Je, Captain Tesha ni nani?

Je, Captain Tesha ni nani?

Ni kweli, CCM haitotoka madarakani, lakini lile genge la mtandao lazima litoke ili CCM ipone.
upigaji ni hulka ya binadam sio swala la ccm, na sio kitu cha kukufanya wewe ushindwe kuendelea, huezi sema umekua maskini kwa sababu ya upigaji
 
Amejifukuzisha kazi leoleo ,wanamshabikia wamemponza

USSR
 
Mwandishi: Kwa maana hiyo mpango huo ungefanikiwa je bidhaa hizo zingeonekana?

Rubani: Rais wa awamu ya pili Ali Hassan Mwinyi aliiokoa nchi baada ya kuruhusu kila kitu kiingie nchini hata bila ya kutoza kodi. Mwinyi aliituliza nchi. Pia Serikali iligundua kwamba waliokamatwa walitaka mfumo wa vyama vingi vya siasa ili kuishtua CCM ambayo ilikuwa imejisahau na hivyo kuanzishwa kwa vyama vingi jambo ambalo lilitekelezwa baadaye.
Historia ina tabia ya kujirudia
 
Taifa haliko salama chini ya kibibi na jk wake
Taifa kumbe lipo salama kuliko tulivyodhani, lisingelikuwa salama kama hao nao wangeamua kupiga kimya, yeye mwenyewe kasema,TUMAINI LA MWISHO la wananchi limebakia kwa jeshi tu, that means wanajua kabisa hao polisi, tiss, wameshageuka vikaragosi vya ccm,hence wananchi hawawaamini wala kuwategemea tena, mitano tena
 
Back
Top Bottom