Binadamu wa sasa cwakumwamin kwa % nyingi 🙏🙏Alipendwa sana mitandaoni kutokana na maudhui yake na namna alivyowasilisha hoja zake.. Ni mwerevu na tajiri wa maneno ya Kiswahili... Akijua vema kuyachagiza anapofanya uwasilishaji.. Hakukauka mitandaoni
Waswahel wanasema ngoma ikivuma sana hupasuka!
Mshana Jr nadhani picha umeipata. Huyu ndugu ni pusha, waliomfuata inaonekana walimuambia wanamsanulia issue ya madawa hivyo akawa hana option zaidi ya kuwatii waliomtuma. Same kwa polisi na ponjoro, yaani hawana namna kwa sababu kuna mtu kawapa hela wahakikishe Kanisa halifunguliwi labda mpaka aje rais mwingine. Kwa ufupi ni rushwa ndiyo inafanya kaziHuyu mzee Namfahamu mno Tangu akiwa Muinjilist wa Babu yangu Mchungaji.......
Kabla hajawa Mchungaji alikuwa Muinjilisti wa Babu, vimbwanga vyake vyote Navijua.
Ana kundi la Mateja na kwaya ya mateja , zaidi ya watu 50 wanakwenda kwake kila siku kula Ugali wa Bure.
He is doing better sana nje ya boxYuko busy na mgahawa wake wa ugali bure mboga buku jero.
Ananja yupo sahihi mtu kama umeingia kilinge cha wachawi lazima ule nyama za watu. Sasa umeshakula umeshiba unakuja nje unatangaza kwa watu wa nje kua eti huko kilingeni wenzako wanakula nyama za watu, wakati mlikuwa mnakula wote.Lazima tu wenzako wata react huyu mwenzetu vipi. Ngoja tumtoe kwenye hili jukwaa letu l kama anataka kilinge cha wachawi awe huku kama anataka kilinge chake atoke humu.Siyo huku unanyonya na huku unanyonya.Alipendwa sana mitandaoni kutokana na maudhui yake na namna alivyowasilisha hoja zake.. Ni mwerevu na tajiri wa maneno ya Kiswahili... Akijua vema kuyachagiza anapofanya uwasilishaji.. Hakukauka mitandaoni
Waswahel wanasema ngoma ikivuma sana hupasuka!
26z8TPTw5S5unhI0[/URL]
Alkuwaga teja huyu mzee, Bangi zinamsumbuaAlipendwa sana mitandaoni kutokana na maudhui yake na namna alivyowasilisha hoja zake.. Ni mwerevu na tajiri wa maneno ya Kiswahili... Akijua vema kuyachagiza anapofanya uwasilishaji.. Hakukauka mitandaoni
Waswahel wanasema ngoma ikivuma sana hupasuka!
Bila kuvesha uwezi kumtetea mama A, maana ngumu ukiwa macho makavu.Mzee alikunywa konyagi siku ile sio bure.
Alipendwa sana mitandaoni kutokana na maudhui yake na namna alivyowasilisha hoja zake.. Ni mwerevu na tajiri wa maneno ya Kiswahili... Akijua vema kuyachagiza anapofanya uwasilishaji.. Hakukauka mitandaoni
Waswahel wanasema ngoma ikivuma sana hupasuka!
Aidha kwa kujua ama kutojua.. Ama kwa utashi wake au ushawishi wa shekeli bila kuzingatia mahitaji ya nyakati na pengine kwa namna fulani kulazimishwa akajiingiza mzima mzima kwenye sakata la Gwajima na serikali
Ni sahihi kutoa maoni yake kama Mtanganyika lakini alikosea sana kwa nafasi yake na kule kuanza kutaja vyeo vyake vingi na taasisi anazosimamia ikiwemo mojawapo ya rais
Akatoa maoni yake kwa namna ya kumkandia vibaya sana Gwajima, waumini wake na kanisa lao... Ni maoni ambayo yalivuka mipaka na kuonekana alitumwa kumshambulia direct Gwajima na waumini wake!
Hata hivyo kwa body language take kwa siku ile ni kama kuna kitu hakikuwa sawa.. Maana kwanza alitanguliza kujisifu kwingi na mashambulizi yake yakajaa kujihami kwingi sana!
Sijui kwanini alishindwa kusoma alama za nyakati.. Sijui alipatwa na upofu gani mpaka kushindwa kuona kuwa kile kilichofanyika kwa Gwajima, waumini na kanisa lao kilikuwa na kasoro kubwa!
Anyway lakini baada ya ile Press conference yake umaarufu wake ukapotea ghafla.. Ni muda sasa sijamsikia wala kumuona na mbwembwe zake mitandaoni...
Anaweza kuvaa ujasiri mkuu na kuomba radhi.. Muungwana ni kitendo.. Akiweza hili ataona matunda take!
View: https://youtu.be/UPp-jCBqkTM?si=26z8TPTw5S5unhI0
MENEMENE TEKERI NA PERESI , kaka mkubwa nimekusoma vyema Sana for sureNimesoma na kijana wake anaitwa Ot Hananja alisoma UDSM mambo ya mziki ila huyu pastor ashawahi kuwa mchungaji wa kanisa au chaplain katika kanisa la shule moja niliyowahi kusoma wakanifukuza baada ya kukutwa nafanya ngono chapple .
Ila nachoweza kusema kuhusu mzee hananja ni kuwa sio tu anapenda sifa ila ni mtu aliyeathirika na njia alizopita kufikq hapa aidha nipende kusema sikawii kusema bado madawa aliyotumia hayajamuisha kichwani na mwilini ndiyo maana kila afanyacho anawaza kuchekesha ikiwa ni sehemu ya kupata huruma ya dunia au kupata ahueni ya watu kuwa kumbe nakubalika .
.
Kwa siku ile alizingua sana na alitema boko ijapokuwa sijawahi kuona kama kuna siku anatema nondo zaidi ya uharo tu .
Itoshe kuwakosoa wote wasemo kuwa Mungi anakupa wa kufanana naye kwa mkewe hajapewa wa kufanana naye zaidi yeye asili ya ya dunia imembeba kwa kumpa mtu mwenye akili na maono makubwa ambaye ni mkewe doctor Rose ila hawaendani kuanzia akili mpaka kila kitu .
Note :Simchukii Hananja Pst hata kidogo ila siukubali ujinga wake hata kidogo ,povu ruksa ,najua yupo hapa naomba anisamehe ni ya moyoni haya sio kwa kuidhinisha mimi kufukuzwa shule ila ni vile nimekuwa mkubwa naona mazuri na mabaya .
Ni mimi kiraka ,baba mchungaji