Usimdanganye mwenzio...watu wanakaa kwao mpaka 30 hukoo...!!Kwa 28 age! Sepa tu hapo home ukatafute bahati kwingine,kama waoaji hapo kwenu hawajakuona ujue riziki haipo hapo.ukikaa hapo itafika hata 35.
Kwenda kupanga unaandaa mazingira yako peke yako ya kuja kuwa single mother's usije kusema atukukwambia tunasema na wew utaamua ? Yote yako juu yako Ila utakapo kua single mother's sasa ndio swala LA husband material litaisha na vigezo na mashart utapunguza na kila mwanaume kwako utaona anafaa.
Sawa mkuu nimekwelewa
Mdada yeyote ticket ya kutoka kwenu ni kuolewa au kupangwa kazi mkoa mwingine mbali na home Bhasii.!! Kuna wadada ninapofanya kazi wanalipwa pesa nzuri tu mwingne mpaka ana gari lakini hawana Mpango wa kwenda kupanga ila boys wote tumepanga hata wale ambao kwao ni Dar...[/
Hili jambo umeliweka kijinsia zaidi ila sawa nimekwelewa mkuu
Sawa mkuu asante
Ubarikiwe Dada nimefurah kusikia ivyoAsante nimekwelewa
Kuna shida gani kufia kwenu?Nimekwelewa sana tu na asante kwakuchangia ila sijapata mtu na nadhani naumia zaidi napoona nakuwa denied kuendesha maisha kwa maamuzi yangu mwenyewe just becouse sijaolewa...inamaana nisipopata mtu ntaishiaga kukaa kwetu
Sasa nikimpata ntamrudi vipi nyumbani sindontaolewa huko nilipoipata mkuu
Kwaiyo nizeekee kwetu sababu nitaonekana nimepangishia nyumba kweli
PM kufata nini? Ushauri wa hapa ni kwa msaada wa vizazi vitakavyo kuta thread na achilia mbali vizazi kuna watu humu humu wanajifunza huko PM unataka kumfanya nin? Dada wa watu mbona yeye akufanya siri na kwenye hili jambo hakuna siri tujaribu kubadilika sio mda wote tunawaza chini tu af kutwa kulaumu maisha magumu.Mkuu hebu njoo pm nikushauri vizuri maana hapa ya wengi yatakuchanganya. Upatapo ujumbe huu usiufanye moyo wako kua mgumu. Awaiting for you
Mbona kama una ujuaji fulani....hapa naona kama huitaji ushauri bali unahitaji " sapoti" ya yale unayohitaji.!