JAKUGOTE
JF-Expert Member
- Nov 19, 2013
- 871
- 1,221
Jamaa anatunywesha chai live tena kavukavu bila hata vitafunwa aisee!Nimecheka sana eti tuonee huruma
Jamaa anatunywesha chai live tena kavukavu bila hata vitafunwa aisee!Nimecheka sana eti tuonee huruma
Duh huu uongoChatu anaweza kummeza hadi Tembo ila akimmeza anakaa hapo hapo had aozee ndo aondoke,,chatu mwili wake upo kama mpira unatanuka ,
Chatu anaweza kumeza hadi gari ndogo kama Passo Vitz nk
Siku mbili shingo imeoza? We jamaa acha basi...Wapo chatu wakubwa wenye uwezo wa kummeza ngombe na jamii ya paka wakubwa simba nk akimmneza swala dume mwenye pembe ndefu anaanzia nyuma matakoni mpk ktk shingo la swala hapo anabana mdomo atakaa hivyo kwa siku 2 mpk shingo ioze ikikatika anaweza kutafuta mlo mwingine kutegemea na ukubwa wake
Sure mkuu! That was exactly my point!Umepata kiasi Fulani lakini pia umekosea kidogo
Wao wanakuwa na mgawanyo wa majukumu jike anawinda
Dume linalinda territory isivamiwe maana ni rahisi sana kuvamiwa na Dume lingine likampiga dume kisha linauwa vitoto linachukua jike wanaanzisha family hapo
Dume nae ana kazi kubwa sana sio mchezo
Kwanza vidume vikifikisha miaka 5 tu baba yao anavifukuza vikajitafutie hebu waza huko njiani hatari nyingi ,chakula vinapata wapi? Na baadae linakua na kuwa Dume unadhani litakuwa lizembe kweli .?
Wakati jike anakaa kwa wazazi mpka anapokua ,anawinda sababu ni mwepesi
Labda Yanga mkuu, kwanza huyo ni tiger ni mdogo kabisa.Simba bingwa hapa
Mkuu Panther ni Genus ya hao wanyama. Hata simba naye ni Panther na hilo neno linatokana na scientific name Panthera.Black panther au Panther, huyo ni Jaguar mweusi, hiyo inatokana na kasoro za kijenetic.
Chui au Jaguar anapozaliwa na rangi nyeusi huitwa Panther.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Kila kiumbe kimeumbwa na njia zake za kujilinda kwani hata samaki ni meno na miba, ila mnyama mkali zaidi ni binadamu na silaha yake kubwa kabisa ni mdomo! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]
ChuimiliaNa tiger tunamwitaje mkuu?
HeeeKwa simba jike, ukikutana nalo, unalipanda tu
Chatu gani tena uyo anayemeza passoChatu anaweza kummeza hadi Tembo ila akimmeza anakaa hapo hapo had aozee ndo aondoke,,chatu mwili wake upo kama mpira unatanuka ,
Chatu anaweza kumeza hadi gari ndogo kama Passo Vitz nk
SafiMkuu Panther ni Genus ya hao wanyama. Hata simba naye ni Panther na hilo neno linatokana na scientific name Panthera.
Scientific Names zao ni
Lion - Panthera Leo
Leopard - Panthera Pardus
Tiger - Panthera Tigris
Jaguar - Panthera Onca
Panther ni jina linalotumika kurefer any Big Cat hivyo halina uhusiano na rangi. Yoyote kati ya hao hasa Chui akizaliwa mweusi ataitwa tu Black Panther ila ukisema tu Panther unamaanisha wote hao hata wasio weusi.
Sio wembe Mkuu, achukue Jambia kabisa yenye ukali wa wembe au sime kisha aendechukua wembe,elekea kwenye Chaka la chatu arafu jaribu hicho unacho kiwaza.
Kesho nikija humu nakuletea kinywaji pendwa maana umetisha kwa Taxonomy ya hao paka.😍Mkuu Panther ni Genus ya hao wanyama. Hata simba naye ni Panther na hilo neno linatokana na scientific name Panthera.
Scientific Names zao ni
Lion - Panthera Leo
Leopard - Panthera Pardus
Tiger - Panthera Tigris
Jaguar - Panthera Onca
Panther ni jina linalotumika kurefer any Big Cat hivyo halina uhusiano na rangi. Yoyote kati ya hao hasa Chui akizaliwa mweusi ataitwa tu Black Panther ila ukisema tu Panther unamaanisha wote hao hata wasio weusi.
Duma ni cheetah.Nahisi duma ni tiger, na Leopard ni Chui. Na Jaguar ni paka mweusi, na kuna Chita ndio chita
Chita[emoji777] cheetah [emoji3581]Nahisi duma ni tiger, na Leopard ni Chui. Na Jaguar ni paka mweusi, na kuna Chita ndio chita
Panther