Je, Biblia ya ukweli/Halisi ni ipi?

Je, Biblia ya ukweli/Halisi ni ipi?

Tatizo wengi wanatoa hoja si kwa kujifunza ila kwa kuleta ushindani usiojenga. Wote tumekuwa wajuaji kiasi kwamba hata ladha inapungua. Wengine wanachangia mradi tu ameandika

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi Mungu alikuwa na upendeleo wa kuwatokea wa mashariki ya kati tu! Au watu ndo walikuwa na mapenzi zaidi na mitume waliojitokeza mashariki ya kati?
Ninachokiamini ni kwamba wakati wa kuumbwa Adam na Eva Afrika ilikuwepo tayari tayari. Sasa inakuwaje waafrika hawaongelewi na badala yake habari zote zinaanzia kwa Adamu na Eva?
 
Kwa uelewa wangu mdogo nilionao, ninachokijua kuhusu Biblia kwa ufupi tu ni kwamba, kwa miaka mingi saana watu mbalimbali wenye karama mbalimbali kama vile manabii wamekuwa wakivuviwa uwezo ama kufunuliwa Neno La Mungu kwa uwezo Wa Mungu Mwenyewe.

Tena wengine walipewa na maagizo kabisa na Mungu wayaandike mambo yale waliyo onyeshwa katika mawe makubwa ili kila mtu anayepita katika njia hiyo ayasome sana hata aweze kuyakariri.

Mafunuo mengine waliyopewa watumishi Wa Mungu na kuyatekeleza kwa vitendo yaliandikwa na waandishi na kuhifadhi kumbukumbu, sasa hizo kumbukumbu baada ya miaka mingi baadaye ndiyo vile vizazi vilivyofuata wakawa wakielimishana kumjua Mungu wakitumia zile kumbukumbu kama rejea.

Na yapo mambo mengi saana yaliyotendeka na kufundishwa ila yamewekwa machache tu ili kutoa mwongozo kwa msomaji Wa Biblia apate kuamini na kufanya sawasawa na maagizo ya Biblia.

Biblia imeweka wazi kabisa kuwa yapo mambo mengi sana hata yangeandikwa yasingetosha katika kitabu, kimsingi msomaji mzuri Wa Biblia ni yule anayesoma kwa Imani na kutumia muda Wa kutosha kutafakari kile anachokisoma, hapo ataona uhalisia Wa Kitabu.

Kwa hiyo, kuwepo kwa wingi au uchache Wa vitabu katika Biblia kunaweza kusiondoe uhalisia Wa Neno La Mungu isipokuwa kunampunguzia wigo Wa kupata maarifa zaidi msomaji, isipokuwa kama tafsiri ya kitabu hicho haitakuwa sahihi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hoja yako naielewa kabisa ila nachosimamia mimi ni kwamba Je katazo la kitabu kimoja haliwezi kuwa applicable kwenye maandiko mengine mfano

Torati 4:2
2 Msiliongeze neno niwaamurulo wala msilipunguze, mpate kuzishika amri za BWANA, Mungu wenu, niwaamuruzo

Sasa basi hapa Mungu anasema tusipunguze maneno anayotuamuru na wote tunaamini vitabu vya Biblia vinatoa muongozo na maagizo ya Mungu kwetu sasa basi kanisa fulani kupunguza vitabu na kanisa jingine kuongeza vitabu huoni wanakuwa wamekiuka hii Torati 4:2

