Je ID yako ya JF unauza sh ngapi?

Je ID yako ya JF unauza sh ngapi?

Kuna mtu namngojea apange bei ya kwake, I will buy it at any price aisee!
 
Kuna jamaa aliuza twitter account yake kwa 6 USD millions.
 
Wifi, wivu umeanza lini tena? Mie ya kwangu siwezi kukupa japo nakupenda sana, ina side effects kushinda dawa mseto!



aaah' side effects zile za dawa mseto za kitoto.... Kwani kuna ubaya kweli? lol (hebu nipatie you best Wifi of mine...lol)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom