Je, Biblia ya ukweli/Halisi ni ipi?

Je, Biblia ya ukweli/Halisi ni ipi?

Nilisema hivo kwasababu Jibril naturally yeye ni Malaika....
Nimekuleza vzr tu kuwa Jibril sio Mungu,, ni Malaika... Huo ni uwezo alopewa na Mola wake...
Sasa ikiwa Mungu atajibadlisha kuwa Binadamu,, Mungu atakuwa nani ? Bado mmeshindwa kulijibu hili

Sasa kujibadili shape kuna uhusiano gani na Binadamu kuwa Mungu ?

Binadamu Anawezaje kuwa Mungu.? Na ikiwezekana, je nani atakuwa Mungu kwa mda huo ?
Jibril ni malaika au roho
Binadamu Hawezi kuwa Mungu hata siku moja , yani waislamu sijui mnakwama wapi, mwisho wa siku utakuja kuuliza Mungu anakufa

Rudi jibu maswali yangu yote , ulipinga kuhusu Jibril mwanzoni ukajua sina ushahidi
 
Nikikuona unaanza kupindisha mada najua kazi nimeimaliza....Usihamishe mada... Hio mada yako ianzishe baada ya kukiri kuwa lile swali lako ni la uongo,, alafu tutaendelea..

Nashkuru umeelewa vzr.

Shukraan
Maswali yangu yapo pale pale yale ya mwanzo, hujajibu ukakimbilia tafsir kwamba imekosewa
 
Jibu la hilo swali linategemea jibu la hili swali

Yesu alizaliwa mwaka, mwezi na tarehe gani ?
Usilete utoto, Nimekuuliza swali mimi kwanza Jibu swali la Issa alikuwepo lini ndio uulize swali
 
Nilikuuliza swali,
Kama ukristo ni kufuta maagizo ya Yesu Kristo,, Je, Yesu aliwahi kuingia Kanisani ? Na ikiwa hakuingia, kwanini wakristo wanaingia kanisani ilhali umesema wanafuata mafundisho ya Yesu ? Yaani huko kuingia kanisani wametoa kwa nani ?
Kristo hakuingia Kanisani, maana ndiye aliyewaagiza Wanafunzi wake Waongeze wanafunzi Ulimwenguni kote wakati anakaribia Kupaa Mbinguni.
Hapo Juu nimekuonesha jinsi Yesu anavyo mwamuru Simom Petro Kuanzisha Kanisa yeye akiwa ameondoka.
Hivyo Amri ya Kuanzisha Kanisa ilitoka kwa Yesu Mwenyewe. Ndio maagizo yake hayo ambayo sisi Wanafunzi wake tunapaswa kuyatekeleza.
Yesu alihubiri popote, njiani, milimani, Baharini na Kwenye Masinagogi ya Wayahudi nk.
Yesu alihubiria watu wote bila kujali anawakuta wapi.
Yesu angelikuwepo leo angeingia hadi MISIKITINI kuwahubiria Waislamu kwakuwa sote ni Watoto wa Mungu.
Angeingia Msikitini sio kwakuwa ni Mwislamu la hasha, bali kwakuwa kuna Watoto wa Mungu wanaohitaji HABARI NJEMA YA UFALME WA MBINGU.
Yesu Kamwe hakuja Kutangaza Dini.
Na hakuwa na Dini, la sivyo baadhi ya Wayahudi wasinge mkataa na kumtesa.
Kuna siku wakuu wa Sinagogi walimfukuza ndani ya Sinagogi siku ya SABATO ya Ibada na kutaka kumtumbukiza kwenye bonde kubwa ili AFE.
Angekuwa Myahudi wasingemfukuza na kutaka Kumwua katikati ya Ibada ya Kiyahudi.
Karibu kwa Yesu ndugu achana na mambo ya DINI.
Achana na kuwasilikiza Wanadamu, Msikilize Kristo Yesu ambaye yu HAI hadi sasa. Na Atarudi kuuhukumu Ulimwengu.
Ili akirudi na kuuliza mlifuata maagizo yangu, useme NDIO.
 
Hoja yako sio sahihi kwasababu Jibril sio binadamu ni Malaika... Lakini Yesu alikuwa ni binadamu kamili..

Unaweza kuonesha uhusiano wa hivo vitu viwili ?
Jibu haya maswali yote usijibu nusu nusu
  • Jibrili alivyokuwa anajibadilisha maumbo nani alikuwa Malaika Jibril? Alivyokuwa anakuwa binadamu nani alikuwa malaika Jibril
  • Hii Roho aliyoituma Allah iliwezaje kuwa mtu?
    • 19:17. Na akaweka pazia kujikinga nao. Tukampelekea Roho wetu, akajifananisha kwake sawa na mtu
  • Allah alipojibadili kuwa mti unaowaka moto mungu alikuwa nani? na nani alikuwa mbingu yake wakati yeye yupo duniani kawa moto
  • Allah anavyo jibadili maumbo, umbo la kwanza linakuwa limeenda wapi?
Swali la ziada Kwa nini Jibril aliamua kuvaa mwili wa huyu kijana na wakawa chumbani pamoja na Muhammad
Jibril alivaa mwili wa Dihyah Al-Kalbi (huyu alikuwa mwanaume handsome wa pale kijijini kwa muhammad)
  • .................I did not know him more than any man among you. That was Jibril, peace be upon you, who came down in the form of Dihyah Al-Kalbi.'" Sunan an-Nasa'i 4991
 
Soma Mathayo 16 : 18
Ulipo ninukuu hapo juu.
Hivi wewe unasoma ninachokuandika kweli ?
Au ndo umekazania kubisha tu ?

