Je, hii ni sawa?

Halafu kwanza sio kila mwanamke lazima aolewe,pambana na maisha wewe kama wewe ,ikitokea mungu akakupatia mume shukuru,chukua hatua.ulipofikia hapo naunga mkono hoja ya wewe kuondoka hapo nyumbani.

Asante kwa mchango wako mkuu
 
Pia kama pato lako ni 30k kwa siku,una nafasi kubwa ya kuwashawishi
 
Kwa kweli kwa mtoto wa kike anayelelewa na wazazi sioni sababu za msingi za kukufanya uondoke nyumbani labda kuwe sababu za msingi kama kazi,au elimu tofauti na hayo labda unatafuta uhuru ambao baadae unaweza ukageuka kilio.
 
Mkuu ukishapanga ulete mrejesho nataka kuja likizo kwako tukifunga shule
 
Mkuu ukishapanga ulete mrejesho nataka kuja likizo kwako tukifunga shule
 
Kwani ukizeekea kwenu nini kinatokea? Hapo ni kwenu na hao ni wazazi wako

Sawa ila swali kuu ni kwamba sina haki ya kuendeleza maisha yangu sababu tu jamii itanichukulia mhuni
 
Kwa kweli kwa mtoto wa kike anayelelewa na wazazi sioni sababu za msingi za kukufanya uondoke nyumbani labda kuwe sababu za msingi kama kazi,au elimu tofauti na hayo labda unatafuta uhuru ambao baadae unaweza ukageuka kilio.

Asante nimekwelewa
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…