulia hatua. Sasa mtu anayefuata mfumo wa mahakama katika kesi ambayo imefunguliwa na mtu mwingine anaitwa fisadi, je wale wanaofanya maamuzi kana kwamba hakuna mahakama tuwaitaje?
I understand kuna karaha fulani ka kuonesha Mbowe, Mrema, Mtikila, Lipumba n.k kuwa na wenyewe mafisadi na hivyo CCM waweze kujisikai "sisi siyo mafisadi peke yetu"; sasa hiyo ni hoja isiyo na kichwa kwani angalau onesha basi ufisadi wenyewe usipachike ufisadi!
Well, nikuulize kosa la Mbowe ni lipi katika hili? Kuchukua mkopo, kushindwa kulipa mkopo, kugoma kulipa mkopo, kuchelewa kulipa mkopo, kusubiri amri ya mahakama, n.k ? Ni nini hasa kosa lake kwa mujibu unavyoelewa wewe maana nimeiangalia mada hii tangu mwanzo ilipopachikwa hadi hivi sasa sijaona hoja hasa ya kosa la Mbowe ni lipi? Naomba unifahamishe maana naona mwenzangu umelijua hasa kosa lake. Ukiweza kunishawishi na mimi nitakuunga mkono kutaka Mbowe arekebishe kosa hilo bila kupatwa na kigugumizi.

Bw. Mbowe lazima atakuwa na kosa kama ulivyoyataja hapo juu! Sasa ni yeye mwenyewe ambae anaweza kuwa na jibu sahihi kwa nini alishindwa kulipa mkopo kwa wakati.Well, nikuulize kosa la Mbowe ni lipi katika hili? Kuchukua mkopo, kushindwa kulipa mkopo, kugoma kulipa mkopo, kuchelewa kulipa mkopo, kusubiri amri ya mahakama, n.k ? Ni nini hasa kosa lake kwa mujibu unavyoelewa wewe maana nimeiangalia mada hii tangu mwanzo ilipopachikwa hadi hivi sasa sijaona hoja hasa ya kosa la Mbowe ni lipi? Naomba unifahamishe maana naona mwenzangu umelijua hasa kosa lake. Ukiweza kunishawishi na mimi nitakuunga mkono kutaka Mbowe arekebishe kosa hilo bila kupatwa na kigugumizi.
Inawezekana nia na madhumuni ya kuanzisha JF yalikuwa ni mazuri (labda?), lakini huu uharamia wa kila mwenye fedha kuanzisha chombo cha chake cha habari kwa ajili ya maslahi binafsi inanipa wasiwasi mkubwa kabisa kwamba hata hapa JF kuna 'mkono wa mtu' unatumia nguvu ya fedha kwa maslahi binafsi. Fuatilia uchangiaji wa thread hii, tatizo lipo kwa Bw. Mbowe lakini tunatakiwa tumuone kuwa hajakosea. Huyu ni kiongozi wa chama cha siasa ambaye amekuwa akiwania nafasi ya juu kabisa ya uongozi wa nchi yetu, leo hii kuna hoja ya msingi mnataka kutuambia hilo ni suala dogo, ina maana kuna fisadi malaika na fisadi shetani? We need to know kwanini huyu mheshimiwa si mwaminifu na mwadilifu.
Si dhambi kuhoji yanayomhusu Mbowe.
PUNDAMILIA.
Hilo halina shaka kabisa, JF ni tawi la Chadema nimetoa mifano mingi ila mchukulie mtu kama KITILA MKUMBO (ASHA ABDALA)ameamua kuingia na jina hilo na kusema kuwa anatoka JANG'OMBE Zanzibar.
uongo wake uko wazi kabisa hakuna mtu anayetoa Zanzibar anaitwa ASHA ABDALA always ni ABDALLAH AU ABDULLAH.
watu kama hawa kila siku hawaishi kulalamika kuwa JF heshima yake itapungua huku wapunguzaji ni wao.
kwani JF ni nini kwangu is nothing labda Chadema kwa vile ni tawi lao ndio wanalia na heshima.
Kitila heshima haiji JF kama mwenyekiti wako kuwa mtoro wa shule,mwizi akikopa halipi,ukimdai anataka mwende mahakamani ili ukutane na mahakimu toka mlima (kina LYIMO)wakupige chini, nani hajui kilio walichokitoa kina Phillimon Mikael kulilia DPP awe toka Kilimanjaro?
nani hajui kuwa siku JK akipiga rungu lake pale TRA na kuwafagia kila KITILYA si KITILA WA JF basi Mbowe akakufa kwa pressure ya mideni yake TRA.
MBOWE ameingiza magari toka UK na kuomba asamehewe ushuru wakati sheria inasema kuwa gari linalopata msamaha ni lile lililotumiwa na mhusika (mwanafunzi) kwa miaka miwili kabla ya kuingia nchini. bwana Mbowe hajakaa UK zaidi ya miaka miwili na si Mwanafunzi halali bado kaingiza magari bila ushuru.
mambo mazuri haya mzee !!
Haya Mbowe kutetewa hapa JF mpaka mwisho!Nyie mlioko hapa JF muwaseme,muakashifu wanasisa wote hapa JF lakini Mbowe NOOOOOOOO!NO!NOOO!Yapo masjeshi yake hapa!!
Lilian Mbowe katoa macho kama mjusi.jee huyu daktari ataacha kuiba figo za wagonjwa Muhimbili na kwenda kuziuza INDIA?
Wenzetu hawana aibu kwenye kutafuta. nimeshangaa kuwa alifikishwa mahakani lakini hawataki kulipa deni.
Mwanakjj mtizame mama yenu.
http://www.newhabari.com/mtanzania/
hivi mwana CCM anaposhinda kila kukicha kwenye "Tawi la Chadema" na akiitwa kwenye kwenye tawi lao hataki, na anashindwa kuanzisha tawi lao mtu huyo tumuonaje? Watu wanalia JF ni ya Chadema lakini kutwa wanashinda hapa!