Je, chatu anaweza kuua jamii ya paka (Simba, Chui, Duma)?

Je, chatu anaweza kuua jamii ya paka (Simba, Chui, Duma)?

Kwani mnamzungumzia chatu yupi?
Huyu aliyekufa au chatu gani?
Maana huyu aliyekufa enzi za uhai wake aliogopwa kila mahali, ngoja akachimbiwe chwatoh
 
Hapana mkuu hawa wataalam wa wanyama wanasema simba jike ndiyo mkali zaidi kuliko simba dume! Kwa sababu simba jike ndilo linalowinda na ndilo linalowatafutia chakula familia yake!

Simba dume linaogopwa sababu tu ya muonekana wake na sababu lenyewe ndiyo huunguruma kwa sauti kubwa zaidi! Ila unaambiwa mara mia ukutane na simba dume kuliko jike yaani jike hata likiwa limeshiba halikuachi litakuua hata lipelekee familia yake kitoweo!

We hata katika kuangalia video za wanyama unaonaga masimba dume yanahangaikaga kukimbiza wanyama! Hilo ni jukumu la jike yaani dume kukuua labda uzame kwenye makazi yake!

Wanasema simba ukimkuta ameshiba wala hana shida mnaweza hata mkapishana na asikufanye chochote! Lakini siyo jike aise!
Boss maelezo yako yatakuwa valid endapo tunaye mzungumzia ni swala ila si kwa Binadamu...Scenario hii si uwindaji zaidi bali ya mauaji/kukomoa hapa inaangalika zaidi Aggressive ya mnyama Simba Dume is more aggressive than jike ukikutana nae ana asilimia kubwa ya kukudhuru...Case karibia zote unazosikia binadamu kashambuliwa na Simba ni Dume fuatilia.

Zaidi, Dume ni hatari kuliko jike suala la jike kuwinda ni majukumu.
 
Hii nakataa chatu hakujingi kwa njia ya kujizungusha kama unazungusha kamba kwenye mti bali anajizungush kwa njia ya kujivuta mwili kama Tape Measure kama unakijua kile kidude cha kupimia cha mafundi hata ukikivuta chote kinarudi kwenye mzingo wake automatic ndivyo chatu huzizingisha akikurukia akakubana mdomo hiyo ndio inakuwa Starting point yake anauvuta mwili wake kukuzunguka the way anazunguka ile action inakufanya mwili wako u roll....hivyo hata ukilala action hii inakuhusu angekuwa anajizungusha kama kamba ungepona.
Niamini Mimi, naongea kitaalamu Kaka, na nimekutana na chatu mara nyingi Sana! Ukishalala chini hataweza kuuzungusha mwili wake dhidi yako.

Pia mechanism yake ya kujiviringisha mwilini mwako siyo sawa na ya tape measure Kama ulivyosema.

Anategemea size ya mwili wake dhidi ya size ya windo lake.
 
Mie naonaga haya ma black jaguar ni danger sana.. nataka nifuge moja
Kuwa makini asije akakuanza wewe mwenyewe, maana Waarab wanafuga wanyama wote hao ndani ya Dubai lakini kwa Jaguar hawajaweza [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Jaguar kakaa kikatili sana.. huenda ndio maana wanamuogopa huenda hata sura yake ya kazi sana.. na huenda sio muaminifu kama baadhi ya aina za mbwa, siku yoyote anaweza kukubadirikia hata mfugaji
 
Hawa wanyama mchawi meno na makucha tu! Mungu asingewapa meno na makucha makali hata binadamu tungekuwa tunapigana nao fresh tu katika harakati za kuokoa uhai!
Kila kiumbe kimeumbwa na njia zake za kujilinda kwani hata samaki ni meno na miba, ila mnyama mkali zaidi ni binadamu na silaha yake kubwa kabisa ni mdomo! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Boss maelezo yako yatakuwa valid endapo tunaye mzungumzia ni swala ila si kwa Binadamu...Scenario hii si uwindaji zaidi bali ya mauaji/kukomoa hapa inaangalika zaidi Aggressive ya mnyama Simba Dume is more aggressive than jike ukikutana nae ana asilimia kubwa ya kukudhuru...Case karibia zote unazosikia binadamu kashambuliwa na Simba ni Dume fuatilia.

Zaidi, Dume ni hatari kuliko jike suala la jike kuwinda ni majukumu.
Kwa simba jike, ukikutana nalo, unalipanda tu
 
Niamini Mimi, naongea kitaalamu Kaka, na nimekutana na chatu mara nyingi Sana! Ukishalala chini hataweza kuuzungusha mwili wake dhidi yako.

Pia mechanism yake ya kujiviringisha mwilini mwako siyo sawa na ya tape measure Kama ulivyosema.

Anategemea size ya mwili wake dhidi ya size ya windo lake.
Mkuu huu ujasiri kwa nyie wa zee wa bawa ni rahisi sana. Ila raia wa kawaida hana uwezo huo
 
Niamini Mimi, naongea kitaalamu Kaka, na nimekutana na chatu mara nyingi Sana! Ukishalala chini hataweza kuuzungusha mwili wake dhidi yako.

Pia mechanism yake ya kujiviringisha mwilini mwako siyo sawa na ya tape measure Kama ulivyosema.

Anategemea size ya mwili wake dhidi ya size ya windo lake.
Nikuulize swali, ukisikia chatu kakamata mbwa unafikiri kamkamata kivipi yani nielezee step by step...nimekuuliza swali hilo kwasababu bila ya chatu kujizungusha kama Tape measure hatoweza kukamata kiumbe chochote Duniani yaani kiumbe inabidi kimuonee huruma chatu kikubali kuzungukwa Kama kamba.

Navyojua First step anakurukia na domo lake akifaniliwa kukingata anauvuta mwili wake kama tape measure kitendo hiko ni sekunde tu.

Nijibu swali anawezaje kukamata kiumbe
 
Kuna clip hii niliwahi kuiangalia kitambo sana, ila kiukweli Tiger ni most aggressive, licha ya kuwa Tiger alikuwa ni mdogo kiumri kwa Lion.
*Lion alikiona cha moto
*Lion alijeruhiwa sana
*Lion alikimbia pambano.

*Tiger kwa vile alikuwa ni mdogo hivyo alikuwa anaishiwa nguvu.

Simba bingwa hapa
 
Back
Top Bottom