Okay hapa pia unaweza sema alikuwa anaongea na wayahudi tu na sio watanzania..... Hivyo swali langu je ina maana basi hata maagizo mengine ya Torati na mwanzo au agano la kale lote tusiyachukue sababu alikuwa anaadress wayahudi pekee?
Mkuu nashukuru sana kwa mjadala mzuri, nadhani apa kuna vitu viwili tofauti:
i) Maudhui ya kitabu/Waraka usika, aya hayapaswi kuongezwa au kupunguzwa na mtu yeyote! Kwa mantiki hii ilo Katazo la Musa au Yohane litatumika kila waraka/ kitabu kilicho kwenye maktaba (biblia).
ii) Idadi ya vitabu au nyaraka zilizomo kwenye maktaba ( biblia). Kwa kipengele ichi ilo Katazo haliwezi kutumika maana kati ya Musa au Yohane hamna anayetambua kitu kinachoitwa biblia labda kama angetokea mmoja kati yao akaweka wazi kwamba mjumuiko wa nyaraka za Manabii na mitume ni idadi fulani kwahiyo husiongeze wala kupunguza apo maana ingekuwepo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi Mungu alikuwa na upendeleo wa kuwatokea wa mashariki ya kati tu! Au watu ndo walikuwa na mapenzi zaidi na mitume waliojitokeza mashariki ya kati?
Ninachokiamini ni kwamba wakati wa kuumbwa Adam na Eva Afrika ilikuwepo tayari tayari. Sasa inakuwaje waafrika hawaongelewi na badala yake habari zote zinaanzia kwa Adamu na Eva?
Mkuu labda nijibu hili kwa perspective ya kiBiblia.... kwamba Dunia nzima zamani (if unaamini uwepo wa Mungu) ilikuwa inamuabudu Mungu mmoja ila baada ya kuja Nimrod dini za kipagani na masanamu zikaanzia hapo na kila jamii ikawa na mungu wake kasoro familia ya Shem pekee (mwana wa Nuhu) ndio ilishika imani na ni kupitia kizazi chake ndio wanazaliwa waasisi wa kumuabudu Mungu YAHWEH kupitia Abraham hivyo kibiblia sio kwamba Mungu aliwapendelea mashariki ya kati bali katika dunia nzima wao ndio pekee waliendelea kumuabudu MUNGU YAHWEH ambaye ndio anatafsiriwa kama ndio aliumba hii dunia na ndio maana kupitia Abraham tunaona wakaendelea kushika hiyo imani na kuisambaza mashariki ya kati kiasi kwamba manabii wengi wakatokea huko na mwisho wa siku kwenye agano jipya ndio wanapewa agizo waisambaze imani hiyo kutoka Israel kwenda dunia nzima hapo ndio ukazaliwa ukristo meaning kama na sisi waafrika tungesambaza imani zetu dunia nzima basi leo hii na wao wangesoma vitabu vyenye majina ya manabii wa kiafrika

2. kuhusu adam na eva nitapandisha uzi siku moja ila hawakuwa wanadamu wa kwanza bali walikuwa watu wa kwanza kumuabudu YAHWEH na ndio maana ukisoma kitabu cha mwanzo kuhusu bustani ya Edeni utaona Biblia inatambua uwepo wa nchi ya KUSH magharibi mwa bustani ya Eden.... Na ndio maana kuna mafuvu yana miaka malaki yanapatikana Afrika ilihali mafuvu ya mapharaoh wanaotajwa kwenye Biblia hayafiki hata miaka elfu 10 tu hivyo nakubaliana na ww kuwa Adam sio mtu wa kwanza.

3. Kuhusu Bible kutotambua watu weusi hii si kweli maana kuna maeneo Bible inatambua mchango wa watu weusi mfano Queen makeda wa kush empire anatambuliwa na Bible kwa multiple incidents, misri ya utawala wa 25th dynasty ambayo ilikuwa chini ya watu weusi kutoka sudan ya sasa nao pia wanatajwa sana na mapharaoh wao throughout the Bible hasa agano la kale.... Hata aliyemsaidia Yesu kubeba msalaba alikuwa credited na biblia kuwa muafrika wa kutoka cyrene (Libya ya sasa) hivyo waafrika wanatambulika sana tu ma Bible mind you Ibrahim alizaa na muafrika, Musa pia alioa mtu mweusi n.k

Ni hayo tu kwa mtazamo wangu
 
Mkuu zito junior nakupongeza kwa kuleta thread ambazo zinahitaji utulie na kuleta majibu yaliyoshiba. Kimsingi biblia ina mkanganyiko mkubwa sana umeelezea vema japo kuna mengine nashindwa kuyajibu humu kwani nitaitwa majina kama msabato ili hali hata msabato mwenyewe nae naamini yupo gizani katika ukweli halisi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu labda nijibu hili kwa perspective ya kiBiblia.... kwamba Dunia nzima zamani (if unaamini uwepo wa Mungu) ilikuwa inamuabudu Mungu mmoja ila baada ya kuja Nimrod dini za kipagani na masanamu zikaanzia hapo na kila jamii ikawa na mungu wake kasoro familia ya Shem pekee (mwana wa Nuhu) ndio ilishika imani na ni kupitia kizazi chake ndio wanazaliwa waasisi wa kumuabudu Mungu YAHWEH kupitia Abraham hivyo kibiblia sio kwamba Mungu aliwapendelea mashariki ya kati bali katika dunia nzima wao ndio pekee waliendelea kumuabudu MUNGU YAHWEH ambaye ndio anatafsiriwa kama ndio aliumba hii dunia na ndio maana kupitia Abraham tunaona wakaendelea kushika hiyo imani na kuisambaza mashariki ya kati kiasi kwamba manabii wengi wakatokea huko na mwisho wa siku kwenye agano jipya ndio wanapewa agizo waisambaze imani hiyo kutoka Israel kwenda dunia nzima hapo ndio ukazaliwa ukristo meaning kama na sisi waafrika tungesambaza imani zetu dunia nzima basi leo hii na wao wangesoma vitabu vyenye majina ya manabii wa kiafrika

