Je, huu ndio ulikuwa mwisho wa Hananja?

Je, huu ndio ulikuwa mwisho wa Hananja?

Alipendwa sana mitandaoni kutokana na maudhui yake na namna alivyowasilisha hoja zake.. Ni mwerevu na tajiri wa maneno ya Kiswahili... Akijua vema kuyachagiza anapofanya uwasilishaji.. Hakukauka mitandaoni
Waswahel wanasema ngoma ikivuma sana hupasuka!

Aidha kwa kujua ama kutojua.. Ama kwa utashi wake au ushawishi wa shekeli bila kuzingatia mahitaji ya nyakati na pengine kwa namna fulani kulazimishwa akajiingiza mzima mzima kwenye sakata la Gwajima na serikali

Ni sahihi kutoa maoni yake kama Mtanganyika lakini alikosea sana kwa nafasi yake na kule kuanza kutaja vyeo vyake vingi na taasisi anazosimamia ikiwemo mojawapo ya rais

Akatoa maoni yake kwa namna ya kumkandia vibaya sana Gwajima, waumini wake na kanisa lao... Ni maoni ambayo yalivuka mipaka na kuonekana alitumwa kumshambulia direct Gwajima na waumini wake!

Hata hivyo kwa body language take kwa siku ile ni kama kuna kitu hakikuwa sawa.. Maana kwanza alitanguliza kujisifu kwingi na mashambulizi yake yakajaa kujihami kwingi sana!

Sijui kwanini alishindwa kusoma alama za nyakati.. Sijui alipatwa na upofu gani mpaka kushindwa kuona kuwa kile kilichofanyika kwa Gwajima, waumini na kanisa lao kilikuwa na kasoro kubwa!

Anyway lakini baada ya ile Press conference yake umaarufu wake ukapotea ghafla.. Ni muda sasa sijamsikia wala kumuona na mbwembwe zake mitandaoni...
Anaweza kuvaa ujasiri mkuu na kuomba radhi.. Muungwana ni kitendo.. Akiweza hili ataona matunda yake!

View: https://youtu.be/UPp-jCBqkTM?si=26z8TPTw5S5unhI0

Huyu Hana tofauti na Hersi.
 
Kila jambo lina chanzo chake! Kama chanzo hakiendani hilo jambo kamwe haliwezi kuwa. !
Unapotenda jambo lililo kinyume na maadali, iwe umetumwa au unejituma, ni kutweza hadhi yako kama binadamu, japo kwa kutenda jambo hilo unanufaika. Kwa maoni yangu moja ya matatizo makubwa yanayolikumba taifa letu (nafikiri na mataifa mengi barani Afrika) ni kushuka kwa kiwango kikubwa kwa maadili. Uongo, wizi, ubadhirifu, rushwa, kupoka haki za wengine, ubinafsi na ulafi nk ni mambo yamezoeleka kabisa katika jamii zetu hivyo kuchukuliwa kama sehemu ya maisha ya kila siku. Prof Anna alitushuhudia hivi karibuni kuwa ukiwa mwadilifu serikalini hutoboi.
 
Huy
Alipendwa sana mitandaoni kutokana na maudhui yake na namna alivyowasilisha hoja zake.. Ni mwerevu na tajiri wa maneno ya Kiswahili... Akijua vema kuyachagiza anapofanya uwasilishaji.. Hakukauka mitandaoni
Waswahel wanasema ngoma ikivuma sana hupasuka!

Aidha kwa kujua ama kutojua.. Ama kwa utashi wake au ushawishi wa shekeli bila kuzingatia mahitaji ya nyakati na pengine kwa namna fulani kulazimishwa akajiingiza mzima mzima kwenye sakata la Gwajima na serikali

Ni sahihi kutoa maoni yake kama Mtanganyika lakini alikosea sana kwa nafasi yake na kule kuanza kutaja vyeo vyake vingi na taasisi anazosimamia ikiwemo mojawapo ya rais

Akatoa maoni yake kwa namna ya kumkandia vibaya sana Gwajima, waumini wake na kanisa lao... Ni maoni ambayo yalivuka mipaka na kuonekana alitumwa kumshambulia direct Gwajima na waumini wake!

