Je, CHADEMA hawaelewi maana ya Lockdown?

Sasa kama hatuwezi kuwapima hata watu wetu, inakuwaJe tunatamba kwamba maambukizi ni machache ?!

Umeona juzi watu wanagundulika na kufariki siku hiyo hiyo !!. Maanake mitaani ameacha amechakaza

Odhis *
Ukifanya uzembe wa kuishi kama jana utakufaaaa na familia yako.
 
Huwezi kupata jibu kwa sababu akili zao zimeshikiliwa na mabeberu. Hawa jamaa ni bure kabisa na ni aibu kwenye jamii yetu. Hivi wanaomba ugonjwa huu uwamalize Watanzania lakini Mungu ni mwema. Sweden hawana lock down na wanaendelea na maisha na raia wake wameaminiwa kufuata kanuni za self hygiene.
Kwa uzwazwa na udwanzi wako ujue tu mpaka leo Sweden wamefariki 887.Sasa unataka na sisi tuendelee kuisha?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadhani Chadema hawaelewi maana ya lockdown ndio maana wanaishabikia bila kutafakari kwa mapana.

Tanzania haina uwezo wa kuwafungia watu ndani na kuwafanya waendelee kula ugali na maharage huku wakikosa uhuru wa kutoka nje pekee.
Huko Ulaya kwenye lockdown raia wanahakikishiwa kupata mkate wa kila siku baada ya kupoteza kipato kwa kutokwenda kazini, je hapa tutaweza?

Viongozi wanaweza kukaa ndani hata mwaka kwa sababu akaunti zao zimenona, je wamachinga wanajua hata akaunti ya benki.

Afrika inaweza kutafuta namna yake ya kuwatuliza watu majumbani ili kuepuka mikusanyiko lakini siyo lazima tuige utaratibu wa wazungu wale serikali zao zimeachilia matrilioni ya fedha kuwezesha hizo lockdown.

Hapa Karantini tu inatusumbua hiyo " standard" lockdown tutaiweza kweli?

Niwatakie Pasaka yenye baraka!

Maendeleo hayana vyama.
Ndiyo maana hatuwezi kuwa nchi watuongoze kama hawawezi hata kuelewa hali halisi ya maisha ya watanzania wanaweza wakatulazimisha tuishi kama wazungu ikiwemo kuwa mashoga!
 
Kwakweli kila siku inayopita unaendelea kua mtu wa ajabu.
Tanzania ina chakula cha kutosha yaani miezi 8
Pili nchi hii inapesa za kigeni zinazoweza kutumiwa kwa miezi 6
Tatu hii nchi si maskini ata siku mmoja huo ulikua ni uongo wa zamani
Nne..Huduma ya Afya ipo imara..awu hii tumejenga vituo vya afya kila kijiji,Hospitali kila Wilaya
Mwisho..naomba uandike Uzi wa kumtaka radhi Mh.Rais
 
Wadudu wanaendelea kuzaliana na kuua seli za Watanzania huku Wachunga Ng'ombe wakiendelea kula miwa na kufyonza utamu huku wakishushia Kahawa iliyomixiwa na tangawizi
 
Ndiyo maana hatuwezi kuwa nchi watuongoze kama hawawezi hata kuelewa hali halisi ya maisha ya watanzania wanaweza wakatulazimisha tuishi kama wazungu ikiwemo kuwa mashoga!
Mkuu...ina maana hii nchi ni maskini? Kwahiyo unataka kusema Mh.Rais anatuongopea kwa kusema hii Nchi si maskini na sisi ni MATAJIRI.
 
Wewe kama ufahamu chochote kaa kimya tbc wanasema grolia ajafa myangazaji wa habari za biashara wakati ..sisi ndugu zake tuko tunafanya usafi kwake na taratibu za mazishi zinaenderea ....hila serikali inaficha kuwa ajafa yuko hai wakati kafa na corona.
Mkuu unaweza leta uthibitisho?

Senti bai yuzingi tecno T301
 
Una vifaa vya kufanya hiyo mass testing? Je, ukishafahamu nani ana ugonjwa na nani hana utafanya nini? Hata nchi kama UK hawajaweza kufanya hiyo mass testing! Upo ulimwengu upi mkuu?
Atakuwa kasoma CNN hilo neno mass testing lakini jinsi ya ku conduct hiyo mass testing hajui.

Hawa ndio wale waafrika wakifika Ulaya wanasahau changamoto za kiafrika na utatuzi wake wanalinganisha kama USA wameweza kuwa kuwapa wananchi wao mahitaji ya kujikimu basi wana apply kwa nchi za Afrika.

Hajui lockdown/curfew hapo Kenya inafanywa kama General attachment ya kutafuta waharifu.
 
giphy-1.gif

Ni wakati kulia na kusaga meno na kujuta kwanini tulimchagua huyu mchunga mifugo
Sasa tumefanywa mifugo
 
  • Thanks
Reactions: prs
Back
Top Bottom