stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 18,964
- 14,742
mm uyo nkiwa naasubiriaChawa umepanic! Utaona mengi ambayo hukutegemea!
View: https://www.tiktok.com/@dir_gabodon/video/7552087850259418424
mm uyo nkiwa naasubiriaChawa umepanic! Utaona mengi ambayo hukutegemea!
Samia kuvisit social medias nafikiri alifanya kipindi kile mwanzoni mwanzoni bado anatusoma wabongo akili zetu ziko vipi, maana huku mitandaoni ndio huwa tunaweka hisia zetu halisi.. nafikiri hapo hata wana mtandao walikuwa bado hawajaanza kumuendesha kma gari bovu.... siku hizi sidhani kma Samia ana muda hata wa kupita mitandaoni kusoma comments za wabongo, sana sana tu atakuwa anapewa taarifa za mawazo waliyonayo wabongo na machawa akina Msigwa ambao nao bila shaka wanampa za uongo ajione anakubalika.Shukran sana mkuu, na huu ndio ukweli taifa liko vipande vipande chawa na wapambe wanamdanganya Samia hali ni shwari sababu wanapata handouts kama ujira , kinachoshangaza ni Samia kuwahi kukiri pia anaingia mitandaoni yeye kama yeye je hayaoni haya?
Leo ukipita mitandaoni aina ya uungwaji mkono wa Cpt Tesha ambaye pengine mimi na wewe ndio leo mara ya kwanza tunamuona na kumsikia inatoa alarm kuwa hali tuliyopo ni mbaya.
Hili la vyombo kuwa imara kila nchi lazima iseme ni aina fulani tu ya hadhi na sifa ila kwa kusema ukweli vyombo vyote vya ulinzi duniani ni imara ila sio kwa wananchi wake waliogadhabishwa , mfano mingi ipo tu na wala haina shaka tumeona watawala wakiachwa kwenye mataa na walinzi wao huku wakishughulikiwa na wananchi wenye hasira kali.
Na bahati mbaya nguvu hii ya mabavu kwa hatua aliyofika haitasaidia leo umeonekana mpasuko wa wazi je tutajuaje kama hakuna polisi naye atajitokeza kuitisha press yake kutoa ya moyoni?
Je wale wazee na wanaccm wengine wangapi hawaungi mkono sasa wakijitokeza wazi wazi .?
Uchawa inabidi tuuongeze kama maadui wa taifa.
Hawa ndio wanampotosha kwa maslahi yao ila watashangaa sana kuwa nchi ni kubwa kuliko mtu mmoja au kikundi cha watu.
Wamechelewa sana kujua wako nyuma ya wakati na watanzania wa sasa sio wa 1960-1970.
kwahio na wewe uliamini kweli yule ni mtoto wa usalama? alafu unatakiwa uelewa dunia inaendeshwa kwa mfumo wa capitalism wachache wapate haiwezekan wote wapate, kila mtu akiwa tajiri uchumi unaharibika wote izo porojo wanasiasa wanawajaza ni kukosa elimu na kua mlimbukenUnataka kusema jeshi lipo upande wa Abdul, upande wa Angela Kiziga, upande wa watoto wa Mombo wanao onyesha dola laki tanu nje nje, upande wa Rostam, upande wa mtoto wa Karim Alibhai shoppers, upande wa Harbinder Singh.
Watu wanaoikamua nchi wakati wanajeshi tunao mtaani?
Sawa, wewe endelea kula bata na mtoto wa Kizigha jeshi liko upande wenu linawalinda.