Je ID yako ya JF unauza sh ngapi?

Bado kidogo. Nitaiuza nitakapo kuwa Premium Member. Lakini sijui lini na vipi nitakuwa.
 
yule nliyekua nataka kununua id yake kafika. Jaman weye bibie mzima niambie bas niku Pm
 
Dah! ulichosema hapo kimenifanya nifikirie beyon ID... ngoja nifikirie alafu nije nikuombe kitu fulani cha zero cost.
Basi Mwali! ka avata kako!!! Na tena kama ni Mwali kweli basi bei yake itakuw kubwa kinoma!!!
 
Hapo nimeridhika.... Wanting more than that would be greed, Naomba tu PW....LOL
Yap Yap iko Greed tu for Chating ... lol , Hiyo hapo Kwenye Rangi ya Blue For Sure Umeniacha i Din't Get you Kabisa Labda Afrodenzi Anisaidie Kuelewa!:poa Lakini ID ya Mkaka kuchukuliwa na Mdada kama Vile Haijakaa Fresh... Au Vipi Wadau!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom