Je, hili limewahi kukutokea?

Je, hili limewahi kukutokea?

Nakumbuka mwaka 2016 kuna mdau mmoja wa JF nilikuwa napenda sana uchangiaji wake kiasi cha kumfuata privately. Tukawa tunachat dhamira ikiwa ni kuja kutongozana hii yote kwa taswira tu niliomjengea kichwani mwangu kama pisikali fulani maana hatukuwa tumeshea picha. Ila kwa story zake alikuwa ni corporate lady umri wa makamo. Na michango yake yote ilikuwa anatoa kama binti.

Siku moja kulikuwa na tafrija Bank ya Diamond Trust wateja walialikwa tawi la Masaki. Kuna msela tulikuwa sehemu moja tunapiga stori kama wawakilishi wa kampuni zetu za ajira. Ikiwa tunachezea simu zetu huku tukiongea ghafla akanionyesha article JF huku akisema subiri a log in ili acomment. Si ndio kuona yule demu wangu wa inbox ndio msela kupitia log in details maana hakuficha.

Sikusema chochote ila baada ya hapo nilimblock kabisa. ID yake nikiangalia sasa hivi ilikuwa active mara ya mwisho 2018.
Nimetaja jina la eneo tulikokutana ili mwamba kama yupo humu kwa ID nyingine ajue kuwa nilimshtukia kuwa ni dume na hata mpaka leo sijui alikuwa na nia gani. Maana wasifu wake wa kazi aliotumia nikiwa na chat nae unashabihiana na ule wa uhalisia katika udume wake na hili nilijua tulipokuwa tunapiga story bank.
Toka siku hiyo nachukulia ma member wote humu kuwa ni madume kama mimi tu.
Nchincha mwiba huo
 
Bora hata wewe ndugu yangu [mention]Unique Flower [/mention]
Yaliyo na yanipatayo kwa [mention]Kelsea [/mention] ni machungu ndugu yangu
Heli hata wewe mlipendana na kupendana
Kumekucha
 
Haijatokea na haito tokea na ikitokea nipelekeni KWA MWAMPOSA nikaombewe
 
Umewahi mpenda mtu humu Jamii Forums ukaona huyu kakupenda kweli na ukampenda kweli halafu mlipoachana ikakuuma roho? Mimi ndiyo.

Niliwahi kumpenda mwanaume humu na hakuniacha, ila nilishindwa masharti, ila waleo namkumbuka sana. Ila yeye ndiyo basi tena, hajali tena, kipindi cha 2019 nilipofungua Unique Flower.

Je, wewe iliwahi kukutokea hali hii?
Hongera
 
Raha ya jf wanawake wa humu wanato gozeka vzuri na ni waelewa sana ,tatizo age zao ni 26- 32+ walio wengi
 
Narudia tena humu JF kuna watu wana stress sana na hilo utaliona kwenye nyuzi zao tu...
Hivi mkuu unakosaje stress.. hivi leo kuna watu humu hawatashuhudia sherehe za uzinduzi wa kombe la dunia..umeme umeme umeme...
 
Nakumbuka mwaka 2016 kuna mdau mmoja wa JF nilikuwa napenda sana uchangiaji wake kiasi cha kumfuata privately. Tukawa tunachat dhamira ikiwa ni kuja kutongozana hii yote kwa taswira tu niliomjengea kichwani mwangu kama pisikali fulani maana hatukuwa tumeshea picha. Ila kwa story zake alikuwa ni corporate lady umri wa makamo. Na michango yake yote ilikuwa anatoa kama binti.

Siku moja kulikuwa na tafrija Bank ya Diamond Trust wateja walialikwa tawi la Masaki. Kuna msela tulikuwa sehemu moja tunapiga stori kama wawakilishi wa kampuni zetu za ajira. Ikiwa tunachezea simu zetu huku tukiongea ghafla akanionyesha article JF huku akisema subiri a log in ili acomment. Si ndio kuona yule demu wangu wa inbox ndio msela kupitia log in details maana hakuficha.

Sikusema chochote ila baada ya hapo nilimblock kabisa. ID yake nikiangalia sasa hivi ilikuwa active mara ya mwisho 2018.
Nimetaja jina la eneo tulikokutana ili mwamba kama yupo humu kwa ID nyingine ajue kuwa nilimshtukia kuwa ni dume na hata mpaka leo sijui alikuwa na nia gani. Maana wasifu wake wa kazi aliotumia nikiwa na chat nae unashabihiana na ule wa uhalisia katika udume wake na hili nilijua tulipokuwa tunapiga story bank.
Toka siku hiyo nachukulia ma member wote humu kuwa ni madume kama mimi tu.
Bahati yako 🤣🤣🤣🤣 ulikua unaenda kupewa nundu ya mafuta.
Watu wengine wadwanzi kweli kmmke zao.
 
Kumbe wengine mlienda mbali zaidi ya malengo ya wamiliki wa jf.
 
Umewahi mpenda mtu humu Jamii Forums ukaona huyu kakupenda kweli na ukampenda kweli halafu mlipoachana ikakuuma roho? Mimi ndiyo.

Niliwahi kumpenda mwanaume humu na hakuniacha, ila nilishindwa masharti, ila waleo namkumbuka sana. Ila yeye ndiyo basi tena, hajali tena, kipindi cha 2019 nilipofungua Unique Flower.

Je, wewe iliwahi kukutokea hali hii?
Kwakweli me siwezi penda mtu sjawai muona hata nkikufata pm jua kawaida yetu sis wanaume usnikubalie please....
 
Back
Top Bottom