Je, huu ndio ulikuwa mwisho wa Hananja?

Je, huu ndio ulikuwa mwisho wa Hananja?

Alipendwa sana mitandaoni kutokana na maudhui yake na namna alivyowasilisha hoja zake.. Ni mwerevu na tajiri wa maneno ya Kiswahili... Akijua vema kuyachagiza anapofanya uwasilishaji.. Hakukauka mitandaoni
Waswahel wanasema ngoma ikivuma sana hupasuka!

Aidha kwa kujua ama kutojua.. Ama kwa utashi wake au ushawishi wa shekeli bila kuzingatia mahitaji ya nyakati na pengine kwa namna fulani kulazimishwa akajiingiza mzima mzima kwenye sakata la Gwajima na serikali

Ni sahihi kutoa maoni yake kama Mtanganyika lakini alikosea sana kwa nafasi yake na kule kuanza kutaja vyeo vyake vingi na taasisi anazosimamia ikiwemo mojawapo ya rais

Akatoa maoni yake kwa namna ya kumkandia vibaya sana Gwajima, waumini wake na kanisa lao... Ni maoni ambayo yalivuka mipaka na kuonekana alitumwa kumshambulia direct Gwajima na waumini wake!

Hata hivyo kwa body language take kwa siku ile ni kama kuna kitu hakikuwa sawa.. Maana kwanza alitanguliza kujisifu kwingi na mashambulizi yake yakajaa kujihami kwingi sana!

Sijui kwanini alishindwa kusoma alama za nyakati.. Sijui alipatwa na upofu gani mpaka kushindwa kuona kuwa kile kilichofanyika kwa Gwajima, waumini na kanisa lao kilikuwa na kasoro kubwa!

Anyway lakini baada ya ile Press conference yake umaarufu wake ukapotea ghafla.. Ni muda sasa sijamsikia wala kumuona na mbwembwe zake mitandaoni...
Anaweza kuvaa ujasiri mkuu na kuomba radhi.. Muungwana ni kitendo.. Akiweza hili ataona matunda yake!


View: https://youtu.be/UPp-jCBqkTM?si=26z8TPTw5S5unhI0

Ngoma ikivuma sana, ujue unakaribia kupasuka
 
Aliisahau kauli yake maarufu

Kila jambo kwa kiasi sikuhiyo kiasi ndg angu huyu bondia ,mvuta gari Kwa meno ,mnyanyua jimu ,mzamia Dr Kongo ,Zambia,south afrika ,mcheza kamali ,mcheza kamali na show,mchungaji mume wa Dr rose...... RICH huyu sielewi sikuile alikuwa kashikiwa bunduki au la ......sitamtazama tena kama hataomba msamaha usemavyo
 
Mchungaji Hananja Aongea kwa uchungu mtoto wangu Anamajeraha Amejerihiwa NUSU AFE Kuweni na Utu.
Ikumbukwe kuwa huyu mchungaji ndie aliefungua kampeni zao hapo Dar.
 
Nilimuonya sana akapuuza

Shetani hana Rafiki
Mchungaji Hananja Aongea kwa uchungu mtoto wangu Anamajeraha Amejerihiwa NUSU AFE Kuweni na Utu.
Ikumbukwe kuwa huyu mchungaji ndie aliefungua kampeni zao hapo Dar.
 
Mchungaji Hananja Aongea kwa uchungu mtoto wangu Anamajeraha Amejerihiwa NUSU AFE Kuweni na Utu.
Ikumbukwe kuwa huyu mchungaji ndie aliefungua kampeni zao hapo Dar.
Kweli?

Hii ndio tafsiri sahihi ya hakuna aliyesalama.
 
1777708110686.jpg
1777708095616.jpg
 
Hivi,huyu mtu amepatwa na nini hasa?Au anapata nini kwenye hayo mahovyohovyo yake?Anamtamani mwanaume mwenzake walale naye msonobari Sijui mchongoma ili iweje?Laana-kum!
 
Back
Top Bottom