Je, Biblia ya ukweli/Halisi ni ipi?

Je, Biblia ya ukweli/Halisi ni ipi?

Mtakatifu ni Allah peke yake,, nioneshe wapi Yesu ameitwa Mtakatifu kwenye Qur'an...

Kumbuka kwenye Qur'an Muhammad SAW ametajwa yeye ndiye kiumbe bora kuliko wote.
Soma Surat Mariam

We unaonekana Maamuma.
 
Naijua vzr hio sura,, sasa nataka unioneshe huo sehemu Yesu ameitwa Mtakatifu,, huenda kuna mmoja hakuelewa vzr.

Ww kwasababu inaonekana unaijui hio sehemu,, huna budi kunionesha

Nasubiri
We leo isome kesho ndo utaniambia umeona au la.
Ndipo nitakapo kuonesha hiyo Aya.
Au Mwulize Imamu wako atakuonesha.
Shughulisha akili yako
 
Labda niandike kitu tu kwasababu nilikuwa nimepita hapa. Nina umri miaka 60 sasa na hilo nimeanza kulisikia zaidi ya miaka 40 iliyopita.

Mimi ni mkristo, nakushauri swali la 2 usingeliweka.
Maana wakujibu swali hilo ni Mungu tu.
Maana yeye ndio ungeaandika vyoote akwambie kipi ni halali na kipi sio halali
Nashangaa hilo swaki limeelekezwa kwa wasomaji ambao bila shaka kila mtu ana dini yake ndio waseme Biblia ni Halali au sio halali

Pili. Katika vitabu vyote vya dini karibu zote tu kuna maaandiko mengi na hadithi pia ambapo Mungu ameonyesha maamuzi yake hayazingatii "wengi wape".

Kwa hiyo watu woote wakisema ni halali hiyo haiifanyi Biblia kuwa halali na watu woote wakisema sio halali haiifanyi isiwe halali maana Mhusika Mkuu mpaka kitabu kikaitwa kitakatifu hayupo. Tunaongea sisi kwa sisi.

Uwe na Amani Bw.Mdogo
Jibu la kifaza sana mkuu.
 
  • Naona mnaongezeka kusaidiana, Yani Allah katengezeza Issa bandia anaefanana na Issa original kamuondoa original kamuweka bandia asulubiwe ili watu wwamini kwamba Issa kasalubiwa akakaaaaaaa miaka kama 2100 ndio allah akarudi akasema niliwadanganyaga yule alikuwa nimewafananishia original nilimleta kwangu, whats a stupid idea is this
Stupidity is amazing
Kumbe huna hata historia kutoka yeshu mpk Muhammad Ni karne 6
 
Hivi kweli Mungu ashuke katika umbo la kibinadamu alafu hao binadamu waje kumkataa ? Akataliwe kwao? Huyo Mungu atakuwa na madhaifu makubwa sana...

Kama Mungu aliamua kushuka duniani,, nini lengo la kuleta Mitume sasa ?


Yohana 17:3
Na uzima wa milele ndio huu, Wakujue wewe, Mungu wa pekee wa kweli, na Yesu Kristo uliyemtuma.

Kama Yesu ni Mungu, Je, hapa alikuwa anamuongelea Mungu gani ?
Hapo mwisho wa aya inasema " na yesu Kristo uliyemtuma",, Swali,, Hivi anayetumwa na Mungu naye utamwita Mungu ? Au utamwita Mtume ?
Haujajibu maswali Allah alivyo vaa moto nanai alikuwa Allah kwa kipindi Allah kavaa moto.
27:7 : Hakika nimeona moto, nitakwenda nikuleteeni khabari,............
27:9. Ewe Musa! Hakika Mimi ndiye Allah,
 
Mkuu ndio napojiuliza ina maana kila kitabu cha Biblia ni kisiwa?? Yaani Musa akikataza uzinzi basi anaongea na waisrael sio watanzania au wakristo?? Tukienda kwa staili hii ina maana hata amri 10 za Mungu kwakuwa zilitolewa kwa Waisrael basi watanzania hazituhusu si ndio maana yake mkuu ??
Ndugu, miaka hiyo kulikuwa hakuna taiga LA Tanzania hata USA na baadhi.... Na Mungu alijidhihirisha kwa mataifa mengine kupitia Israel....
Mfano tu wa kawadia, ukitaka kwenda ndani ya nyumba yako no maamuzi yako, kupita mlango wa sebule, wa jikoni au hata dirisha ni wewe tu, ilimradi uhakikiishe kiwiliwili kipo ndani... Lakini Mungu sio mbaguzi... Marko 16:15 Akawambia, enendeni ulimwenguni mwote, mkaihubiri Injili kwa kila kiumbe.
Mkuu ndio napojiuliza ina maana kila kitabu cha Biblia ni kisiwa?? Yaani Musa akikataza uzinzi basi anaongea na waisrael sio watanzania au wakristo?? Tukienda kwa staili hii ina maana hata amri 10 za Mungu kwakuwa zilitolewa kwa Waisrael basi watanzania hazituhusu si ndio maana yake mkuu ??
 
Sijifungui lakini lazima itakuwa nilimpa mwanamke mimba... Sasa hii kitu haipo Mungu,,

Je, Mungu naye anatia mtu mimba ?
Wewe na Allah wote hamna uelewa , Allah mwenyewe anasema hawezi kuwa na mtoto maana hana mke , alivyo banwa Sana akasema akasema anaweza kuchukua mke Malaika au horis akazaa nae.
Inatakiwa tuanze kumuelewesha Allah ndo wewe ufute
 
Rasmi sasa hv naweza kukuita Mzushi... Kwasababu umemzushia Muhammad kitu cha uongo ikiwa huna ushahidi..

Mbona sisi Waislamu hatujawahi kumzushia uongo Yesu,, na tunaamini mambo yote alofanya kasoro moja tu ( Uungu).
Kwa hiyo unambishia Allah alie mpa Muhammad leseni ya kufanya dhambi
 
Wapi hapo imesema Allah alikuwa moto ?
Huwa nawacheka Sana yani andiko nimekuwekea alafu unajifanya hulioni
Hii ni Koran kijana kama ulifichwa Mimi nakufichulia

27:7 : Hakika nimeona moto, nitakwenda nikuleteeni khabari,............
27:9. Ewe Musa! Hakika Mimi ndiye Allah,

MUssa aliona mti unawaka moto alivyo usogele ule mti ukasema Hakika Mimi ndiye Allah

Turudi Kwenye swali Allah alivyo vaa mti unawaka mto Nani alikuwa Allah kwa kipindi Allah kavaa mti
 
Ndio nikakwambia nitajie dhambi hata moja,, hujataja..

Mtume Muhammad ni mfano wa kuigwa kwa Waislamu ndo mana Aliamrishwa atubu ( japokuwa hakuwahi kutenda dhambi) ilimradi tupate kujifunza jinsi ya kutubu kutoka kwake mtume,, lakini hii haimaanishi kuwa alifanya dhambi !!
Pia unambishia Allah ambae aliona Muhammad hana hekima , na sio mkweli mpaka Allah akatuma Malaika kwenye kumpasua Muhammad kuanzia shingoni mpaka kwenye gonads wakatoa mautumbo wakayaosha na maji ya zamzam na kumuweke makarai ya hekima na ukweli
 
Kumbe huna hata historia kutoka yeshu mpk Muhammad Ni karne 6
Soma vizuri , kutoka ISSA mpaka Muhammad ni miaka 2100 , Allah alichanganya kidogo kumuweke ISSA na Musa na Haruni na baba yao imran akichanganya Mariam na Miriam dada wa mussa na harruni
 
Hivi kweli Mungu ashuke katika umbo la kibinadamu alafu hao binadamu waje kumkataa ? Akataliwe kwao? Huyo Mungu atakuwa na madhaifu makubwa sana...

Kama Mungu aliamua kushuka duniani,, nini lengo la kuleta Mitume sasa ?


Yohana 17:3
Na uzima wa milele ndio huu, Wakujue wewe, Mungu wa pekee wa kweli, na Yesu Kristo uliyemtuma.

Kama Yesu ni Mungu, Je, hapa alikuwa anamuongelea Mungu gani ?
Hapo mwisho wa aya inasema " na yesu Kristo uliyemtuma",, Swali,, Hivi anayetumwa na Mungu naye utamwita Mungu ? Au utamwita Mtume ?
hivi huko kwenu uswazi mzee wa busara anajigeuza nyau unaamini!; hadi mnawazuia wanenu wasiwe wanawapiga nyau!
INAPO KUJA KWA MWENYEZI MUNGU KUJIDHIHIRISHA KTK UMBILE BORA LA KIBINADAMU, UNAINUA DOMO LAKO, HAWEZI BANA HAWEZI HAWEZIII[emoji56] (laanatulah)
Angejidhihirisha kama dume ng😱mbe akaanza kuhubiri miskitini atabakia MTU humo??[emoji13]
Hata Mungu wako allah Amekufundisha kwamba Mwenyezi Mungu Anaonekana pia haonekani
[emoji116][emoji116]
هُوَ الْأَوَّلُ وَالْآخِرُ وَالظَّاهِرُ وَالْبَاطِنُ ۖ وَهُوَ بِكُلِّ شَيْءٍ عَلِيمٌ ( 3 )
Yeye ndiye wa Mwanzo na ndiye wa Mwisho, naye ndiye wa Dhaahiri na wa Siri, naye ndiye Mjuzi wa kila kitu.
 
Wapi hapo imesema Allah alikuwa moto ?
Hapa
[emoji116][emoji116]

إِذْ رَأَىٰ نَارًا فَقَالَ لِأَهْلِهِ امْكُثُوا إِنِّي آنَسْتُ نَارًا لَّعَلِّي آتِيكُم مِّنْهَا بِقَبَسٍ أَوْ أَجِدُ عَلَى النَّارِ هُدًى ( 10 )
Alipo uona moto, akawaambia watu wake: Ngojeni! Mimi nimeuona moto, huenda nikakuleteeni kijinga kutoka huo moto, au nikapata uongofu kwenye moto.
فَلَمَّا أَتَاهَا نُودِيَ يَا مُوسَىٰ ( 11 )
Basi alipo ufikia akaitwa: Ewe Musa!
إِنِّي أَنَا رَبُّكَ فَاخْلَعْ نَعْلَيْكَ ۖ إِنَّكَ بِالْوَادِ الْمُقَدَّسِ طُوًى ( 12 )
Hakika Mimi ndiye Mola wako Mlezi! Basi vua viatu vyako. Kwani upo katika bonde takatifu la T'uwa.
 
Hichi ndo kitu hamuelewi..

Mwenyezi Mungu ametakasika na hizi sifa za kibinadamu kama kuwa na mtoto...
Kwa hiyo mwanadamu amemzidi sifa Allah
[emoji23][emoji23][emoji106]
Manake Hata bi khadija kamzidi sifa Allah pale waumini mnapo muita mama yenu [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom