Che mittoga
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 14,598
- 18,419
[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]Umesoma na hizi
[emoji116][emoji116]
لَتَجِدَنَّ أَشَدَّ النَّاسِ عَدَاوَةً لِّلَّذِينَ آمَنُوا الْيَهُودَ وَالَّذِينَ
أَشْرَكُوا ۖ وَلَتَجِدَنَّ أَقْرَبَهُم مَّوَدَّةً لِّلَّذِينَ آمَنُوا الَّذِينَ قَالُوا إِنَّا نَصَارَىٰ ۚ ذَٰلِكَ بِأَنَّ مِنْهُمْ قِسِّيسِينَ وَرُهْبَانًا وَأَنَّهُمْ لَا يَسْتَكْبِرُونَ ( 82 )
Hakika utawakuta walio shadidi kuliko watu wote katika uadui kwa walio amini ni Mayahudi na washirikina. Na utawakuta walio karibu mno kwa mapenzi ni wale wanao sema: Sisi ni Manasara. Hayo ni kwa sababu wapo miongoni mwao makasisi na wamonaki, na kwa sababu wao hawafanyi kiburi
يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا لَا تَتَّخِذُوا الْيَهُودَ وَالنَّصَارَىٰ {51}
"Enyi Mlioamini msiwafanye marafiki mayahudi na manswara." (5:51)
Yaani adui #.1 wa waumini sio shetani ila wayahudi![emoji56]
Ndio maana Eti Malaika Mtoa Roho za watu wanamwita Israeli.
Kulekule kwa wayahudi.