100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 8,733
- 30,458
Haitosaidia...Chap utatoka waraka wa kumkana, au watasema ana changamoto ya afya ya akili
Hili suala limeishia hivyo...
Samia ndio kaondoka hivyo...
Huyu akipuuzwa atatoka mwingine.
Haitosaidia...Chap utatoka waraka wa kumkana, au watasema ana changamoto ya afya ya akili
Ccm akili zimelala kweliKama mtu amejitambulisha kwa majina na kikosi alichopo wewe unatilia shaka kwa nini?
Anamuona mmoja mbele ya Camera hajui km nyuma ya Camera kuna kikosi cha kutosha sasa tupigwe risasi hio siku tukiwa tunaandamana nadhani kashasema ole ole ole wake askari polisi wawapige risasi wananchi maana hio ndio tabia yaoBado haamini kama JWTZ wametoka na hizi hoja
Sielewi chochote kiongozi.Sema huyu kwa haraka haraka ni mwanajeshi, sababu hizi hapa:siasa ni michezo, usije ukaashangaa sku lissu huyo ccm
alafu akamuita president mama? au sioSielewi chochote kiongozi.Sema huyu kwa haraka haraka ni mwanajeshi, sababu hizi hapa:
Kavaa sare zinazotambulika na Jeshi la Wananchi wa Tanzania(JWTZ).Hivyo hii inatosha kusema ni mwanajeshi(mpaka pale taarifa rasmi kutoka Jeshini)
Kataja kikosi ambacho anahudumu(unaweza kutafuta kama kikosi hicho tunacho au hatuna(hapa sina jibu))
Wakati anatoa hotuba yake unasikia kwa nyuma kuna pilika za vingora kibao ikionyesha either hii ni sehemu ya kijeshi au ni vingora vya barabarani(ambulance au magari ya viongozi wakubwa wenye vingora).Kiufupi angekuwa raia wa kawaida nadhani alikuwa anarisk kizembe
Muda utasema lakini bibi kachokwa huyu
sare za jeshi si ata ukimaliza form 6 unapewa aisee kijanaSielewi chochote kiongozi.Sema huyu kwa haraka haraka ni mwanajeshi, sababu hizi hapa:
Kavaa sare zinazotambulika na Jeshi la Wananchi wa Tanzania(JWTZ).Hivyo hii inatosha kusema ni mwanajeshi(mpaka pale taarifa rasmi kutoka Jeshini)
Kataja kikosi ambacho anahudumu(unaweza kutafuta kama kikosi hicho tunacho au hatuna(hapa sina jibu))
Wakati anatoa hotuba yake unasikia kwa nyuma kuna pilika za vingora kibao ikionyesha either hii ni sehemu ya kijeshi au ni vingora vya barabarani(ambulance au magari ya viongozi wakubwa wenye vingora).Kiufupi angekuwa raia wa kawaida nadhani alikuwa anarisk kizembe
Muda utasema lakini bibi kachokwa huyu
Tuwekee apa mkuu iyo videoKuonyesha kutikishwa na hii breaking bad, tayari wameshafungia youtube.
Kiongozi unazo ngapi unipatie na mimi niende live sasa hivi.sare za jeshi si ata ukimaliza form 6 unapewa aisee kijana
Tuwekee apa mkuu iyoKuonyesha kutikishwa na hii breaking bad, tayari wameshafungia youtube.
inaonekana we siasa hauna D mbili badoKiongozi unazo ngapi unipatie na mimi niende live sasa hivi.
Katika reasoning hii inanitosha kuhitimisha ni mwanajeshi mpaka taarifa rasmi.(sare za jeshi hazivaliwi kizembe hivyo ukiachana kwamba zinapatikana)
umesahau juzi juzi tu apa walikua wanakamata watu wanaovaa izi sare uraianiKiongozi unazo ngapi unipatie na mimi niende live sasa hivi.
Katika reasoning hii inanitosha kuhitimisha ni mwanajeshi mpaka taarifa rasmi.(sare za jeshi hazivaliwi kizembe hivyo ukiachana kwamba zinapatikana)
Wewe unazan uyo president yupo chin ya Nan Wacha kujizima data mkuuanamuomba CDF afanye kazi ya president 😂
Sawa kiongozi lakini potelea mbali mimi huyu namtambua kama captain mpaka pale nikiona taarifa rasmi ya Jeshi la Wananchi kukanusha hikiinaonekana we siasa hauna D mbili bado
Tunaongea lugha moja kuna watu wamesema atakuwa detained nimewajibu wako nyuma ya muda ukishika huyo nyuma yake wapo wangapi na watakuja kwa mtindo upi hapo ndio kinabaki kitendawili.Haitosaidia...
Hili suala limeishia hivyo...
Samia ndio kaondoka hivyo...
Huyu akipuuzwa atatoka mwingine.
Mbona utambulisho wake uko wazi! Au unafikiri ni rahisi kwa raia tu from nowhere anaweza akajitokeza hadharani na kujitambulisha kama ofisa wa jeshi, na kukemea uhuni unaoendelea nchini?View attachment 3483210
Je kweli ni mwanajeshi au kavaat mavazi jeshi
Je ni kweli yupo kikosi cha anga
Je kuna watu wamesoma nae majirani wanaweza kuthibisha kuwa ni mwanajeshi
JWTZ pia watoke watoe tamko nani ni captain tesha
Kachafua hali ya hewa sana leo hapa nchini
we jamaa banaWewe unazan uyo president tupo chin ya Nan Wacha kujizima data mkuu
kipindi cha uchaguzi hikiSawa kiongozi lakini potelea mbali mimi huyu namtambua kama captain mpaka pale nikiona taarifa rasmi ya Jeshi la Wananchi kukanusha hiki