Je, chatu anaweza kuua jamii ya paka (Simba, Chui, Duma)?

Je, chatu anaweza kuua jamii ya paka (Simba, Chui, Duma)?

Chatu kama moja ya mnyama anayekula wanyama wengine hakuna utata kuwa chatu anaweza mshambulia na kumla Mbuzi, Mbwa, Swala nk.

Swali: je, chatu mkubwa anaweza mshambulia mnyama jamii ya paka akamla mfano Simba, chui na Duma?
ni swali zuri , nimeangalia picha nyiingi za chatu akiwa anawinda . sijaona kicha ya CHATU akila mmoja kati ya hao wanyama uliowataja , bali huwa anajalibu kwa mfano niliona moja alijaribu kumkamata chui. chui ni mwepesi wakati anamfanyia timing na chui naye aliisha muona hivyo aliponyoosha shingo yake amkamate alipigwa kofi zito kichwani , chatu alikimbia baaa ya hapo. na nyingine alimfanyia timing Simba alifanikiwa kumkamata na kujivirigisha mwilini , lkn hiyo patashika na vurugu zilizotokea pale chatu alimuachia simba , ujue nyoka woote mifupa ya kichwani ni laini , hivyo zile vurugu za simba kujipapatua zilimuthiri kichwani akajifungua na kukimbia.
 
Wote hao kwa kiswahili ni chui ila lugha ya kiingereza ndiyo imewatofautisha leopard ni chui mwenye madoa (chui madoa) ila tiger ni chui mweye mistari (chui milia)! Tanzania sidhani kama tuna tigers ila leopards tunao ndiyo maana watu wengi hudhani leopard tu ndiyo chui!
Hivi Duma mnamuitaje kwa Kiingereza ?
 
ni swali zuri , nimeangalia picha nyiingi za chatu akiwa anawinda . sijaona kicha ya CHATU akila mmoja kati ya hao wanyama uliowataja , bali huwa anajalibu kwa mfano niliona moja alijaribu kumkamata chui. chui ni mwepesi wakati anamfanyia timing na chui naye aliisha muona hivyo aliponyoosha shingo yake amkamate alipigwa kofi zito kichwani , chatu alikimbia baaa ya hapo. na nyingine alimfanyia timing Simba alifanikiwa kumkamata na kujivirigisha mwilini , lkn hiyo patashika na vurugu zilizotokea pale chatu alimuachia simba , ujue nyoka woote mifupa ya kichwani ni laini , hivyo zile vurugu za simba kujipapatua zilimuthiri kichwani akajifungua na kukimbia.
Kwahiyo kifupi hawa jamaa wanataka kula wao tu suala la wao kuitajika kuliwa haliwaingii akilini.
 
Kwanza nasikia chatu anatisha usoni na ana macho makali! Kwahiyo ikitokea ukabahatika kujitupa chini kabla hajakuviriga nasikia hakati tamaa kirahisi atakutambaa mwili mzima akifika usoni anakutazama kama mtu!

Sasa ukiweza vumilia ndiyo pona yako maana ana nguvu na ni mzito sasa imagine anakutambaa! Ni kama simba vile wanasema ukimuona jifanye umekufa maana hali mizoga naye nasikia hakati tamaa kirahisi atakunusanusa kuhakikisha kuwa kweli umekufa sasa uvumilivu wako ndiyo pona pona yako!
Ukitoa hewa chafu tu kwa woga anajua dinner is served
 
Mkuuu hyo uwezo wa kuvuka mto mbele ya mamba naona ni hali ya ujasiri aliokuwa nao simba na mamba wanalitambua hilo.kuwa simba sio muoga na ili kumwa attack huwa shughuli pevu,ninachompendea simba ni ile hali ya ujasiri aliokuwa nao ambao baadhi ya wanyama wengne hawana
Hata watafutaji wa pesa majasiri kama Simba sio waoga waoga tuu hela lazima wakutane nazo kwa njia njema tuu na salama..
 
Simba nimewaweka kwenye kundi la mabomu sio wanyama wa kawaida maana muda wowote wanafanya chochote na kwa yeyote yule ni mnyama asie na hata chembe ya woga anawinda hadi wale wanyama wenye miba mwili mzima na anajua atashinda tuu ingawaje nimeona wakiferi sana
Simba wa jamii ya huko tofauti sana na jamii za huku,
 
Chatu anaweza kummeza hadi Tembo ila akimmeza anakaa hapo hapo had aozee ndo aondoke,,chatu mwili wake upo kama mpira unatanuka ,

Chatu anaweza kumeza hadi gari ndogo kama Passo Vitz nk
[emoji23]
 
Chatu kama moja ya mnyama anayekula wanyama wengine hakuna utata kuwa chatu anaweza mshambulia na kumla Mbuzi, Mbwa, Swala nk.

Swali: je, chatu mkubwa anaweza mshambulia mnyama jamii ya paka akamla mfano Simba, chui na Duma?
Anaweza kabisa ila inategemea timing na size yake na huyo mnyama anayewindwa. Kama chatu ni mdogo hawezi kumla chui au simba ila chatu kama ni mkubwa akakutana na simba,chui au duma bado hajakomaa vizuri anampitia ila kama wote ni wakubwa na afya njema wote wanaogopana labda chui ndo huwa anajitahidi kumdhuru maana chatu huwa anakula sana watoto wake.
 
Inawezekana ila not easy do u know why soms hapa chin.

Wanyama jamii za mapaka makubwa wapo very aggressive haswa haswa wanaposhambuliwa na wanyana wengine chatu atapata tabu sana ikiwemo kuumia sn ivo ata yy anajua kuwa pale vita naweza kushinda ila lazima niondoke na vidonda.
Chatu kwa chui mkubwa hawezi hata kumsogelea,chui ana akili nyingi sana za kushambulia alafu anajua kukwepa tofauti na simba anaeamini manguvu yake tu.
 
Kweli mkuu sifa nyingne ya huyo chui (Leopard) hana rafiki na pia hataki urafikii na hafugiki hata kidgo ni atari sana ukikutana nae andika umeumia 😁
Nimeona chui wakiishi na mbwa.. ila wanachukuliwa wote wakiwa watoto sana, wananyonyeshwa na kulala sehemu moja.. wanacheza pamoja wanakula pamoja na bond yao huwa ni hatari. Na nikaona wanafanya test walichukua chui na huyo mbwa hadi kwenye parking yenye chui wakubwa na huyo chui mgeni na mbwa wake waka watenganisha paliwaka, chui anaona wenzake kama sio chui mbwa ana msuport chui nilipenda sana ile documentary
 
Back
Top Bottom