Stuxnet
JF-Expert Member
- Feb 12, 2011
- 17,564
- 27,633
Vigezo gani umetumia au ndio kigezo chako kikubwa ni Grok?
Vigezo gani umetumia au ndio kigezo chako kikubwa ni Grok?
Jina halijakamilikaKama mtu amejitambulisha kwa majina na kikosi alichopo wewe unatilia shaka kwa nini?
Tesha ni wa kuria vunjo huyuNi captain huyu, jirani yangu kabisa kule moshi
Stupid!!wewe tarehe 29 toka utajua kama wapo upande wenu ama laa
sasa unanuna nn na nmewaambia muendelee na agenda ya tar 29 😂Stupid!!
Ignored
Ni kweli Ni Askari japo last time alikua leftenant when we meet 603 air force Dar es salaam:
Ok tuletee nembo halisi inafananaje.
Watu kama murilo muda huu chakula hakiliki hakimezeki. Njaa hasikii kushiba hajisikii ni fulu kivurugwa tumbo.Watekaji mavi debe😅
😀😀😀 Unahangaika sana, huwezi ukashindana na waliokuzidi akili na mikakati, mlisema kwenye mwendokasi watu hawawezi kuandamana.Hii ni "sukari trap" nini kupata "rouge elements" zote huko kunako husika?
===
Teknolojia inakwenda kasi sana
Kweli mahangaiko si mazuri, ebu nifafanulie zaidi.😀😀😀 Unahangaika sana,