Je, Biblia ya ukweli/Halisi ni ipi?

Je, Biblia ya ukweli/Halisi ni ipi?

Nikushukuru kwanza kwa kukiri kuwa BIBILIA ni mkusanyiko wa vitabu vingi. Kutoka kwa manabii na waandishi wengine mfano Matthew etc.
Sasa tukirudi kwenye mada, Bibilia ipi sahihi? Jibu ni moja tu. ZOTE ZIPO SAHIHI.
Nasema hivi kwasababu.
1. Bibilia ni mkusanyiko wa vitabu vingi Vinavyoelezea HISTORIA kati ya MUNGU na WANADAMU Kuanzia Uumbaji, Uasi, Ukombozi na hatima ya maisha baada ya haya.
Hii ndio hasa point ya msingi.
2. Maandiko yanaposema Hata yodi moja ya Totari haitaondoka/ Usiongeze wala kupunguza neno ina maana kubwa na inabidi uitazame kwa upana wake. Mfano umesema Hata Yesu alifanya marejeo ya maandiko kutoka vitabu walivyokuwa navyo Wayahudi kabla hajazaliwa. Na katika kurejea huko alichukua vitabu baadhi si vyote na sikitabu kizima. Alifanya hivi, ni ili afikishe ujumbe kamili uliokusudiwa.
Ukiangalia kuanzia Mwanzo - Ufunuo habri inayozungumzwa hapo ni moja tu. Tofauti inakuja kwenye tafsiri na jinsi mwandishi alivyoandika ila ujumbe unaozungumzwa ni ule ule.
Mfano: Matthew Luke and John wote hawa wameelezea kufufuka kwa Yesu. Antajwa Malaika, Kaburi, Yesu amefufuka na wanawakewaliokwenda kaburini. huyu kasema waliingia, mwingine walikuta malaika nje mwingine nk. ila jibu la MALAIKA hapo ni moja tu, AMEFUFUKA kama alivyosema.
Ikumbukwe vitabu vyote ulivyotaja havijakatazwa kusoma ikiwa unahitaji kuongeza maarifa zaidi(Kama nilivyosema mwanzo kuwa IT is all about a History of God and Man. That is what Bible is all about.
Kwahiyo kuwa na uchache wa vitabu au kuwa navyo vingi hakuifayi Bible kuwa siyo sahihi, maadam zote zina kiri UWEPO wa Mungu; Uumbaji; Uasi wa Mwanadamu, Kukombolewa kwake(Mwanadamu) na Hatima ya maisha yake baada ya hapa duniani.
Hata ukisoma Torati kwenye Bibilia ya RC ndiyo hiyo hiyo unaikuta kwenye Lutheran etc.

Karibuni tuendelee kujifunza.

Tuwekee wazi biblia ipi hapa inasema ukweli ???

All versions are not saying the same thing
 
acha kufunga vioo [emoji15] Umetaja Biblia Takatifu [emoji15] Umetaja Roho Mtakatifu [emoji15] hayo yoote ni mambo ya deen/Imani sio mambo ya Historia [emoji12] halafu ilimu ya Roho hukupewa wewe [emoji117] View attachment 996334 umebaki Roho Mtakatifu anajipinga huku ilimu hiyo huna [emoji53] kuhusu Shaka yako kwamba Wakristo wamepotea ungerejea allah anasemaje kuhusu wao [emoji117] View attachment 996339 sasa WASOMI NA WACHAMUNGU kwa akili yako wamepotea [emoji12] kambishie allah basi [emoji15] inawezekana wewe ni mjuzi zaidi [emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app

Hizo tafsiri za kanisa usituwekee , Nilikuuliza zaidi ya mara 1000 , Mkristo kwa kiarabu anaitwaje ?? unakimbia

TUAMBIE BIBLIA IPI HAPA IKO SAHIHI ????

GONGA HAPO

Chick.com: A Quick Comparison of Bible Versions
 
A verse from the Gospel of Luke from the New International Version translation and King James Version translation...

Luke 10:1

1 After this the Lord appointed seventy-two others and sent them two by two ahead of him to every town and place where he was about to go. (NIV translation)

1 After these things the Lord appointed other seventy also, and sent them two and two before his face into every city and place, whither he himself would come. (KJV translation)

So which translation is right? Is it seventy two or seventy?
 
Kambishie allah [emoji15] Mimi hayanihusu dogo [emoji12]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kambishie allah [emoji15] Mimi hayanihusu dogo [emoji12]

Sent using Jamii Forums mobile app

al-Anfaal 8:38]

Whoever is guided, then it is for his own benefit, and whoever disbelieves, then Allaah has no need of His creation. The curse of Allaah be upon the disbelievers.
 
Kambishie allah [emoji15] Mimi hayanihusu dogo [emoji12]

Sent using Jamii Forums mobile app

al-Maa’idah 5:36]

O disbeliever, if you want to mock Islam and its followers, this is nothing new:

“Beautified is the life of this world for those who disbelieve, and they mock at those who believe. But those who obey Allaah’s Orders and keep away from what He has forbidden, will be above them on the Day of Resurrection. And Allaah gives (of His bounty on the Day of Resurrection) to whom He wills without limit.”
 
