Mwali
JF-Expert Member
- Nov 9, 2011
- 7,012
- 5,613
Hata hizo dakika 30 ni nyingi mno! maana ya PM ya kwanza tu, ni Pearl Harbor. Ya pili Chernobyl. Ya tatu Nagasaki. Ya nne Hiroshima !Dear ndio maana nikiuza nataka niuze kwa dakika 30 tu! Yaaan kiasi kwamba yule alo nunua awe overwhelmed kwa atakayoyakuta by the time anataka atulie aanze kuperuz mda unakua umeisha! lol.... My PMs zikiwa disclosed... ni beyond JF...lol... Ni hatari kwa afya ya most members...lol.. Mimi the most.