Tz mbongo
JF-Expert Member
- Mar 12, 2015
- 15,096
- 8,906
Sawa dini zinaweza kuwa ni uongo,je uliposimamia wewe sasa una hakika ndio ukweli ulipo? Au wewe kuona dini ni uongo ndio unaona umemaliza kila kitu?
Sawa dini zinaweza kuwa ni uongo,je uliposimamia wewe sasa una hakika ndio ukweli ulipo? Au wewe kuona dini ni uongo ndio unaona umemaliza kila kitu?
Luther Bible imevunja amri ya 9 ya kutoshuhudia uongo..... Martin Luther anamuita muandishi wa waraka wa Yakobo,waebrania na ufunuo ni manabii uchwara je huo ni ukweli?? Kama sio ukweli huoni kavunja hiyo amri?? Hapo sijaja Biblia ya mormon New world Translation, bado Ethiopian Orthodox Bible!!
Shida hamtafiti mnakaririshwa tu uongo makanisani..... Mara cjui maji ya upako,sabuni ya uzima na miujiza ya kuwashika akili ndio maana hambadiliki
Ushauri tu ukiingia mijadala kama hii kuwa na free mind ili ujifunze ila ukiingia kwa misingi ya kutetea tu imani yako hutojifunza mwisho wa siku utakuwa kama mafarisayo ambao walikuwa na Biblia yote kichwani ila hawakumtambua Yesu sababu walikaririshana uongo wakaacha ukweli uwapite pembeni
Ujumbe mkuu tangu Mwanzo hadi UFUNUO..... Very well sasa nisaidie hapaNi uzi mzuri ingawa nitaamini mwandishi umeegemea upande Fulani (Sory 4 that). But hiyo Ndio sifa ya ubinadamu coz Hata hao waandishi wa vitabu vya dini wote unaowajua wewe wameandika kwa muktadha wa upande/maslahi Fulani.
Swali rahisi "Ni Kitabu gani cha
kidini ambacho hakijaandikwa kwa upendeleo wa dunia husika)?
Ujumbe mkuu ndani ya Biblia takatifu ni WOKOVU WA MUNGU KWA WANADAMU.
Tangu Mwanzo hadi ufunuo. Huo Ndio msingi wao neno la Mungu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila mkuu kwa uonavyo wewe unadhani ukristo kiujumla umejengeka katika misingi ya kuhoji?Shida yenu wafia dini hampendi kureason kabisa na ndio maana kila swali gumu mkiulizwa mnakimbilia kusema UNATUMIKA NA SHETANI..... Na hii ndio sababu hao manabii feki kina Gwajima,Mzee wa upako wanawaburuza tu sababu mnafuata fuata kila kitu bila kuhoji. Kama mada imekushinda kaa pembeni huoni hao wenzako wanajibu hoja kwa maandiko bila kulialia kma wewe. Nyie ndio mnashusha hadhi JF !!
Luther and the ‘Epistle of Straw’eti amevunja Amri ya.9 [emoji38] [emoji38] weka Ushahidi alipo sema [emoji117] SEMA UONGO acha bla bla...[emoji117] weka aya kama hii koloani ilivyo ruhusu uongo [emoji117] View attachment 997743 huo ushauri unaonipa naulinganisha kwamba wewe inalia lia tu [emoji15] [emoji4]
Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
Yes hata Biblia inataka tuhojiIla mkuu kwa uonavyo wewe unadhani ukristo kiujumla umejengeka katika misingi ya kuhoji?
Henoko ni moja ya kitabu katika Biblia ya Ethiopian Orthodox church ambacho kinakinzana kwa kiasi kikubwa na kitabu cha mwanzo kilichopo Bible ya protestants sasa kma mkristo ni sawa kufuata misimamo ya Nabii Henoko wa Biblia ya orthodox au kufuata mafundisho ya kitabu cha mwanzo cha Bible ya protestants??
NB: Ieleweke kuwa naposema Bible ni kwamba zote zina mizizi kwenye Biblia ya wayahudi/waebrania nikimaanisha zina mtiririko wa Genesis-revelation ila wanapishana baadhi ya vitabu vichache.
Protestants na RC wanatofautiana na baadhi ya vitabu vya wayahudi ndio maana kuna wengine walifuata septuagint na wengine walifuata masoretic texts (nimeshaeleza kwenye mada) so wanatofautiana kwenye baadhi ya misimamo.
