Je, chatu anaweza kuua jamii ya paka (Simba, Chui, Duma)?

Je, chatu anaweza kuua jamii ya paka (Simba, Chui, Duma)?

Nasikia chary akikubana.. wewe mchane na kiwembe kidogo tu atararuka mwili mzima alitaka kubana..sijui ni kweli
Yes ni kweli
Ni mara chache sana chatu kumkuta ameweka windo lake kwa wanyama welevu na wanaotumia akili nyingi. Wanyama wanaotumia akili nyingi ni pamoja na;
Binaadam
Chui
Paka
Nguchiro
Nyegere
Simba
Tembo.
Akijatahidi sana anaweza kumbabatiza kwa kujichanganya binaadam ila kwa tahadhari kubwa sana.
Mbona mbwa mwitu (mfalme WA Pori ) Hawapo kwenye list yako?
 
Chatu Ni hatari Sana, akikunasa ukaanza kubabaika badala ya kupambana Basi ujue umekwenda na maji.

Pia unashauriwa ukiona anataka kujizungusha mwilini mwako lala chini ili akose namna ya kujiviringisha, roll down then sepa kwa Kasi ya 4G
 
Chatu kama moja ya mnyama anayekula wanyama wengine hakuna utata kuwa chatu anaweza mshambulia na kumla Mbuzi, Mbwa, Swala nk.

Swali: je, chatu mkubwa anaweza mshambulia mnyama jamii ya paka akamla mfano Simba, chui na Duma?


Wataalamu wa wanyama wanasema kamwe Chatu hakamati mnyama asiyeweza kummeza, chatu hukamata mnyama kwa kuvizia, ni lazima kwanza aweke mtego mahali ambapo mnyama atapita na ndipo humkamata kwa haraka mno kiasi kwamba mnyama analiyekamatwa hukosa kabisa nafasi ya kujitetea, taya zake zina nguvu kubwa kiasi kwamba aking'ata kitu ili kuachanisha mdomo wake inahitaji wanaume wawili walioshiba wavute taya zake kwa nguvu mno ndipo waweze kunasua kitu alichong'ata.

Chatu asiyetega anaweza kuuawa na kuliwa na Chui au simba au nguchiro au Honey badger (Nyegere) kwa urahisi sana

Chatu mkubwa aliyetega mtego anaweza kukamata Chui, Duma, Simba, Fisi nk. na akawameza.

Angalia kwenye Youtube uone jinsi chatu akimtapika MTOTO WA KIBOKO aliyekuwa kummeza.
 
Akishakuwahi huwezi kutumia nguvu hata kidogo make ana kucha mbili kali sana mkiani ambazo huzisweka fasta kwenye mwili wako na kwa wepesi wa hali ya juu anakuroll na kujivuta kwa kukufunga kwa nguvu wakati huo zile kucha zinabana kukunyima pumzi!
Unapokuwa traped na chatu cha kwanza kabisa ni kuvaa ujasiri na kisha react kimapambano. Kama una kitu chenye ncha kali ni msaada tosha kwako kumlarua pembezoni mwa kiwiliwili chake au kama una panga kata kwa kufyeka/chonga na ukiwa huna siraha kabisa daka bichwa lake tanua domo lake kwa nguvu atachanika kama karatasi.
Domo linaloweza kumeza ng'ombe unaanzaje kulitanua hadi lichanike huku mikono yako ikiwa imefungwa fungwa na mwili wa chatu huyo?
 
Mkuu taratibu, Tiger ni Jaguar
Nenda kagoogle vizuri mkuu.
images (2).jpeg

Jaguar

Tiger
images (1).jpeg
 

Attachments

  • images (2).jpeg
    images (2).jpeg
    43.4 KB · Views: 23
Mna utani na Simba ninyi, yaani Simba muda wote anatafuta shari aliwe na chatu...Simba ana hisia Kali sana na huyo chui kutegwa kiboya sio rahisi wale wanyama kwanza wananusa kabla ya mambo mengine na wao wana harufu yao tofauti ambayo viumbe wengine ni rahisi...
 
Mkuu taratibu, Tiger ni Jaguar


Wewe umepata wapi hii kitu, Tiger wanapatikana India, Srilanka, Russia na sehemu fulani za asia tu na ni mkubwa sawa na simba au hata kumzidi simba (Siberian Tiger), ngozi yake inayo michirizi myeusi na madoa ya njano. Jaguar yeye anapatikana Amerika ya kusini hasa katika misitu ya Amazon yeye anafanana sana na Chui wa huku Afrika na madoa ya ngozi yake yanafanana sana na yale ya chui ila yeye ni mkubwa kidogo kuliko chui na mdogo kuliko Simba na hapendi kukwea mitini kama chui ila ni muogeleaji mzuri na chakula chake kikuu ni mamba (Caiman crocodile) na Wanyama wa mitoni kama Capebara nk, Waweza kusema Chui na Jaguar wanafanana mno kimaumbile kuliko Jaguar na Tiger, kwa taarifa na habari zaidi ya hao wanyama Google.
 
Back
Top Bottom