Huo ubeti wa shairi shetani HAWEZI kughani [emoji15] [emoji350] [emoji348] [emoji348] halafu kwenye msafara huu wewe umo [emoji117]
IMG_20190116_200531_837.jpg
[emoji117]
IMG_20181219_195552_850.jpg
[emoji15]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu zitto junior hongera kwa uzi, uzi wako ni mzuri sana binafsi nimekuelewa na maswali yako kiufupi sio rahisi ni magumu.

binafsi ninaomba kuchangia machache ninayofahamu kuhusu mada ilioko mezani japo kws ufupi tu.

kwanza kabisa mpendwa naomba nianze na torati 4:2 na ufunuo 22:18-19 inayohusu agizo la biblia la "usiongeze wala usipunguze neno" sababu nimeona post za nyuma kila mmoja anatafsiri yake. kumbe basi ninaomba kwanza nipaweke sawa hapo kwa kile nikijuacho.

ni ivi ndugu kipindi ivo vitabu vya biblia vinaandikwa hakukuwa na technologia ya uchapishaji au "copy and paste" kama ilivo leo. kumbe ili kupata copy ya kitabu (gombo) wao walichokuwa wanafanya ni ku-nakili kwa mkono, mikono yao ndio iliokuwa iki-nakili neno hadi neno, herufi hadi herufi mpaka kitabu kizima kinakamilika.

kazi hiyo ya kunakili ilikuwa inafanywa na watu maalumu waliojulikana kama "waandishi au waalimu wa sheria kwa jina lingine" (wanaitwa waandishi kwa sababu ya kazi hiyo ya ku-nakili maandiko ila kimsingi ndio hao walimu wa sheria).

kumbe basi baada ya kumaliza kunakili kitabu husika ilikujua kama kazi "nakala" HAIJACHAKACHULIWA, HAIJAONGEZWA WALA KUPUNGUZWA, HAINA MAKOSA(kama kukosea neno, kuruka au kusahau neno/herufi, nyongeza au upungufu wa maneno nk) walitafuta idadi ya maneno kwa kuhesabu neno hadi neno kisha walioanisha na idadi ya maneno kwenye gombo husika kama yana lingana au la. yakilingana basi iyo nakala inakuwa ni sahihi, idadi ikitofautiana hata kidogo basi iyo nakala inakuwa na mapungufu "au imeongezwa au imepunguzwa au ujumbe/maana imeharibiwa"

baada ya maelezo hayo hapo juu utagundua kuwa torati 4:2 na ufunuo 22:18-19. hazina maana ya kuongeza au kupunguza vitabu vya biblia. ila waandishi wanataka kulinda na kutunza jumbe/unabii wa vitabu vyao usiharibiwe "usiongezwe wala usipunguzwe". huku kwetu leo tunaita hati miliki "copyright"

naendelea .....
 
Umefanya uchambuzi mzuri na pia umejitahidi sana kuweka vielelezo, vema sana.
Inaonekana wewe ni mtu Wa elimu mzuri sana na unapenda pia kujifunza mambo kwa kina, kupata uhalisia. Sijui wewe ni mtu Wa Imani kiasi gani ila elimu unayo.

Kitu ninachokijua Mimi ni kwamba, baadhi ya waandishi waliokuwa wakifuatilia historia ya mambo haya na watafsiri hawakuwa wacha Mungu au watu wenye Imani hasa, bali waliajiriwa kwenye taasisi mbalimbali zinazo jishughulisha na mambo haya, hivyo makosa lazima yatokee na hata Biblia imeweka wazi.

Ila kama wewe ni msomaji mzuri mwenye nia ya dhati ya kujifunza kuijua kweli ya Mungu, utaujua tu ukweli na ukweli huo utakuweka huru na kukuondolea mashaka yote unayoweza kuwa nayo.

Kwa sababu usomaji mzuri ni ule usomaji unaoambatana na hali ya kupambanua kati ya mema na mabaya katika kina cha Imani, Mungu ni Mwaminifu sana ukiwa muwazi na mwaminifu mbele zake atajionyesha kuwa Mwaminifu, ndiyo maana kuna andiko linasema Neno huuwa bali Roho huponya.

Pamoja na makosa yote haya bado Imani inayobireshwa kwa kuvisoma vitabu hivi hivi vinavyosemekana vina makosa imeendelea kufanya kazi za ajabu kwenye maisha ya watu. Asante

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante sana mwalimu, yaani umeelezea kiasi kwamba hata mtu mzito kuelewa lazima ataelewa tu. Very correct!
mkuu zitto junior hongera kwa uzi, uzi wako ni mzuri sana binafsi nimekuelewa na maswali yako kiufupi sio rahisi ni magumu.

binafsi ninaomba kuchangia machache ninayofahamu kuhusu mada ilioko mezani japo kws ufupi tu.

kwanza kabisa mpendwa naomba nianze na torati 4:2 na ufunuo 22:18-19 inayohusu agizo la biblia la "usiongeze wala usipunguze neno" sababu nimeona post za nyuma kila mmoja anatafsiri yake. kumbe basi ninaomba kwanza nipaweke sawa hapo kwa kile nikijuacho.