Hata hivyo kwa body language take kwa siku ile ni kama kuna kitu hakikuwa sawa.. Maana kwanza alitanguliza kujisifu kwingi na mashambulizi yake yakajaa kujihami kwingi sana!

Sijui kwanini alishindwa kusoma alama za nyakati.. Sijui alipatwa na upofu gani mpaka kushindwa kuona kuwa kile kilichofanyika kwa Gwajima, waumini na kanisa lao kilikuwa na kasoro kubwa!

Anyway lakini baada ya ile Press conference yake umaarufu wake ukapotea ghafla.. Ni muda sasa sijamsikia wala kumuona na mbwembwe zake mitandaoni...
Anaweza kuvaa ujasiri mkuu na kuomba radhi.. Muungwana ni kitendo.. Akiweza hili ataona matunda yake!

View: https://youtu.be/UPp-jCBqkTM?si=26z8TPTw5S5unhI0

Huyu nae ni mjinga kama wajinga wengine!!
 
Hapo ndipo nilipo ona uwezo wake kiakili katika kuchambua mambo ni mdogo.... Aligeuka kuwa mchambaji.
 
  1. Gwajima ni Mbunge pia mjumbe wa Halmashauri Kuu CCM, siku alipoongea alisema.anavua joho la UASKOFU ili aseme kama mtu huru. Hananja naye kabla ya kuropoka ushubwada wake naye alisema anazungumza kama mtu huru. Maana yake aliweka pembeni uchungaji wake
  2. Mojawapo ya foundations anazosimamia inahusiana na SSH na hivyo alishadeclare interest anawakilisha upande upi...

Mkuu Mshana Jr take this from me: Kwa hali na nyenzo yeyoye mtu hawezi akapambana na saikolojia yake na akishinda.
Ndicho kilichotokea kwa Hananja. Ameonesha upumbavu wake in highest and flying colors
 
We lofa hujawahi kuwa na akili, mtu kutoonekana umeshajitungia sababu. Ktk watu walioiharibu hili jukwaa kwa uzushi, uwongo, upotoshaji ni wewe. We kenge upuuzwe
 
Unafiki wake ndo umempeleka chini . Ni vyema kukaa kimya ukaendelea kueshimiwa na watu wote wanaokueshimu
 
We lofa hujawahi kuwa na akili, mtu kutoonekana umeshajitungia sababu. Ktk watu walioiharibu hili jukwaa kwa uzushi, uwongo, upotoshaji ni wewe. We kenge upuuzwe
Ndugu, hebu basi na wewe toa hoja zako, tuweze kupima ni nani kati yako na yeye mwenye akili. Matusi hayajawahi kuashiria wingi wa akili bali upungufu wa hekima. Anayeweze kujibizana na kenge ni kenge pekee
 
  1. Gwajima ni Mbunge pia mjumbe wa Halmashauri Kuu CCM, siku alipoongea alisema.anavua joho la UASKOFU ili aseme kama mtu huru. Hananja naye kabla ya kuropoka ushubwada wake naye alisema anazungumza kama mtu huru. Maana yake aliweka pembeni uchungaji wake
  2. Mojawapo ya foundations anazosimamia inahusiana na SSH na hivyo alishadeclare interest anawakilisha upande upi...

Mkuu Mshana Jr take this from me: Kwa hali na nyenzo yeyoye mtu hawezi akapambana na saikolojia yake na akishinda.
Ndicho kilichotokea kwa Hananja. Ameonesha upumbavu wake in highest and flying colors
  1. Mojawapo ya foundations anazosimamia inahusiana na SSH na hivyo alishadeclare interest anawakilisha upande upi...
 
Back
Top Bottom