Je ID yako ya JF unauza sh ngapi?

Je ID yako ya JF unauza sh ngapi?

haya haya..leteni hizo avator;
arusha-white rose
mwanza-makoroboi
moshi-kiboroloni
tanga-korogwe
kigoma-ujiji
songea-chipole
zanzibar-ngome konge
musoma-kyamakolele
serengeti-mgumu
temeke-sokota
ilala-hakuna kulala
kinondoni-kwa mama zakalia
bunju-ununio
mbezi-salasala
bukoba-kashai
karagwe-nkwenda
ngara-rulenge
tabora-nzega
bagamoyo-kibaha
shinyanga-maswa
rukwa-mpanda
rombo-mamsela
Nimejaribu kutaja sehemu zenye watu wenye avator nzuri. zikusanyeni kwa mawakala wangu. Mia
 
Ng'wanakidiku umepata chati sasa, kamua kaka. Ila wewe matoborwa yakikushibisha unaleta mbwembwe hapa! big up kaka.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom