Ng`wanakidiku
JF-Expert Member
- Apr 18, 2009
- 1,195
- 232
- Thread starter
- #101
We subiri siku iki expirer ndiyo utajuta! Uza wewe upate mshikoNot for sale!
We subiri siku iki expirer ndiyo utajuta! Uza wewe upate mshikoNot for sale!
Wanayaita makewe au michembe wakati mwingine!!!!!Ng'wanakidiku umepata chati sasa, kamua kaka. Ila wewe matoborwa yakikushibisha unaleta mbwembwe hapa! big up kaka.
Kama unaamini kila kitu kina thamani basi thamani hiyo ni "pesa" we subiri usipoipa bei ID yako ita expire ikose wateja!ntakuaje na price kwa kitu ambacho si chakuuzwa?
thamani yake anaeijua ni mimi, na thamani yake haina bei kabisa..
...wanajuana kwa vilemba!duhhhhh
ukikumbuka tu njoo chumbani kwangu sibani mlango..
Hebu rudia tena, sijakusikia! "eti na log off"!yangu nauza elf 2 ila yatakayokukuta tusitaftane
Kweli wewe ndiye mhasibu, mkurugenzi, mtalaamu! mie yangu niliipeleka kwa mtathimini MoDs, wakesema kigezo mojawapo haijawahi pigwa li BAN, na ina ng'w..................!!!!!!!!!!!!acha nikaongee na meneja wangu anaiambie hii yangu tunaweza kuuza kwa bei gani
kama ni kweli una matatizo makubwa sana.....you better run runMwanzoni nilikua nakasirika saana.... As time went by nikagundua kua I am only linked with unique and Great personalities... Na members with great contributions hapa JF in one way or another.... Nikaja realise haitakiw nichukie.... it is an honor.
:focus:
Nishauri... nimeamua kuuza account, how much do you think iko worth kama kianzio?
Hongera, wewe ni wapili! unatoa bure kwa wote au selected members?Yangu natoa bure.
Husninyo acha utani!! basi nitakupm tuongee vizuri ili unipatie mie!Yangu natoa bure.
Hongera, wewe ni wapili! unatoa bure kwa wote au selected members?
Husninyo acha utani!! basi nitakupm tuongee vizuri ili unipatie mie!
buku 2 imejumuisha vat na kila ki2 upo tayari nikuuzieprice including vat or?!
Matoborwa ndo maninini?Kale matoborwa, naona unaanza kuleta historia za kujenga nyumba angani.
Mi nawatafutia wakili faster.pm kuna giza. Ongea kwa herufi kubwa nikupe hapa hapa.
Kuna mtu namngojea apange bei ya kwake, I will buy it at any price aisee!
kwa wengine ita expireKama unaamini kila kitu kina thamani basi thamani hiyo ni "pesa" we subiri usipoipa bei ID yako ita expire ikose wateja!