Mfano ufunuo ni kitabu muhimu sana kwa wakristo lakini Bible ya martin luther ilimuita Yohana "Nabii uchwara" na alipanga kukifuta hicho kitabu sasa kwa mtazamo wako Biblia inayopinga ufunuo wa yohana yaani kurudi kwa mara ya pili kwa Yesu itakuwa sawa na Biblia inayokubali na kueleza kwa kina kurudi kwa mara ya pili kwa Yesu??
1. Mkuu nadhani nimeeleza vizuri kabisa kwenye mada kwamba Biblia zote zilikuwa za wayahudi ila walitofautiana namba ya vitabu na ndio hoja yangu hapa ilipo yaani jews wa alexandria walikuwa na vitabu vingi kuliko jews wa Judea hapo bado Waisrael wa samaria nao walikuwa na Biblia yao yenye vitabu tofauti na wayahudi hao wengine let alone wayahudi wa ethiopia nao walikuwa na Biblia yenye vitabu vingi zaidi kuliko wayahudi hao wengine 3 so mpaka hapa hoja ni NAMBA YA VITABU sio asili ya hiyo Biblia.Kwa kukiri kwako kuwa Biblia zote zinatokana na Biblia ya Kiyahudi/Kiebrania. Hivyo Basi, Mjadala unaishia hapo.
Kwamba zote ni sahihi kwa kila mmoja anayeitumia kwa kadri ya tafsiri yake, kati ya RC, Protestants ama Orthodox.
Je, Ecoch book ipo kwenye Hebrew/Aramec or Greece?
Na Hakuna Mlutheri anayetumia Biblia ambayo haina UFUNUO.
Labda uniwekee hapa hiyo Bible ya Martin Luther . kwa nijuavyo mimi HANA Biblia. na hii ni kwa wote. hakuna mwenye Biblia yake isipokuwa wana tafsiri ya Biblia kutoka ARAMEC/HEBREW ama Greece maana hizi ndio Biblia ziliandikwa na kutumiwa na Wayahudi Kabla na Baada ya ya Christ.
Je, unaweza kutuwekea hiyo biblia ya Martin Luther.
Luther and the ‘Epistle of Straw’
[emoji115] [emoji115]
HII NI AYA NILIO KUOMBA UIWEKE [emoji350] HUWEZI UKAJIITA WEWE NI MKRISTO HUKU UNASEMA UONGO [emoji15]
Kingine uache tendency ya kudhani kila anayehoji humu lazima ni muislam kwani hakuna mkristo anayeweza kuhoji imani yake akiona inaenda sivyo ndivyo au ni lazima mpaka awe imani nyingine??
[emoji115] [emoji115]
TUNAPIMA HUYU MKRISTO NA HUYU SIO KWA YEYE KUJIFUNUA KTK KUWAZA KUNENA NA MATENDO YAKE [emoji106]
BTW Kuna mahala nimesema humu kuwa Biblia ikiwa na discrepancy basi suluhisho ni Quran?? Sasa ya nini kukashifu vitabu vya watu?? Je hii ndio ilikuwa nia ya huu uzi??
NI VYEMA SANA KAMA UNGEWEKA HICHO NILICHO KIKASHIFU [emoji15] UKWELI ULIOMO KWENYE BIBLIA TAKATIFU HAUIHITAJI KOLOANI KUTHIBITISHA HIYO KWELI ILA NAITUMIA KAMA PENETRATING OIL KUFUNGUA NUT ZENYE KUTU VICHWANI MWA MAKAFIR [emoji106] NIA YA UZI IKO MFUKONI MWAKO UNAIJUA [emoji106] NINACHO FANYA NI KUITOA NIA YAKO MFUKONI NA KUIWEKA HADHARANI
Ndio maana nlikwambia huu uzi sio wa wafia dini bali free thinkers kama mada imekushinda kaa pembeni maana umeshindwa kujibu mada umekalia kudakia vi-screenshot tu vya Quran na kuvileta humu.
Unajiabisha tu na ndio maana group lenu la whatsapp lile la Biblia ambalo wewe ulikuwa member mkavurugana sababu ya kuingia pupa kwenye mijadala.
Wewe binafsi Utapimaje hii Roho ni ya Nabii wa Uongo [emoji350]Yes hata Biblia inataka tuhoji
1 Yohana 4:1
1 Wapenzi, msiiamini kila roho, bali zijaribuni hizo roho, kwamba zimetokana na Mungu; kwa sababu manabii wa uongo wengi wametokea duniani.