2. kuhusu adam na eva nitapandisha uzi siku moja ila hawakuwa wanadamu wa kwanza bali walikuwa watu wa kwanza kumuabudu YAHWEH na ndio maana ukisoma kitabu cha mwanzo kuhusu bustani ya Edeni utaona Biblia inatambua uwepo wa nchi ya KUSH magharibi mwa bustani ya Eden.... Na ndio maana kuna mafuvu yana miaka malaki yanapatikana Afrika ilihali mafuvu ya mapharaoh wanaotajwa kwenye Biblia hayafiki hata miaka elfu 10 tu hivyo nakubaliana na ww kuwa Adam sio mtu wa kwanza.

3. Kuhusu Bible kutotambua watu weusi hii si kweli maana kuna maeneo Bible inatambua mchango wa watu weusi mfano Queen makeda wa kush empire anatambuliwa na Bible kwa multiple incidents, misri ya utawala wa 25th dynasty ambayo ilikuwa chini ya watu weusi kutoka sudan ya sasa nao pia wanatajwa sana na mapharaoh wao throughout the Bible hasa agano la kale.... Hata aliyemsaidia Yesu kubeba msalaba alikuwa credited na biblia kuwa muafrika wa kutoka cyrene (Libya ya sasa) hivyo waafrika wanatambulika sana tu ma Bible mind you Ibrahim alizaa na muafrika, Musa pia alioa mtu mweusi n.k

Ni hayo tu kwa mtazamo wangu

Mkuu naomba nikuulize swali japo lipo nje ya mada (kidogo)

Kwa nini Mungu alimuacha nimrod asambaze upagani duniani?
....
 
Mungu hakumuachia Nimrod asambaze upagani bali Mungu alimuachia Lucifer/shamael (shetani) kuzurura anavyotaka na ndio shida ilianzia hapo tujikumbushe..... Adam na Eva walikuwa loyal kwa Mungu ila wakavurugwa na Lucifer ila nimrod hakuwepo..... Baadae Seth alipoanza kurejesha imani ya MUNGU basi shetani naye akaivuruga dunia kipindi cha wanefili na likaja gharika (Nimrod hakuwepo still) na baada ya Nuhu kubaki peke yake dunia nzima (of course kibiblia) dhambi ikarudi kupitia Ham (Nimrod hakuwepo) na hata tunaona kupitia kizazi cha Ham anazaliwa Nimrod ambaye aliuvuruga ulimwengu na kuasisi UPAGANI hivyo basi naweza sema kwa trend hiyo hiyo ni kwamba shida ilianzia kwa Mungu kumpa uhuru shetani kuidanganya dunia (ufunuo 18:2) hivyo Nimrod alikuwa chombo tu cha kukamilisha mission ila masterplan ilikuwa ya lucifer mwenyewe.

Ila kwa maoni yangu naona Mungu alimpa uhuru Nimrod ili awajue wanaompenda kwa dhati kuliko kuwalazimisha tu hivyo nasema alifanya demokrasia ili ajue wanaompenda kwa dhati ni kina nani

Reference:

Kumb. Torati 11:26
26 Angalieni, nawawekea mbele yenu hivi leo baraka na laana;
27 baraka ni hapo mtakapoyasikiza maagizo ya BWANA, Mungu wenu, niwaagizayo leo;
28 na laana ni hapo msiposikiza maagizo ya BWANA, Mungu wenu, mkikengeuka katika njia niwaagizayo leo, kwa kuandama miungu mingine
msiyoijua.
 
Mkuu nadhani hapo mwanzo niliweka rai kabisa huu uzi sio wa kidini na hakutakiwi kuwa na mijadala ya kukashifu dini za watu wala personal attacks otherwise uzi utahama kama mlivyoharibu ule uzi wa Book of Enoch

Hoja hapa ni Biblia gani ni sahihi kati ya vitabu 66,73 au 81?? Sasa hayo ya Quran hayajibu sababu hata hiyo Aya ya Quran haijasema hiyo Bible anayosema iko perfect ni ipi ya protestant?? RC au Tawahedo?? So bado haijajibu swali kabisa

Bottom line ni kwamba **** watu mnakuja na hoja kwamba Bible canon ilishushwa na Roho mtakatifu sasa nachojiuliza ina maana Roho mtakatifu anajipinga kiasi ashushe Canon tofauti kwa wakristo?? Na kama sio Je ina maana mmoja ndio yuko sahihi na wengine wamepotoka?? Na kama wengi wamepotoka nini hatma ya ukristo kama watu wamepotezwa miaka yote hii na hawajajikomboa??

Haya maswali ukiyajibu kisomi utakuwa umetusaidia ila ukiingiza udini hapa unakuwa hauna mchango wowote maana huwezi jua majibu yako yanaweza badili watu imani humu so jitahidi uwe positive kwenye mijadala yanayogusa imani yako.
Huyo chizi hana ajualo ataharibu uzi na mapicha picha yake sasa hivi! bora umemuwahi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi huwa unajisikiaje unapo andika uongo wa wazi ?

Kwanini unapenda kuizungumzia Qur'an wakati hujui chochote juu ya Qur'an ? Tazama ulichokiandika na kaisome tena hiyo aya ya 115 katika sura ya 6 (Al An'am). Utuonyeshe ni wapi imezungumzia ?

Umenukuu tena aya ya 24 katika sura ya 18 (Al Ahkaf). Jaribi kuwa mkweli hata kwa bahati mbaya. Aya zote zina zinaelezea utukufu wa Qur'an.

Sasa jaribu kujenga kielimu wala si kibubusa na kufanya ghishi.
Ndio mtoto mzuri huyu ataanza kutuma mapicha picha yasiokuwa na maana sasa hiv hana ajualo na usibishane nae atayajaza humu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu labda nijibu hili kwa perspective ya kiBiblia.... kwamba Dunia nzima zamani (if unaamini uwepo wa Mungu) ilikuwa inamuabudu Mungu mmoja ila baada ya kuja Nimrod dini za kipagani na masanamu zikaanzia hapo na kila jamii ikawa na mungu wake kasoro familia ya Shem pekee (mwana wa Nuhu) ndio ilishika imani na ni kupitia kizazi chake ndio wanazaliwa waasisi wa kumuabudu Mungu YAHWEH kupitia Abraham hivyo kibiblia sio kwamba Mungu aliwapendelea mashariki ya kati bali katika dunia nzima wao ndio pekee waliendelea kumuabudu MUNGU YAHWEH ambaye ndio anatafsiriwa kama ndio aliumba hii dunia na ndio maana kupitia Abraham tunaona wakaendelea kushika hiyo imani na kuisambaza mashariki ya kati kiasi kwamba manabii wengi wakatokea huko na mwisho wa siku kwenye agano jipya ndio wanapewa agizo waisambaze imani hiyo kutoka Israel kwenda dunia nzima hapo ndio ukazaliwa ukristo meaning kama na sisi waafrika tungesambaza imani zetu dunia nzima basi leo hii na wao wangesoma vitabu vyenye majina ya manabii wa kiafrika

2. kuhusu adam na eva nitapandisha uzi siku moja ila hawakuwa wanadamu wa kwanza bali walikuwa watu wa kwanza kumuabudu YAHWEH na ndio maana ukisoma kitabu cha mwanzo kuhusu bustani ya Edeni utaona Biblia inatambua uwepo wa nchi ya KUSH magharibi mwa bustani ya Eden.... Na ndio maana kuna mafuvu yana miaka malaki yanapatikana Afrika ilihali mafuvu ya mapharaoh wanaotajwa kwenye Biblia hayafiki hata miaka elfu 10 tu hivyo nakubaliana na ww kuwa Adam sio mtu wa kwanza.

3. Kuhusu Bible kutotambua watu weusi hii si kweli maana kuna maeneo Bible inatambua mchango wa watu weusi mfano Queen makeda wa kush empire anatambuliwa na Bible kwa multiple incidents, misri ya utawala wa 25th dynasty ambayo ilikuwa chini ya watu weusi kutoka sudan ya sasa nao pia wanatajwa sana na mapharaoh wao throughout the Bible hasa agano la kale.... Hata aliyemsaidia Yesu kubeba msalaba alikuwa credited na biblia kuwa muafrika wa kutoka cyrene (Libya ya sasa) hivyo waafrika wanatambulika sana tu ma Bible mind you Ibrahim alizaa na muafrika, Musa pia alioa mtu mweusi n.k

Ni hayo tu kwa mtazamo wangu
Kuna hoja moja hapa umeizungumzia kimsingi inahitaji uwe ni mtu Wa elimu sana ili kuthibitisha maana ni aghalabu sana kupata reference yake kutoka kwenye Biblia yetu tunayoisoma.

Ni kuhusu uwepo Wa wanadamu wengine hata kabla ya Adamu na Eva, kwa kuhusisha tu kwamba kulikuwepo na nchi ya kush magharibi mwa bustani ya Eden.

Unajua Biblia wakati mwingine inapozungumzia nchi Fulani si lazima kuwepo na wanadamu wanaishi huko, kwa sababu nchi kibiblia kwa tafsiri nyingine ni ardhi, wala si lazima mpaka kuwepo wanaoishi ndani yake. Rejea kitabu cha Mwanzo sura ya kwanza kabisa.

Pia nimependa ulivyoleta hoja yenye nguvu kuhusu mtu mweusi, kimsingi mtu halisi ni roho, mwili ni makazi ya roho hiyo hivyo awe ni mtu mweusi, mweupe, mwekundu au blue siyo issue

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lakini hili jibu lako linakinzana na maneno ya walioandika Biblia... Mfano Mtume Yohana wa ufunuo alisema msiongeze au kupunguza neno kwenye maandiko ya Mungu sababu mtatupwa KUZIMU..... sasa basi huoni makanisa mengine kuwa na vitabu pungufu au nyongeza tayari wamekinzana na maandiko hivo kufanya Biblia zao kuwa batili

Karibu
Nikushukuru kwanza kwa kukiri kuwa BIBILIA ni mkusanyiko wa vitabu vingi. Kutoka kwa manabii na waandishi wengine mfano Matthew etc.
Sasa tukirudi kwenye mada, Bibilia ipi sahihi? Jibu ni moja tu. ZOTE ZIPO SAHIHI.
Nasema hivi kwasababu.
1. Bibilia ni mkusanyiko wa vitabu vingi Vinavyoelezea HISTORIA kati ya MUNGU na WANADAMU Kuanzia Uumbaji, Uasi, Ukombozi na hatima ya maisha baada ya haya.
Hii ndio hasa point ya msingi.
2. Maandiko yanaposema Hata yodi moja ya Totari haitaondoka/ Usiongeze wala kupunguza neno ina maana kubwa na inabidi uitazame kwa upana wake. Mfano umesema Hata Yesu alifanya marejeo ya maandiko kutoka vitabu walivyokuwa navyo Wayahudi kabla hajazaliwa. Na katika kurejea huko alichukua vitabu baadhi si vyote na sikitabu kizima. Alifanya hivi, ni ili afikishe ujumbe kamili uliokusudiwa.
Ukiangalia kuanzia Mwanzo - Ufunuo habri inayozungumzwa hapo ni moja tu. Tofauti inakuja kwenye tafsiri na jinsi mwandishi alivyoandika ila ujumbe unaozungumzwa ni ule ule.
Mfano: Matthew Luke and John wote hawa wameelezea kufufuka kwa Yesu. Antajwa Malaika, Kaburi, Yesu amefufuka na wanawakewaliokwenda kaburini. huyu kasema waliingia, mwingine walikuta malaika nje mwingine nk. ila jibu la MALAIKA hapo ni moja tu, AMEFUFUKA kama alivyosema.
Ikumbukwe vitabu vyote ulivyotaja havijakatazwa kusoma ikiwa unahitaji kuongeza maarifa zaidi(Kama nilivyosema mwanzo kuwa IT is all about a History of God and Man. That is what Bible is all about.
Kwahiyo kuwa na uchache wa vitabu au kuwa navyo vingi hakuifayi Bible kuwa siyo sahihi, maadam zote zina kiri UWEPO wa Mungu; Uumbaji; Uasi wa Mwanadamu, Kukombolewa kwake(Mwanadamu) na Hatima ya maisha yake baada ya hapa duniani.
Hata ukisoma Torati kwenye Bibilia ya RC ndiyo hiyo hiyo unaikuta kwenye Lutheran etc.

