Je, Dunia ilianzia Mashariki ya Kati?

Je, Dunia ilianzia Mashariki ya Kati?

Na hoja ndio hoja yangu tusitweze na tafiti za wazungu na kuzikubali tu kuwa ni za wazungu tuwe watu wa kuhoji na kama mwanzoni hakuna waliohoji basi ni zamu yetu sasa nasi kuhoji japo kupitia JF

First of all this is a CRISIS OF AFRICAN CONSCIOUSNESS. AND ITS SHAME FOR ALL OVER US WHO STILL INSTITUTIONALIZING THESE FALSE AND WEAK INFORMATIONS. KATIKA DUNIA HII MSHANA, HAKUNA MAHALI PANAPOITWA MASHARIKI YA KATI. KAMA IPO NIONYESHE KASKAZINI YA KATI, KUSINI YA KATI NA MAGHARIBI YA KATI. ITS SHAME. THAT IS NUMBER ONE LOW LEVEL SCHOOL OF THOUGHT.
 
Kwahyo huu uzao wa watu weusi ni laana.. Ndio maana huku majanga hayakatiki, yanatirrka tu kama mvua za masika

Kaka usikubali kirahisi hivyo. Wewe ndio uliobarikiwa. wenye laana ni Wazungu na Waarabu Fake.

Hizo ni his-toria za uwongo na uzushi kabisa.
Dunia hii inamuabudu mtu mweusi kwa siri sana ili kuwapumbaza Weusi wenyewe wasijielewe how superior they are, ikabuniwa stori hizo na kulazimishwa kuzielewa hivyo wakati unatiwa woga wa kuishi.

Kuna kizazi cha wapumbavu ambao hadi leo kipo lakini kinaanza kuamka taratibu. IPO SIKU KIZAZI CHOTE KITAKUJA KUFAHAMU UZUSHI HUU NA HAPO NDIPO KIZAZI HICHO KITAKAPORUDI KTIKA MAHALI PAKE PA MWANZO.
 
Kaka usikubali kirahisi hivyo. Wewe ndio uliobarikiwa. wenye laana ni Wazungu na Waarabu Fake.

Hizo ni his-toria za uwongo na uzushi kabisa.
Dunia hii inamuabudu mtu mweusi kwa siri sana ili kuwapumbaza Weusi wenyewe wasijielewe how superior they are, ikabuniwa stori hizo na kulazimishwa kuzielewa hivyo wakati ******* woga wa kuishi.

Kuna kizazi cha wapumbavu ambao hadi leo kipo lakini kinaanza kuamka taratibu. IPO SIKU KIZAZI CHOTE KITAKUJA KUFAHAMU UZUSHI HUU NA HAPO NDIPO KIZAZI HICHO KITAKAPORUDI KTIKA MAHALI PAKE PA MWANZO.
May b, acha nifanyie kazi hivi vitu nipate jibu lenye uhakika kwa asilimia nyingi zaid..
 
upload_2016-6-3_0-7-10.png
upload_2016-6-2_23-59-35.png

Hizi ni picha na maelezo kidogo ya kile kilichofanyika Sodoma (sodom)na gomorah ilikuja kujulikana baadae au wazungu walikuja kuligeuza neno sodom kama ulawiti na ushoga...hii yote ni hapo hapo mashariki ya kati

inasikitisha kwamba hii life style ya sodoma & gomorah ... fornication, greed, adultery, pride, kubaka mbuzi au nguruwe, etc. .. ndiyo tuliyo nayo sasa hivi tz & sehemu nyingi tu ya dunia.
 
37033dbee09bd10819ec6c66226f87c2.jpg

a10e8b1089d3de5c4ea2e0a765bf4e86.jpg

Nazungumzia dunia ya uhai? dunia inayoongelewa kwenye vitabu vyetu vya dini!
Tumekuwa na mada ihusuyo bustani ya Eden kimsingi binafsi imenisaidia kuongeza ufahamu.

Ni katika mada hiyo nimegundua kuwa historia ya dunia hasa kidini na kiimani inabebwa na mashariki ya kati na kwa sehemu Africa...inawezekana kabisa wazungu si wakazi wa dunia hii au walikuja baadae kabisa wakati maisha yakiendelea na inawezekana kabisa walitoka sayari nyingine.

Ukisoma habari za mnara wa babel( babylon tower) ukisoma habari za bustani ya eden ukisoma habari za Jerusalem na paradiso, habari za makabila 12 za Israel, mfalme suleiman na machimbo yake! Hifadhi kubwa ya urithi wa dunia na hata mafuta ghafi ni hapo middle East

68a1ae6229627353e122d173a6546421.jpg

Lakini pia inawezekana kabisa hata sodoma na gomora haikuwa mbali na hapo maana yake Ukiangalia hizo picha tu mwonekano wake utaona kabisa kama kuna watu walikula bhata basi ni hawa jamaa.

Mashariki ya kati ina role kubwa sana kwenye historia ya dunia yetu leo hii na ndio maana nikawaza kwa uwazi kabisa kuwa huenda ikawa ndio kitovu cha dunia ya uhai imani dini
starehe na hata dhambi

fbaa391bd7f37f1f4f8b849567660b89.jpg

Hii kama ni kweli je hizi kabila nyingine zilitoka wapi? Je nazo ni uumbaji wa Mungu? Je kabla ya hawa wa middle East kuja wengine walikuwa wapi?wakifanya nini? Je hawa ndio wale wa mataifa waliotajwa kwenye Biblia takatifu?

ac6cb69a34a46531e7cee9fa0ab5afa3.jpg

bb9c0af5c7eebcabe46acdf96a141fa8.jpg

Mniwie radhi kwa mapicha mengi mengi lengo lilikuwa ni kuleta ufafanuzi kwa haraka..picha hurahisisha mawasiliano. .na ndio maana hata baadhi ya picha hizi si halisi bali wajuzi walituchorea kile kilichosimuliwa na kuandikwa

35a2d32c862182333a6b4f7085b3e545.jpg
fe3145aa5b40405e46d183b15b34b31e.jpg

Hizi ni picha na maelezo kidogo ya kile kilichofanyika Sodoma (sodom)na gomorah ilikuja kujulikana baadae au wazungu walikuja kuligeuza neno sodom kama ulawiti na ushoga...hii yote ni hapo hapo mashariki ya kati

2138fdbc290397b64041ed057bd97c1a.jpg
387b082e671745a01ec9a95e5314a395.jpg

Picha hizi za bustani zinazoning'inia za Babilon (hanging gardens of babylon) bado zinathibitisha watu wa mtaa huo walivyoharibika kwa starehe pengine kuliko kizazi kingine chochote na inawezekana kabisa hawa ndio makungwi wetu

ca5fb650dafe6591609fa510d6179d27.jpg

ed52f57a4b0e651cee354a8cb4cdc6f2.jpg

Zilikuwepo pia bustani zenye manukato hapa guru wa mapenzi ndio walitoa darasa la mapenzi

Ukija kuangalia biashara na hata majanga mengine kama ya gharika ya wakati wa Nuhu na mengine yote ikiwemo vita na majanga ya kiasili mashariki ya kati kuna kitu cha ziada kuhusu uumbaji wa dunia hii

Swali: SIFA MOJA YA ILE BUSTANI NI WANYAMA: JEE HIO SEHEMU ULIOIELEZEA KAMA NDIO BUSTANI ILIKUWA HUKO MBONA WANYAMA HAWAPO NA KAMA UNASEMA WALIHAMA UTOE KITABU KINACHOELEZEA WANYAMA WALIHAMAJE HUKO.?
 
First of all this is a CRISIS OF AFRICAN CONSCIOUSNESS. AND ITS SHAME FOR ALL OVER US WHO STILL INSTITUTIONALIZING THESE FALSE AND WEAK INFORMATIONS. KATIKA DUNIA HII MSHANA, HAKUNA MAHALI PANAPOITWA MASHARIKI YA KATI. KAMA IPO NIONYESHE KASKAZINI YA KATI, KUSINI YA KATI NA MAGHARIBI YA KATI. ITS SHAME. THAT IS NUMBER ONE LOW LEVEL SCHOOL OF THOUGHT.
mnepha unajaribu kukejeli huku kujikinga na hoja ambayo unashindwa kuijenga, nilitegemea uje na constructive argument lakini naona unaleta mipasho na self-trending thoughts zisizo na mwendelezo wowote
Hebu jaribu kujenga hoja yako upya upinge hoja kwa hoja....
Nimeona huko kwingine pia umekurupuka lakini watu wamekuwa wapole kwako...hapa tunachotaka ni uhalisia wa kile kilichoandikwa na kusimuliwa kwa miongo mingi
Lakini pia unaposema hakuna mashariki ya kati maana yake unakataa uwepo wa Africa mashariki magharibi nk....
 
Think seven x 70. Hii ndg yangu elimu duni tena ya uzushi, uwongo na ya dharau pia.
Kizuri kwa mwingine si lazima kiwe kizuri kwako.....na si kila bilauri ya kimiminika imebeba maji
Kama huu ni uzushi uongo na dharau pia unachotakiwa kufanya ni kuweka mbadala wake ili kuthibitisha kile unachokisema katika usahihi wake
 
Swali: SIFA MOJA YA ILE BUSTANI NI WANYAMA: JEE HIO SEHEMU ULIOIELEZEA KAMA NDIO BUSTANI ILIKUWA HUKO MBONA WANYAMA HAWAPO NA KAMA UNASEMA WALIHAMA UTOE KITABU KINACHOELEZEA WANYAMA WALIHAMAJE HUKO.?
Kama ulishaona kuwa huu ni uzushi uongo na dharau kwanini unameza matapishi yako kwa kutaka kufahamu zaidi huku ukiwa hata hujaelewa kilichoandikwa maana yake na kile unachotakiwa kuuliza?
Jaribu kuwa na upande Usiwe mtu wa kuyumba utabaki hapo ulipo kama tairi iliyopata pancha bila kuiziba hiyo pancha hutaenda popote
 
Mshanaa, mbona kuna clues nyingi tu, kuna pyramids za ancient egypt, kuna mining sites za ancient civilization south africa, plenty of them, nasikitika kukwambia despite ujuzi wako wa masuala mengi, ila kama unabase historia ya ukweli ya ulimwengu as per up to date religional concepts, specifically Christianity, blaza you're totally wrong. Hiyo ni world history as per christianity faith, those christians created their own false kind of world and its genesis for her people and followers, kuna dunia as per Muslims, Budha's etc. The truth is hidden and refused to be revealed for a lot of reasons.
Man! Know thyself.....
sure man
 
Adam hakua binadam wa kwanza, ila mpango wa Mungu ulianzia kwake! Kulikua kuna maisha nje ya Eden! Na jamii za watu wengine ziliishi na kuendelea na maisha Yao!
kama ni hivyo basi dunia haikuanzia mashariki ya kati insteady tuseme dini za ukristo na uislamu zilianzia mashariki ya kati unless otherwise kuna ukweli mkubwa uliofichika kuhusu Afrika
 
Adam hakua binadam wa kwanza, ila mpango wa Mungu ulianzia kwake! Kulikua kuna maisha nje ya Eden! Na jamii za watu wengine ziliishi na kuendelea na maisha Yao!
Mmh hili ni jipya kwangu tena jipya hasa ila sitaweza kupingana nalo mpaka nijiridhishe
 
Adam hakua binadam wa kwanza, ila mpango wa Mungu ulianzia kwake! Kulikua kuna maisha nje ya Eden! Na jamii za watu wengine ziliishi na kuendelea na maisha Yao!
Duuh mkuu umeandika tumaneno tuchache lakn nimetuona tuzito kweli yan.
 
mi nadhani hapa ili kupata jibu ambalo angalau litakaribia na ukweli, kwanza tuutafute ukweli wa blacks and whites, nan ni nan,nan ni nan kwa nan,nan katokanaje? from there ndo tutajua tufatilie historia kwenda mbele toka hapo au turudi nyuma kutoka hapo..! ni mtazamo tu.
 
Kwamba Adam na Eva waliishi mashariki ya kati kwa vielelezo vilivyopo nikweli kabisa,
Lakini Kwamba dunia ilianzia mashariki ya kati, hapana si kweli. Kuna kila ushahidi Kwamba kulikuwa na watu kabla ya binadam na ushahidi upo wakutosha kuhusu watu wakale zaidi ambao waliishi sehemu mbalimbali Africa na kitovu ni Africa Mashariki

NB: sio lazima mtu kuwa binadam
 
Mmh sio lazima mtu kuwa binadamu...! Lakini je binadamu anaweza kuwa mtu? Curiosity kills
 
Mmh sio lazima mtu kuwa binadamu...! Lakini je binadamu anaweza kuwa mtu? Curiosity kills
Binadam ni mtu aliye tokana na uzao wa Adam lakini waliishi watu kabla ya Adam vizazi na vizazi na wengine walichanganyika na binadam kuunda machotara ila haina maana ni binadam
 
Binadam ni mtu aliye tokana na uzao wa Adam lakini waliishi watu kabla ya Adam vizazi na vizazi na wengine walichanganyika na binadam kuunda machotara ila haina maana ni binadam
Huwa nawachukulia wazungu kama nusu watu nusu binadamu wana mambo ya ajabu sana hawa viumbe
 
Kama ulishaona kuwa huu ni uzushi uongo na dharau kwanini unameza matapishi yako kwa kutaka kufahamu zaidi huku ukiwa hata hujaelewa kilichoandikwa maana yake na kile unachotakiwa kuuliza?
Jaribu kuwa na upande Usiwe mtu wa kuyumba utabaki hapo ulipo kama tairi iliyopata pancha bila kuiziba hiyo pancha hutaenda popote

Mkuu sina cha kuuliza mimi naulizwa tu. Uzushi wewe ndio unakopia. Leo ngoja nikupe shule hio bustani na hio mito uliokariri iko wapi na kwa nini walibadilisha ili wawamislead wahusika wa hio bustani baada ya kushinda kwa mauwaji makubwa sana.

Naomba anza na huu ukweli kwanza kama ushahidi wangu wa kukana porojo unazoziwasilisha humu:

, ,

Nakusihi download na uangalie ushahidi katika clips zote ambazo ramani hizo ndizo walizotumia wazungu na waarabu fake na wakabadilisha majina ya kila kitu katika africa na kupelekwa sehemu nyingine nje ya Afrika.

Angalia hii pia:

halafu tuonge vyema sasa.
 
Back
Top Bottom