Je, Captain Tesha ni nani?

Anamuona mmoja mbele ya Camera hajui km nyuma ya Camera kuna kikosi cha kutosha sasa tupigwe risasi hio siku tukiwa tunaandamana nadhani kashasema ole ole ole wake askari polisi wawapige risasi wananchi maana hio ndio tabia yao
Sidhani kama hata hiyo siku itafika kabla jambo halijatokea.
 
Wanaosema si mwanajeshi please nina ombi kwa afande CDF.Namuomba afande CDF kupitia msemaji wa jeshi wakanushe taarifa hii mapema ndani ya masaa 24 baada ya hapo kiukweli ata mkija na ushahidi wa video sitaelewa chochote(maana sahivi raia tunaweza vaa sare za jeshi tukajipa mavyeo (nakuja kujipa cheo cha brigedia general shauri zenu JWTZ)na kwenda live)
 
Kashfa za kifisadi kubwa kubwa chini ya Kikwete. Huyu mtu ni hatari


EPA
RICHMOND
MEREMETA, TanGold, deep green finance
RADAR
ATCL & South Africa Airways
Tegeta ESCROW - IPTL
KIWIRA
Gas Mtwara
NSSF KIGAMBONI
Bagamoyo Port
TTCL - ZTE
TPA & TICTS
Manunuzi sare za jeshi n.k
 
Mbamizwa katumeni
 
Mjinga Mmoja weee, unakuta weé ni shushushu unatafuta habari za kwenda kuisumbua Familia na MARAFIKI wake.

Mamaee, Inamaana hata mwanajeshi bila Gwanda akiwa anaongea Hujui kua ni mwanajeshi????


Utakua ni zwazwa shushushu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…