Biblia hapa inatuonya kuwa manabii wa uongo ni wengi so lazima tuzijaribu na tuzipime ili zisitumeze
Sasa huoni manabii wa uongo wanaweza jipenyeza hata kuandaa Biblia zao then wakahadaa watu kuwa zimetoka kwa Roho mtakatifu na watu mkakubali na mkapotea? Je huoni ni lazima kuhoji hapo ili kugundua ukweli??
Na ndio maana moja wa wasomi muhimu wa kanisa katika historia Thomas Aquinas alikuja na nadharia ya Faith + Reason kwamba imani ni kuamini mafunuo ya Mungu n.k ila lazima iende na Reasoning ambayo itakuwa inaangalia uhalisia wa mambo maana ukiweka imani tu bila kujiongeza ndio yale ya watu kuchomwa moto kanisani.
Na naposema reasoning sisemi mtu ujiongeze tu kwa akili zako bali kwa kutumia knowledge/ wisdom kutoka kwa Mungu sio kuweka imani kwa manabii uchwara siju na watu wanakuja na Biblia zao n.k hio ndio bottom line ya mada.
Mithali 1
7 Kumcha BWANA ni chanzo cha maarifa,
wee rudi kilingeni kaoshe mbuguma nuksi, kuandika tarasimu, saa habari, kushinda lazima...umezoea kukaririshwa wewe [emoji12] ukitaka ujue hizi Amri kumi ni za Mungu na kaziandika ndani yetu kupitia Dhamira njema, nenda kaibe, kazini, kaue, kasema uongo... Kitakacho kupata uje usimulie humu [emoji53]
Embu usiharibu uzi wangu pita pembeni kama hujui cha kuchangia.... Mada ina maswali 5 hata moja hujajibu unakalia kutuma screenshot za Quran... Sasa aliyekwambia mimi muislam nani??AIBU NI YAKO WEWE BAADA YA NIA YAKO OVU KUKUACHA UCHI [emoji15] CHUCHUMAA UJISTIRI BRO [emoji4]
Sent using Jamii Forums mobile app
kwani unahisi dini yako ndo yaukweli sana kuliko dini za watu wengine?Sawa dini zinaweza kuwa ni uongo,je uliposimamia wewe sasa una hakika ndio ukweli ulipo? Au wewe kuona dini ni uongo ndio unaona umemaliza kila kitu?
Tatizo sio kuwepo maandiko tu bali na kuwepo misingi ya kuhoji,huku kuhoji kwako ambako kunafanya watu wakristo wakuone ni mpinga kristo na wengine wakuone ni muislamu,je unadhani tatizo ni wao wakristo tu kwamba hawataki kuhoji au wamekuzwa katika imani ambayo kiujumla haina misingi ya kuhoji?Yes hata Biblia inataka tuhoji
1 Yohana 4:1
1 Wapenzi, msiiamini kila roho, bali zijaribuni hizo roho, kwamba zimetokana na Mungu; kwa sababu manabii wa uongo wengi wametokea duniani.
Sawa mkuu tumeona maandiko ila nachouliza ni kuwepo hiyo misingi ya kufanya hivyo,huku kuhoji unakofanya wewe ni jambo la kawaida katika imani zengine na ni kwa kutokana kuna misingi iliyopo,lakini wewe hapa unaonekana mpinga kristo kisa tu unahoji tena ukiwa na vielelezo kabisa.
Sasa wewe unadhani tatizo ni wakristo tu wenyewe au hakuna misingi ya kuhoji?
Biblia hapa inatuonya kuwa manabii wa uongo ni wengi so lazima tuzijaribu na tuzipime ili zisitumeze
Sasa huoni manabii wa uongo wanaweza jipenyeza hata kuandaa Biblia zao then wakahadaa watu kuwa zimetoka kwa Roho mtakatifu na watu mkakubali na mkapotea? Je huoni ni lazima kuhoji hapo ili kugundua ukweli??
Na ndio maana moja wa wasomi muhimu wa kanisa katika historia Thomas Aquinas alikuja na nadharia ya Faith + Reason kwamba imani ni kuamini mafunuo ya Mungu n.k ila lazima iende na Reasoning ambayo itakuwa inaangalia uhalisia wa mambo maana ukiweka imani tu bila kujiongeza ndio yale ya watu kuchomwa moto kanisani.
Na naposema reasoning sisemi mtu ujiongeze tu kwa akili zako bali kwa kutumia knowledge/ wisdom kutoka kwa Mungu sio kuweka imani kwa manabii uchwara siju na watu wanakuja na Biblia zao n.k hio ndio bottom line ya mada.
Mithali 1
7 Kumcha BWANA ni chanzo cha maarifa,
Mie siko huko tena kwenye dini yangu na wala sio muhimu hisia zangu kuhusu dini yangu.kwani unahisi dini yako ndo yaukweli sana kuliko dini za watu wengine?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu unavyojibu post za mtu kama huyo ndio unazidi kufanya aendelee kuwepo humu,mimi huwa sijibu post zake huyo jamaa.Embu usiharibu uzi wangu pita pembeni kama hujui cha kuchangia.... Mada ina maswali 5 hata moja hujajibu unakalia kutuma screenshot za Quran... Sasa aliyekwambia mimi muislam nani??
Embu pitia huu uzi kuanzia post #81 page by page mpaka mwisho alafu urudi kuniita mpinga kristo cjui nabii wa uongo
Zifahamu siri 7 zilizofichika kuhusu sikukuu ya Pasaka - JamiiForums
Tujifunze kupenda midahalo tunajengana pia imagine Umeenda kumhubiri mpagani akakuuliza hili swali ungemjibuje?? Ungemkashifu kama unavyofanya kwangu?? Je ungefikia kusudi lako la kumuokoa??
Wafia dini badilikeni
Embu usiharibu uzi wangu pita pembeni kama hujui cha kuchangia.... Mada ina maswali 5 hata moja hujajibu unakalia kutuma screenshot za Quran... Sasa aliyekwambia mimi muislam nani??
Embu pitia huu uzi kuanzia post #81 page by page mpaka mwisho alafu urudi kuniita mpinga kristo cjui nabii wa uongo
Zifahamu siri 7 zilizofichika kuhusu sikukuu ya Pasaka - JamiiForums
Tujifunze kupenda midahalo tunajengana pia imagine Umeenda kumhubiri mpagani akakuuliza hili swali ungemjibuje?? Ungemkashifu kama unavyofanya kwangu?? Je ungefikia kusudi lako la kumuokoa??
Wafia dini badilikeni
Namba ya vitabu = idadi ya vitabu?Mkuu hoja ya bandiko langu sio version ya maneno bali content.... Ufunuo wa Yohana inakataza mtu kuongeza au kupunguza maneno ya maandiko sasa basi nmeweka mfano kuwa makanisa tofauti yanatumia namba tofauti ya vitabu ikimaanisha wote hawawezi kuwa sahihi maana tayari wameongeza/kupunguza namba ya vitabu
Sasa swali langu linakuja.... Je Biblia gani ndio sahihi ( at least kwa namba ya vitabu) maana kuna hoja huwa zikiibuliwa humu juu ya Biblia watu wanakimbilia kusema tusihoji maana waliocompile Biblia waliongozwa na Roho mtakatifu Je ina maana Roho mtakatifu anakinzana kiasi awape vitabu pungufu baadhi ya makanisa??
Karibu kunielewesha
Mkuu, nimesema zipo sahihi kwa mtizamo wa mtumiaji. Kwanini? Jesus/Mungu hakuanzisha dhehebu, bali alihubiri ile iliyo kweli(Imani juu ya Mungu wa kweli na namna gani tuweze kuishi maisha matakatifu. Na watakao mfata na kuyatenda aliyoagiza kuyatenda wawe na uzima wa milele(Eternal LIFE) Sasa Binadamu tumekuja na mbwembwe zetu nyingi na kujikuta tunatafuta utukufu wetu wenyewe. hii ndio imepelekea kila anayeibuka hata leo atakufasiria kwa mtazamo wake. Tofauti hizo hazikuanza jana wala leo, hata wakati wa Yesu watu walijiinua kuwa wao ni bora na kuwashusha wengine.1. Mkuu nadhani nimeeleza vizuri kabisa kwenye mada kwamba Biblia zote zilikuwa za wayahudi ila walitofautiana namba ya vitabu na ndio hoja yangu hapa ilipo yaani jews wa alexandria walikuwa na vitabu vingi kuliko jews wa Judea hapo bado Waisrael wa samaria nao walikuwa na Biblia yao yenye vitabu tofauti na wayahudi hao wengine let alone wayahudi wa ethiopia nao walikuwa na Biblia yenye vitabu vingi zaidi kuliko wayahudi hao wengine 3 so mpaka hapa hoja ni NAMBA YA VITABU sio asili ya hiyo Biblia.
Unaposema zote ni sahihi Je Biblia ya Mormons inayotumia Book of Abraham ambao unakinzana na Ufunuo wa Yohana je zipo sawa?? Inasema Abraham alipewa gauni la shetani ilihali Biblia ya Protestant kwenye kitabu cha mwanzo inamuelezea kama Baba wa imani je hizi Biblia ni sawa bado??
2. Luther Bible ipo katika kijerumani so hata nikiweka hapa haitokuwa na tija ila ila mimi nimesoma tu kitabu cha F.F Bruce Canon of the scripture ndio kimegusia hilo suala na hata mitandaoni kuna article mbalimbali ambazo wamereview hiyo Biblia na katika hizo zote wanakiri Martin Luther alikataa kutafsiri hivyo vitabu 5 ikiwemo ufunuo wa Yohana kwenda kijerumani sababu alidai havina uvuvio wa Roho mtakatifu na alivipinga wazi wazi kabisa..... Tuanzie hapa
Luther Bible - Wikipedia
View attachment 997841
1.Mkuu huoni kwamba wanaotumia BIBLIA yenye vitabu vichache watakuwa hawapati mafundisho Ya MUNGU (kwa uwezo wa roho mtakatifu) ambayo yanapatikana kwenye BIBLIA yenye vitabu vingi?Mkuu, nimesema zipo sahihi kwa mtizamo wa mtumiaji. Kwanini? Jesus/Mungu hakuanzisha dhehebu, bali alihubiri ile iliyo kweli(Imani juu ya Mungu wa kweli na namna gani tuweze kuishi maisha matakatifu. Na watakao mfata na kuyatenda aliyoagiza kuyatenda wawe na uzima wa milele(Eternal LIFE) Sasa Binadamu tumekuja na mbwembwe zetu nyingi na kujikuta tunatafuta utukufu wetu wenyewe. hii ndio imepelekea kila anayeibuka hata leo atakufasiria kwa mtazamo wake. Tofauti hizo hazikuanza jana wala leo, hata wakati wa Yesu watu walijiinua kuwa wao ni bora na kuwashusha wengine.
Naamini Biblia zote ulizosema umezisoma/kuzipitia na kuelewa ujumbe uliomo ndani yake. Iwapo ulizisoma kwa kutafuta ipi sahihi na kwanini hii ina upungufu wa vitabu na ile vingi. hapo hutopata kitu.
Naamini kitabu hiki umekiona kwenye Biblia zote na kilichoandikwa hakina tofauti.
Matthew 7:16-20 King James Version (KJV)
16 Ye shall know them by their fruits. Do men gather grapes of thorns, or figs of thistles?
17 Even so every good tree bringeth forth good fruit; but a corrupt tree bringeth forth evil fruit.
18 A good tree cannot bring forth evil fruit, neither can a corrupt tree bring forth good fruit.
19 Every tree that bringeth not forth good fruit is hewn down, and cast into the fire.
20 Wherefore by their fruits ye shall know them.
Matthew 7:21-23 New King James Version (NKJV)
I Never Knew You
21 “Not everyone who says to Me, ‘Lord, Lord,’ shall enter the kingdom of heaven, but he who does the will of My Father in heaven. 22 Many will say to Me in that day, ‘Lord, Lord, have we not prophesied in Your name, cast out demons in Your name, and done many wonders in Your name?’ 23 And then I will declare to them, ‘I never knew you; depart from Me, you who practice lawlessness!’
Hicho ndio kipimo cha ukweli kujua nani yupo sahihi siyo wingi wa vitabu walivyonavyo dhehebu fulani. Kwa maana hakuna dhehebu litakalokupeleka MBINGUNI iwapo huyatendi yaliyo ya Mungu.
Hii kitu Yesu hakuisema kufurahisha barza.
Luke 18:9-14 New International Version (NIV)
The Parable of the Pharisee and the Tax Collector
9 To some who were confident of their own righteousness and looked down on everyone else, Jesus told this parable: 10 “Two men went up to the temple to pray,one a Pharisee and the other a tax collector. 11 The Pharisee stood by himself and prayed: ‘God, I thank you that I am not like other people—robbers, evildoers, adulterers—or even like this tax collector. 12 I fast twice a week and give a tenth of all I get.’
13 “But the tax collector stood at a distance. He would not even look up to heaven, but beat his breast and said, ‘God, have mercy on me, a sinner.’
14 “I tell you that this man, rather than the other, went home justified before God. For all those who exalt themselves will be humbled, and those who humble themselves will be exalted.”
Hivyo tuyasomapo haya maandiko tutulie kwanza katika uwepo wa Mungu tukiomba uongozi wa ROHO Mtakatifu kuyaelewa.
Tukiongozwa na utashi wetu katika hili, hatutakuwa na tofauti na huyo Farisayo.
Nikomee hapo kwenye mjadala huu.