moto wa maji
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 4,174
- 3,006
Jibu la swali la 1..hakuna vitu au majibu yanayotofautiana halafu tukasema sahihiMkuu wayahudi wanadai kulikuwa na fixed canon ya vitabu 39 vya agano la kale...... Ethiopian orthodox nayo inadai kuna fixed canon ya vitabu 81 ambavyo wao walivitunza ila wayahudi walivipoteza mfano book of Enoch... Hivyo kiufupi kila mtu anavutia upande wake lakini kila kanisa linasema hiyo kanuni ilikuwa planned na Roho mtakatifu ndio sasa najiuliza
1. Je wote wapo sahihi?
2. Je Roho mtakatifu anakinzana?
3. Kma hakinzani kwanni kila dhehebu liwe na Biblia yake?
4. Je kma mmoja ndio yupo sahihi na wengine wamepotoka kwa kupunguza/ongeza namba ya vitabu nini hatma yao ?
I hope hoja imeeleweka mkuu
2:kwani roho mtakatifu ameandikwa kwenye agano la kale ?ninachofahamu roho mtakatifu amekuja baada ya Yesu kuondoka
3:kukinzana kwa madhehebu ni mfumo tu wa kidunia
4:hitimisho ni neema au motoni