ni ivi ndugu kipindi ivo vitabu vya biblia vinaandikwa hakukuwa na technologia ya uchapishaji au "copy and paste" kama ilivo leo. kumbe ili kupata copy ya kitabu (gombo) wao walichokuwa wanafanya ni ku-nakili kwa mkono, mikono yao ndio iliokuwa iki-nakili neno hadi neno, herufi hadi herufi mpaka kitabu kizima kinakamilika.

kazi hiyo ya kunakili ilikuwa inafanywa na watu maalumu waliojulikana kama "waandishi au waalimu wa sheria kwa jina lingine" (wanaitwa waandishi kwa sababu ya kazi hiyo ya ku-nakili maandiko ila kimsingi ndio hao walimu wa sheria).

kumbe basi baada ya kumaliza kunakili kitabu husika ilikujua kama kazi "nakala" HAIJACHAKACHULIWA, HAIJAONGEZWA WALA KUPUNGUZWA, HAINA MAKOSA(kama kukosea neno, kuruka au kusahau neno/herufi, nyongeza au upungufu wa maneno nk) walitafuta idadi ya maneno kwa kuhesabu neno hadi neno kisha walioanisha na idadi ya maneno kwenye gombo husika kama yana lingana au la. yakilingana basi iyo nakala inakuwa ni sahihi, idadi ikitofautiana hata kidogo basi iyo nakala inakuwa na mapungufu "au imeongezwa au imepunguzwa au ujumbe/maana imeharibiwa"

baada ya maelezo hayo hapo juu utagundua kuwa torati 4:2 na ufunuo 22:18-19. hazina maana ya kuongeza au kupunguza vitabu vya biblia. ila waandishi wanataka kulinda na kutunza jumbe/unabii wa vitabu vyao usiharibiwe "usiongezwe wala usipunguzwe". huku kwetu leo tunaita hati miliki "copyright"

naendelea .....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza tuanze kufahamu mwenye uhakika kwamba biblia ilikua na idadi kamili ya vitabu vingapi ?kama haijulikani hakuna haja ya malumbano ya hoja ila kama vipo Ndio tuanze kujadili kwakina
 
ushakua brain washed Bro endelea kuamn dini yko tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata wewe umekuwa brain washed endelea tu kuamini hivyo unavyoamini kuhusu dini.

Et dini biashara! Bro kitu chochote watu wanaweza kufanya fursa tu haijarishi iwe dini au kituo cha watoto yatima,sasa wewe unakuja tu na hoja nyepesi ya kijumla jumla et dini biashara.
 
Kwanza tuanze kufahamu mwenye uhakika kwamba biblia ilikua na idadi kamili ya vitabu vingapi ?kama haijulikani hakuna haja ya malumbano ya hoja ila kama vipo Ndio tuanze kujadili kwakina
Mkuu wayahudi wanadai kulikuwa na fixed canon ya vitabu 39 vya agano la kale...... Ethiopian orthodox nayo inadai kuna fixed canon ya vitabu 81 ambavyo wao walivitunza ila wayahudi walivipoteza mfano book of Enoch... Hivyo kiufupi kila mtu anavutia upande wake lakini kila kanisa linasema hiyo kanuni ilikuwa planned na Roho mtakatifu ndio sasa najiuliza

1. Je wote wapo sahihi?
2. Je Roho mtakatifu anakinzana?
3. Kma hakinzani kwanni kila dhehebu liwe na Biblia yake?
4. Je kma mmoja ndio yupo sahihi na wengine wamepotoka kwa kupunguza/ongeza namba ya vitabu nini hatma yao ?

I hope hoja imeeleweka mkuu
 
Hata wewe umekuwa brain washed endelea tu kuamini hivyo unavyoamini kuhusu dini.

Et dini biashara! Bro kitu chochote watu wanaweza kufanya fursa tu haijarishi iwe dini au kituo cha watoto yatima,sasa wewe unakuja tu na hoja nyepesi ya kijumla jumla et dini biashara.
dini ni uongo tu endelea kushikilia dini zako mzee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu wayahudi wanadai kulikuwa na fixed canon ya vitabu 39 vya agano la kale...... Ethiopian orthodox nayo inadai kuna fixed canon ya vitabu 81 ambavyo wao walivitunza ila wayahudi walivipoteza mfano book of Enoch... Hivyo kiufupi kila mtu anavutia upande wake lakini kila kanisa linasema hiyo kanuni ilikuwa planned na Roho mtakatifu ndio sasa najiuliza

1. Je wote wapo sahihi?
2. Je Roho mtakatifu anakinzana?
3. Kma hakinzani kwanni kila dhehebu liwe na Biblia yake?
4. Je kma mmoja ndio yupo sahihi na wengine wamepotoka kwa kupunguza/ongeza namba ya vitabu nini hatma yao ?

I hope hoja imeeleweka mkuu
Itakua wote sio sahihi na vile vile hakuna uhakika vitabu vilikua vingapi kwa majibu yao
 
Back
Top Bottom