Extra focus
JF-Expert Member
- Mar 28, 2021
- 608
- 1,139
Mkuu wewe una wasiwasi na yeye kuwa mwanajeshi au una wasiwasi na ujumbe aliotoa?View attachment 3483210
Je kweli ni mwanajeshi au kavaat mavazi jeshi
Je ni kweli yupo kikosi cha anga
Je kuna watu wamesoma nae majirani wanaweza kuthibisha kuwa ni mwanajeshi
JWTZ pia watoke watoe tamko nani ni captain tesha
Kachafua hali ya hewa sana leo hapa nchini