Je, huu ndio ulikuwa mwisho wa Hananja?

Je, huu ndio ulikuwa mwisho wa Hananja?

Shida ni kuwa mnapenda kusikia mnayoyapenda....shida inakuja sasa ni kuwa mnahangaika kusikia msiyoyapenda!🙂
Nimemsoma Mshana Jr sijaona mahali ambapo kamponda Hananja, mwandishi anaonesha jinsi gani matamshi ya Hananja yalivyo mpotezea umaarufu. Na hi ni kweli, since aseme alicho kisema, unamsikia tena Hananja? Unakumbuka pia ni kipindi hicho hicho hadi wasanii na watu maarufu walianza kupoteza followers wao mitandaoni? Lile tukio la Gwajima lilimpa umaarufu zaidi Gwajima dhidi ya Watanzania na liliwaharibia wengi waliokua against him. Now ukiweka na NRNE ya Chadema/Lissu ndio kabisaaa
 
MENEMENE TEKERI NA PERESI , kaka mkubwa nimekusoma vyema Sana for sure

Nilikuaga namfuatiliaga mzee HANANJA Ila toka siku Ile nilimweka BLACKLIST yangu sifuatili Wala kumsikiliza tenaa

Hakika wewe ni moja ya watu mlio cement hii thread nimepata vya jikoni kabisa kuhusu HANANJA
Huyu mzee anazingua sana lakini pia vetting za ikulu kuna muda ziangalie nani wa kufanya naye kazi sio tu kuna watu wanamfuatilia kwa wingi ila kwasbabu anazo akili timamu na anajua nini maana ya kuingizwa kwenye payroll ?
 
Alipendwa sana mitandaoni kutokana na maudhui yake na namna alivyowasilisha hoja zake.. Ni mwerevu na tajiri wa maneno ya Kiswahili... Akijua vema kuyachagiza anapofanya uwasilishaji.. Hakukauka mitandaoni
Waswahel wanasema ngoma ikivuma sana hupasuka!

Aidha kwa kujua ama kutojua.. Ama kwa utashi wake au ushawishi wa shekeli bila kuzingatia mahitaji ya nyakati na pengine kwa namna fulani kulazimishwa akajiingiza mzima mzima kwenye sakata la Gwajima na serikali

Ni sahihi kutoa maoni yake kama Mtanganyika lakini alikosea sana kwa nafasi yake na kule kuanza kutaja vyeo vyake vingi na taasisi anazosimamia ikiwemo mojawapo ya rais

Akatoa maoni yake kwa namna ya kumkandia vibaya sana Gwajima, waumini wake na kanisa lao... Ni maoni ambayo yalivuka mipaka na kuonekana alitumwa kumshambulia direct Gwajima na waumini wake!

Hata hivyo kwa body language take kwa siku ile ni kama kuna kitu hakikuwa sawa.. Maana kwanza alitanguliza kujisifu kwingi na mashambulizi yake yakajaa kujihami kwingi sana!

Sijui kwanini alishindwa kusoma alama za nyakati.. Sijui alipatwa na upofu gani mpaka kushindwa kuona kuwa kile kilichofanyika kwa Gwajima, waumini na kanisa lao kilikuwa na kasoro kubwa!

Anyway lakini baada ya ile Press conference yake umaarufu wake ukapotea ghafla.. Ni muda sasa sijamsikia wala kumuona na mbwembwe zake mitandaoni...
Anaweza kuvaa ujasiri mkuu na kuomba radhi.. Muungwana ni kitendo.. Akiweza hili ataona matunda take!

View: https://youtu.be/UPp-jCBqkTM?si=26z8TPTw5S5unhI0

Mkuu unamchukulia serious huyu kiumbe?
The guy is just a comedian
 
Ni mbwembwe tu hana elimu ya theology, "he is a right person at a wrong place " if he continues like that he will be "a wrong person at a wrong place"
 
Anyway lakini baada ya ile Press conference yake umaarufu wake ukapotea ghafla.. Ni muda sasa sijamsikia wala kumuona na mbwembwe zake mitandaoni...
Mchumia tumbo tu sijawahi kuona jipya lolote kwake
 
Alipendwa sana mitandaoni kutokana na maudhui yake na namna alivyowasilisha hoja zake.. Ni mwerevu na tajiri wa maneno ya Kiswahili... Akijua vema kuyachagiza anapofanya uwasilishaji.. Hakukauka mitandaoni
Waswahel wanasema ngoma ikivuma sana hupasuka!

Aidha kwa kujua ama kutojua.. Ama kwa utashi wake au ushawishi wa shekeli bila kuzingatia mahitaji ya nyakati na pengine kwa namna fulani kulazimishwa akajiingiza mzima mzima kwenye sakata la Gwajima na serikali

Ni sahihi kutoa maoni yake kama Mtanganyika lakini alikosea sana kwa nafasi yake na kule kuanza kutaja vyeo vyake vingi na taasisi anazosimamia ikiwemo mojawapo ya rais

Akatoa maoni yake kwa namna ya kumkandia vibaya sana Gwajima, waumini wake na kanisa lao... Ni maoni ambayo yalivuka mipaka na kuonekana alitumwa kumshambulia direct Gwajima na waumini wake!

Hata hivyo kwa body language take kwa siku ile ni kama kuna kitu hakikuwa sawa.. Maana kwanza alitanguliza kujisifu kwingi na mashambulizi yake yakajaa kujihami kwingi sana!

Sijui kwanini alishindwa kusoma alama za nyakati.. Sijui alipatwa na upofu gani mpaka kushindwa kuona kuwa kile kilichofanyika kwa Gwajima, waumini na kanisa lao kilikuwa na kasoro kubwa!

Anyway lakini baada ya ile Press conference yake umaarufu wake ukapotea ghafla.. Ni muda sasa sijamsikia wala kumuona na mbwembwe zake mitandaoni...
Anaweza kuvaa ujasiri mkuu na kuomba radhi.. Muungwana ni kitendo.. Akiweza hili ataona matunda take!

View: https://youtu.be/UPp-jCBqkTM?si=26z8TPTw5S5unhI0

Maoni sahihi ni yale yanayotolewa na chadema tu?
 
Kuna jambo kidogo la kuchekesha hapa, Kila nyumbu Sasa anamuunga mkono gwajima ambaye jana amechukua fomu ya kugombea ubunge kupitia ccm🤣🤣🤣
Cha kuchekesha zaidi, mwezi September, Mama Samia na gwajima watakutana Kawe kupiga kampeni🤣🤣🤣

Hitimisho;
CCM ni lidude likuuubwa sana kuweza kutikiswa na hivi vinyumbu
 
Alipendwa sana mitandaoni kutokana na maudhui yake na namna alivyowasilisha hoja zake.. Ni mwerevu na tajiri wa maneno ya Kiswahili... Akijua vema kuyachagiza anapofanya uwasilishaji.. Hakukauka mitandaoni
Waswahel wanasema ngoma ikivuma sana hupasuka!

Aidha kwa kujua ama kutojua.. Ama kwa utashi wake au ushawishi wa shekeli bila kuzingatia mahitaji ya nyakati na pengine kwa namna fulani kulazimishwa akajiingiza mzima mzima kwenye sakata la Gwajima na serikali

Ni sahihi kutoa maoni yake kama Mtanganyika lakini alikosea sana kwa nafasi yake na kule kuanza kutaja vyeo vyake vingi na taasisi anazosimamia ikiwemo mojawapo ya rais

Akatoa maoni yake kwa namna ya kumkandia vibaya sana Gwajima, waumini wake na kanisa lao... Ni maoni ambayo yalivuka mipaka na kuonekana alitumwa kumshambulia direct Gwajima na waumini wake!

Hata hivyo kwa body language take kwa siku ile ni kama kuna kitu hakikuwa sawa.. Maana kwanza alitanguliza kujisifu kwingi na mashambulizi yake yakajaa kujihami kwingi sana!

Sijui kwanini alishindwa kusoma alama za nyakati.. Sijui alipatwa na upofu gani mpaka kushindwa kuona kuwa kile kilichofanyika kwa Gwajima, waumini na kanisa lao kilikuwa na kasoro kubwa!

Anyway lakini baada ya ile Press conference yake umaarufu wake ukapotea ghafla.. Ni muda sasa sijamsikia wala kumuona na mbwembwe zake mitandaoni...
Anaweza kuvaa ujasiri mkuu na kuomba radhi.. Muungwana ni kitendo.. Akiweza hili ataona matunda take!

View: https://youtu.be/UPp-jCBqkTM?si=26z8TPTw5S5unhI0

Bahati nzuri hata yeye alijua kaharibu.
Ukweli ni ukweli tu.
Hananja kwa kweli alitukosea sana kwa press hiyo.
 
Mshiko aliyopewa kwa ajili ya ile press unamtosha. Tatizo ni kuwa haijaleta impact!
 
Huyu jamaa anajiita Hananja kwanza yupo positive hilo namkubali Ila pia navyojua ni mswahili kwahiyo sifikirii Kama ni sahihi kwa upeo wake mdogo kuongelea mambo ambayo hayaelewi .

Inawezekana akawa hayupo sahihi Ila wale wanaomsikiliza kwa lengo la kujifunza ndo wakawa hawako sahihi.

To me Hananja ni Entertainer Kama walivyo waburudishaji na wachekeshaji wengine.

Ukizingatia na background yake ya matumizi ya Bangi , ujambazi n.k hawezi kuwa sawa mentally either kuwa guilty au kuwa na issue za kukosa mindfulness.

So nadhani Adhabu walioamua kumpa watanzania ni kubwa Sana ilibidi wamsamehe bure kwakuwa kwa sasa maneno ndo baishara yake inayompatia ugali mezani .

Kwahiyo Ccm walikaa wakasoma udhaifu wake na kuamua kumtumia either kwa kutokujua impact na nafasi aliyokuwa ameshajijengea kwa Jamii.
 
Back
Top Bottom