Karibuni tuendelee kujifunza.
 
Unataka kutuambia hata biblia ya Queen James Version iko sahihi ???
 
Mungu pekee ndiye ajuaye ni lini Wakristo wataweza kutoa nakala sahihi (asilia) ya kitabu chao (Biblia).

Mtu atashangaa, juu ya idadi ya matoleo ya Biblia yaliyopo leo hii.

Kila moja linatofautiana na jingine, ndio, kila moja linadai kuwa yeye ndio toleo asilia. Matolea yote hayo yameshawahi kutangaza duniani kuwa, yenyewe ni ufunuo mtakatifu.

Rejeo lao lililo tayari lipo katika (2 Timotheo 3:16), isemayo “Kila andiko, lenye pumzi ya Mungu, lafaa kwa mafundisho...” Lakini kile wasichokifahamu Wakristo ni kuwa, “Kwa hakika, yaliyomo katika Biblia zao si Maandiko matakatifu isipokuwa ni hekaya, fikra, matukio na tamaduni tu

Tatizo hilo linachanganya zaidi pale tunapojua kuwa baadhi ya matoleo ya Biblia yana vitabu vingi zaidi kuliko mengine.

Toleo la Orthodox (OVC), lina vitabu 86;

Toleo la Charismatic (CV), lina vitabu 76;

Toleo la Roman Catholic (RCV), lina vitabu 73;

na matoleo yote ya Kiprotestanti yana vitabu 66 likiwemo The New World Translation of the Holy Scripture [1984] (NW), linalotumiwa na Mashahidi wa Yehova na matoleo mengine kama vile the King James [1611-1942] (KJ), American Standard [1901-1944] (AS), Rivised Standard [1971] Second Edition (RS) Jerusalem Bible [1966] (JB), Good News Bible (1954: iliyochapwa 1956), Ronald A, Knox (Kx), New International Version (NIV), na motoleo mengine yasiyo na idadi.

Zaidi ya hayo, vipi kuhusu hoja ya Warejeaji wanosifika wa Biblia ya the Rivised Standard Version (RS), Rivised Edition ya 1952, na kwa Agano Jipya, Second Edition ya 1971, by Wm. Collins Sons & Co. Ltd. Iliyochapwa na Canadian Bible Society, isemayo katika Utangulizi wake:

(1) “Naam, Toleo la King James lina dosari kubwa mno.... dosari hizo ni nyingi sana na hatari sana kiasi cha kupelekea kuitishwa wito wa kurekebishwa kwa tafsiri yake ya Kingereza.”

(2) “Toleo la King James la Agano Jipya liliegemea katika mandiko ya Kigiriki yaliyoharibiwa kimakosa” Vipi kuhusu hoja ya Mashahidi wa Yehova katika chapa ya Mwamko ya Septemba 1951 inayoeleza; “Biblia ina makosa 50,000!”

Na vipi kama nikisema, kinyume na imani yetu, kuwa “Katika Waandishi wanne wa Injili Hakuna hata mmoja aliyekuwa Mwanafunzi wa Yesu (AS).” Katika (Luka 6:14-16 na Marko 3:17) tunaona yametajwa majina ya wanafunzi kumi na wawili na Yesu (AS). Huku majina Mathayo na Yohana yamo, na majina Marko, Luka na Paulo hayajatwaja.

Hata hivyo, kutokana na nukuu zifuatazo, utagundua kuwa hizo Injili mbili zinatajwa kuwa ni za Mathayo na Yohana kwa kuwaheshimu tu, kwani ziliandikwa na mtu wa tatu. Soma nakala halisi ya mstari wa (Mathayo 9:9):

"Naye Yesu alipokuwa akipita kutoka huko aliona mtu ameketi forodhani aitwaye Mathayo, akamwambia nifuate. Akaondoka akamfuata."

Na katika (Yohana 21:24):

"Huyu ndiye yule mwanafunzi ayashuhudiaye haya, na aliyeyaandika haya; nasi twajua ya kuwa ushuhuda wake ni kweli?"

Katika aya ya kwanza, mwandishi anasimulia tu kile kilichotokea kati ya Yesu (AS) na Mathayo, huku katika aya ya pili, ni wazi kuwa kiwakilishi “nasi” kinawakilisha mwandishi.

Hebu kwa sasa tutafakari juu ya kile kilichosemwa na waandishi wawili wa Kikristo kuhusu kuundwa kwa Biblia:

“Wakati mwingine, Wanukuzi wanatia kile kisichokuwemo katika maandishi, pia kile wanachokifikiria kitakuwemo. Mnukuzi anaweza kuamini kumbukumbu zinazobadilika, au anaweza kuunda maandiko kwa mujibu wa mtazamo wa madhehebu anayoyafuata. Kwa kuongezea katika matoleo na manukuzi ya Mapadri wa Kikristo, takriban (Miswada) ya Mandiko Matakatifu elfu nne ya Wagiriki [MSS], ilijulikana kuwa ipo. Kwa hiyo, tofauti za usomaji ni jambo la kuzingatiwa.”[1]

Kwa hiyo Injili ziliundwa, na ambazo kiwaziwazi, ziliakisi mitazamo ya ufahamu wa mahitajio na matumizi ya jamii za waandishi. Kwao wao, vitu vya kimila vilitumika, lakini kulikuwa hakuna kusita katika kukibadilisha kile kisichoendana na lengo la mwandishi.”
[2]

[1] J.R., dummelow: Commentary on the Holy Bible, p. 16. – (see – Mrs. Ulfat Aziz-Us-Samad: “Islam and Christianity”, 1984, Presidency of Islamic Research IFTA and Propagation, Riyadh, Kingdom of Saud Arabia p.7).

[2] T.G. Tucker: The History of The Christian in the Light of Modern Knowledge, p. 320. (Ibid, p. 6).

Hivi huwa unajisikiaje unapo andika uongo wa wazi ?

Kwanini unapenda kuizungumzia Qur'an wakati hujui chochote juu ya Qur'an ? Tazama ulichokiandika na kaisome tena hiyo aya ya 115 katika sura ya 6 (Al An'am). Utuonyeshe ni wapi imezungumzia ?

Umenukuu tena aya ya 24 katika sura ya 18 (Al Ahkaf). Jaribi kuwa mkweli hata kwa bahati mbaya. Aya zote zina zinaelezea utukufu wa Qur'an.

Sasa jaribu kujenga kielimu wala si kibubusa na kufanya ghishi.

allah anasema HABAGUI [emoji117]
IMG_20190116_182302_957.jpg
wee kama unabagua kambishie allah [emoji15]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nikushukuru kwanza kwa kukiri kuwa BIBILIA ni mkusanyiko wa vitabu vingi. Kutoka kwa manabii na waandishi wengine mfano Matthew etc.
Sasa tukirudi kwenye mada, Bibilia ipi sahihi? Jibu ni moja tu. ZOTE ZIPO SAHIHI.
Nasema hivi kwasababu.
1. Bibilia ni mkusanyiko wa vitabu vingi Vinavyoelezea HISTORIA kati ya MUNGU na WANADAMU Kuanzia Uumbaji, Uasi, Ukombozi na hatima ya maisha baada ya haya.
Hii ndio hasa point ya msingi.
2. Maandiko yanaposema Hata yodi moja ya Totari haitaondoka/ Usiongeze wala kupunguza neno ina maana kubwa na inabidi uitazame kwa upana wake. Mfano umesema Hata Yesu alifanya marejeo ya maandiko kutoka vitabu walivyokuwa navyo Wayahudi kabla hajazaliwa. Na katika kurejea huko alichukua vitabu baadhi si vyote na sikitabu kizima. Alifanya hivi, ni ili afikishe ujumbe kamili uliokusudiwa.
Ukiangalia kuanzia Mwanzo - Ufunuo habri inayozungumzwa hapo ni moja tu. Tofauti inakuja kwenye tafsiri na jinsi mwandishi alivyoandika ila ujumbe unaozungumzwa ni ule ule.
Mfano: Matthew Luke and John wote hawa wameelezea kufufuka kwa Yesu. Antajwa Malaika, Kaburi, Yesu amefufuka na wanawakewaliokwenda kaburini. huyu kasema waliingia, mwingine walikuta malaika nje mwingine nk. ila jibu la MALAIKA hapo ni moja tu, AMEFUFUKA kama alivyosema.
Ikumbukwe vitabu vyote ulivyotaja havijakatazwa kusoma ikiwa unahitaji kuongeza maarifa zaidi(Kama nilivyosema mwanzo kuwa IT is all about a History of God and Man. That is what Bible is all about.
Kwahiyo kuwa na uchache wa vitabu au kuwa navyo vingi hakuifayi Bible kuwa siyo sahihi, maadam zote zina kiri UWEPO wa Mungu; Uumbaji; Uasi wa Mwanadamu, Kukombolewa kwake(Mwanadamu) na Hatima ya maisha yake baada ya hapa duniani.
Hata ukisoma Torati kwenye Bibilia ya RC ndiyo hiyo hiyo unaikuta kwenye Lutheran etc.

Karibuni tuendelee kujifunza.

BIBLIA IPI IPO SAHIHI KWENYE HIZI CHART

<Bible Words Removed from New Versions>

Various Contradictions and Omissions in Bible Translations

Missing Verses - What missing verses..?

https://www.dep-israel.nl/data/1. Textual-Key-to-the-New- Testament.pdf
 
allah anasema HABAGUI [emoji117] View attachment 996313 wee kama unabagua kambishie allah [emoji15]

Sent using Jamii Forums mobile app

KWANI YESU ALITEREMSHIWA BIBLIA IPI ???

UMESHAAMBIWA LAKINI HUSIKII

Sasa umekuja na Quran 3:84

Hivi huwa unajisikiaje unapo andika uongo wa wazi ?

Kwanini unapenda kuizungumzia Qur'an wakati hujui chochote juu ya Qur'an ? Tazama ulichokiandika na kaisome tena hiyo aya ya 115 katika sura ya 6 (Al An'am). Utuonyeshe ni wapi imezungumzia ?

Umenukuu tena aya ya 24 katika sura ya 18 (Al Ahkaf). Jaribi kuwa mkweli hata kwa bahati mbaya. Aya zote zina zinaelezea utukufu wa Qur'an.

Sasa jaribu kujenga kielimu wala si kibubusa na kufanya ghishi.
 
Mkuu nadhani hapo mwanzo niliweka rai kabisa huu uzi sio wa kidini na hakutakiwi kuwa na mijadala ya kukashifu dini za watu wala personal attacks otherwise uzi utahama kama mlivyoharibu ule uzi wa Book of Enoch

Hoja hapa ni Biblia gani ni sahihi kati ya vitabu 66,73 au 81?? Sasa hayo ya Quran hayajibu sababu hata hiyo Aya ya Quran haijasema hiyo Bible anayosema iko perfect ni ipi ya protestant?? RC au Tawahedo?? So bado haijajibu swali kabisa

Bottom line ni kwamba **** watu mnakuja na hoja kwamba Bible canon ilishushwa na Roho mtakatifu sasa nachojiuliza ina maana Roho mtakatifu anajipinga kiasi ashushe Canon tofauti kwa wakristo?? Na kama sio Je ina maana mmoja ndio yuko sahihi na wengine wamepotoka?? Na kama wengi wamepotoka nini hatma ya ukristo kama watu wamepotezwa miaka yote hii na hawajajikomboa??

Haya maswali ukiyajibu kisomi utakuwa umetusaidia ila ukiingiza udini hapa unakuwa hauna mchango wowote maana huwezi jua majibu yako yanaweza badili watu imani humu so jitahidi uwe positive kwenye mijadala yanayogusa imani yako.

acha kufunga vioo [emoji15] Umetaja Biblia Takatifu [emoji15] Umetaja Roho Mtakatifu [emoji15] hayo yoote ni mambo ya deen/Imani sio mambo ya Historia [emoji12] halafu ilimu ya Roho hukupewa wewe [emoji117]
IMG_20190116_183344_241.jpg
umebaki Roho Mtakatifu anajipinga huku ilimu hiyo huna [emoji53] kuhusu Shaka yako kwamba Wakristo wamepotea ungerejea allah anasemaje kuhusu wao [emoji117]
IMG_20190114_110350_693.jpg
sasa WASOMI NA WACHAMUNGU kwa akili yako wamepotea [emoji12] kambishie allah basi [emoji15] inawezekana wewe ni mjuzi zaidi [emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom