Je, huu ndio ulikuwa mwisho wa Hananja?

Je, huu ndio ulikuwa mwisho wa Hananja?

Babuyenu kanishtaki meta kwa nguvu zote nimekata rufaa kibabe ,na post haitoondolewa 😅😅😅 Richard Hananja huu mzima mwingine baba kaza,rudi msalabani acha kutukana watu maadam hawajakutenda ubaya fanya uchawa wako kwa adabu.
Credit: FB
1778002136164.jpg
 
Kutenga siasa na dini kwa Tz ni kiini macho, siasa ni kama imani kama ilivyo dini japo siasa ina maslahi kifedha zaidi ya dini kwa watu wengi.

Walewale unaowatumia kwenye siasa ndio haohao wapo kwenye dini, ukiwachanganya kwa kutowapanga vizuri basi watajichagulia wenyewe.

Ukiwa mwanasiasa au kiongozi wa dini makini usiruhusu wachague, wachagulie waende na kipi.
Hananja kashindwa kuwachagulia wafuasi wake, walio juu yake wamemzidi nguvu.
 
Ila watanzania wakikukataa🤣🤣🤣ndio ata comment moja Jamani🤣🤣🤣ata like moja masaa matatu aaah hii ni mbaya.
. Sesilia Salleko
1781312794907.jpg
 
Back
Top Bottom