Je, jina lako/ID unalotumia JamiiForums lina maana yoyote?

Kumbe kuna watu humu wanajikatia majina yao wenyewe?😋🤣🤣

Samwel Junior Jina langu kabisa
Samwel Simonovic Junior 🤙
 
Kuna nyimbo naitafuta week tatu Sasa cjaupata niliambulia kusikia maneno machache unaimba iv
"Ooh nananaa dance with me ohhhh nanaaaa oeeeehhh ohhhhhh "
Msaada wenu tacadhali niupate huh wimbo cjui ni WA Jamaica au vip...una vibe la dancehall.
 
Back
Top Bottom