Sababu kuu ya huu uzi ni kuomba ushauri na kuona fikra za wengine zikoje juu ya swala hili ndomana nimejaribu kujibu kila uzi ili nichallage waliokua wanaenda kinyume na mawazo yangu bt sijafanikiwa kupata sababu zaidi ya kuona ukandamizaji na dharau tu kwamba Ke hawezi kujitegemea kabla hajaolewa or akijitegemea basi atatumika tu na kuishia kuwa single mum apart from this reasommn hamna alieleta jibu tofauti this means mnaona Ke ni dhaifu kiasi cha kuwaona ni wa kutumika tu this includes u
i dont know why but hua nawish nikuone one dayHili sina uzoefu nalo kwakweli subiri wakuje wengine
Nije kujitambulisha kama mme mtarajiwaNafanya kazi ila hawanielewi kwa kigezo cha kwamba me ni Ke natokaje nyumbani sijaolewa nakimbilia maisha
Kwa jeuri hii hata wakukuoa haji leo wala kesho so go on with your lifeNimekwelewa sana tu na asante kwakuchangia ila sijapata mtu na nadhani naumia zaidi napoona nakuwa denied kuendesha maisha kwa maamuzi yangu mwenyewe just becouse sijaolewa...inamaana nisipopata mtu ntaishiaga kukaa kwetu
Lakin pia hata wakiolewa ndoa hazidumu, kwasababu baada ya kupanga mdada anazoea kuishi peke yake na kujiamulia kila jambo tofauti na alipokuwa kwa wazazi. Kwa hiyo suala la mume kuja kuanza kumpangia mambo na kumtawala linaanza kumuumiza na mara nyingi wanaachika ili warudi kwenye maisha ya uhuruWazazi wanaweza kuwa sawa ila unaweza usitambue hili kwa Sasa,utawashukuru baadaye
Kama sehemu unapofanya kazi si mbali Na nyumbani then hakuna umuhimu wa kutoka kwenda kupanga.
Wadada wengi japo Sio wote wanaotoka nyumbani na kwenda kupanga mwisho wake huwa ni mimba na kuzalishwa bila ndoa...ule Uhuru unazidi.
Huo Ni mtazamo wangu kutokana na experience yangu
Nimeshuhudia haya kwa macho yangu
Sikushauri kwenda kupanga dadangu
Hii kufika 30 hujaolewa Kuna sababu nyingi mkuu,,sidhani Kama Kuna mwanamke anapenda kufika umri huo bila kuwa kwenye ndoaLakin pia hata wakiolewa ndoa hazidumu, kwasababu baada ya kupanga mdada anazoea kuishi peke yake na kujiamulia kila jambo tofauti na alipokuwa kwa wazazi. Kwa hiyo suala la mume kuja kuanza kumpangia mambo na kumtawala linaanza kumuumiza na mara nyingi wanaachika ili warudi kwenye maisha ya uhuru
Unafikiri ni kwa nin wanawake wa zamani hawakuwa wakiachika kirahisi? Sababu moja wapo ni hii, kwamba hawakuwahi kuishi peke yao na kujiamulia mambo.
Kwa hiyo wazazi wake wanania njema sana na huyu binti.
NB: lakin swali la ziada, unakubalije kufika 28 to 30 year ukiwa bado hujaolewa, nadhani unatakiwa kujichunguza wewe mwenyewe na kama una mtu tayar basi olewa na mkaanzishe maisha kuliko kwenda kupanga mtaani na kuishi peke yako
Ulichokiongea ni sawa, lengo la kuuliza hilo swali ni kumpa challenge ajifikirie kwanza, kama kunatatizo lolote upande wake. Then afikirie maisha yake ya ndoa wakati wa kuolewa utakapo fika, na si kwamba nimemshutumu kwamba yeye ndiye mwenye matatizo.Hii kufika 30 hujaolewa Kuna sababu nyingi mkuu,,sidhani Kama Kuna mwanamke anapenda kufika umri huo bila kuwa kwenye ndoa
Sometimes disappointment hutokea mambo yanaenda ndivyo sivyo ,unakuja gundua mtu uliemtegemea akuoe alikuwa anakupotezea muda
Kwangu naona tatizo sio 28,
Ila Kama analitafuta balaa aende kupanga..yaani kupanga Ni kutafuta balaa kwa Hali na Mali..hili nimeshuhudia kwa macho yangu mwenyewe
Hata ile chance iliyokuwepo ya kuolewa hupotea ukienda kupanga
Shetani amewanasa wadada hapa.,na wengi Sana wamenaswa wameishia kubeba Mimba na kuwa single mama.
Japo Kuna wanaoweza kusurvive ila ni wachache sana
Sawa,,nimekuelewa vemaUlichokiongea ni sawa, lengo la kuuliza hilo swali ni kumpa challenge ajifikirie kwanza, kama kunatatizo lolote upande wake. Then afikirie maisha yake ya ndoa wakati wa kuolewa utakapo fika, na si kwamba nimemshutumu kwamba yeye ndiye mwenye matatizo.
Lakin pia hata wakiolewa ndoa hazidumu, kwasababu baada ya kupanga mdada anazoea kuishi peke yake na kujiamulia kila jambo tofauti na alipokuwa kwa wazazi. Kwa hiyo suala la mume kuja kuanza kumpangia mambo na kumtawala linaanza kumuumiza na mara nyingi wanaachika ili warudi kwenye maisha ya uhuru
Unafikiri ni kwa nin wanawake wa zamani hawakuwa wakiachika kirahisi? Sababu moja wapo ni hii, kwamba hawakuwahi kuishi peke yao na kujiamulia mambo.
Kwa hiyo wazazi wake wanania njema sana na huyu binti.
NB: lakin swali la ziada, unakubalije kufika 28 to 30 year ukiwa bado hujaolewa, nadhani unatakiwa kujichunguza wewe mwenyewe na kama una mtu tayar basi olewa na mkaanzishe maisha kuliko kwenda kupanga mtaani na kuishi peke yako
Kwa hiyo ndugu unatafuta uungwaji mkono hapa na sio ushauriAtleast nimepata anaeelekeana na mawazo yangu asante kwakuchangia kuhusu hao wadada ntazingatia
Careful, young lady!Namheshimu sanasana tu ila kwenye hili hapana
Hapa umeongea kama wewe sasa. Like nimekupa nkimaanishaFuata tu ushauri wa wazazi, wanawake wengi tukijitegemea kwa muda tunakuwa viburi na ngumu kuwa chini ya mtu. No wonder na ndoa zimekuwa mitihani siku hizi.