Tulia soma kwa utulivu ni kwa faida yako pia.
Huyo hasomi na huwa anabisha tu ata umuwekee ukweli mbele yake na wote wapo hivyo
 
Mkuu nilikwambia Umma inayomaanishiwa ni umma wa mitume... Kwa mfano umma wetu huu ni ummat Muhammad SAW.... Kila mtume alikuja na umma wake... Sasa hiki kitu huwezi kuelewa ikiwa hujui Kiarabu... Nilikuelezea vzr kwenye ile reply ila umekaza kichwa..

Ndo maana nakwambia Kajifunze Kiarabu alafu ndo uje tuichambue hio ayah
Unapofanya huamiki huweki ushahidi yani unasema tu bila kuweka scholar ata mmoja anae support urgument Yako au ata link ambayo tutaona tukuamini, nipe scholar anaekubaliana na wewe
 
Sio suala la kutoelewa mkuu,, hicho kitu hakiwezekani abadan !!

Binadamu Anawezaje kuwa Mungu ?

Yesu alifanya miujiza mingi tu,, alifufua watu,, aliponya vipofu, n. K.... Waislamu tunaamini katika uwezo huu wa Yesu aliopewa na Mwenyezi Mungu.... Lakini hio haimpi nafasi yeye kuwa Mungu..
Mnambebesha jukumu zito ambalo yeye hakulisema !!
Ni kweli mwanadamu hawezi kuwa MUNGU[emoji106]
Jee MUNGU Hana Uwezo Wa kujidhihirisha ktk Umbile la Kibinadamu??[emoji101]
mungu wako mbona amesema Mwenyezi Mungu Anaweza[emoji123][emoji106]
[emoji116][emoji116]
هُوَ الْأَوَّلُ وَالْآخِرُ وَالظَّاهِرُ وَالْبَاطِنُ ۖ وَهُوَ بِكُلِّ شَيْءٍ عَلِيمٌ ( 3 )
Yeye ndiye wa Mwanzo na ndiye wa Mwisho, naye ndiye wa Dhaahiri na wa Siri, naye ndiye Mjuzi wa kila kitu.
 
Nilikuuliza swali,
Kama ukristo ni kufuta maagizo ya Yesu Kristo,, Je, Yesu aliwahi kuingia Kanisani ? Na ikiwa hakuingia, kwanini wakristo wanaingia kanisani ilhali umesema wanafuata mafundisho ya Yesu ? Yaani huko kuingia kanisani wametoa kwa nani ?
ww ni mjinga wa kawaida tu [emoji13]
Hapo kwa akili zako za kisilamu silamu unaona umeuliza swali la sunami [emoji23][emoji23][emoji13]
Hivi hapa YESU Aliagiza kwenda kuyaambia Majengo??
[emoji116][emoji116]
MT. 18:17 Na asipowasikiliza wao, liambie kanisa; na asipolisikiliza kanisa pia, na awe kwako kama mtu wa mataifa na mtoza ushuru.

Nimeamini
[emoji116][emoji116]
MIT. 27:22 Hata ukimtwanga mpumbavu kwa mchi kinuni pamoja na ngano; Upumbavu wake hautamtoka.

ww ni ubao wa kufundishia tu huna ulijualo[emoji13]
 
Sasa Mungu akijidhihirisha katika umbile la kibinadamu, nani atakuwa Mungu katika kipindi hicho ?

Na nini haja ya kuwepo Mitume ikiwa Mungu ajidhihirishe katika umbo la kibinadamu ?
Uislamu na Ukristo ni vitu viwili tofauti kabisa.
Wasiojua wanashinda kubishana.

Uislamu ni Dini.
Ukristo ni Imani.

Mungu wa Waislamu hajawahi kuonekana kabisa.
Mungu wa Wakristo amewahi kuonekana katika maumbo ya Moto (alipomtokea Musa) { Qurani inakiri ktk bonde la TUA }
Na katika umbo la Binadamu ( soma Mwanzo 18 alipomtokea Ibrahimu)
Nk.
Pia ( alikuja katika umbo la Yesu Kristo )
Yesu ni Mtu kama sisi, hakuwahi kutenda dhambi, alifufua watu, alisamehe dhambi Nk { hizo ni kazi za Mungu aliyeishi ndani yake,}
Mungu alishuka na kuishi na sisi ili atufundishe kweli yake ktk umbo la binadamu Yesu.
aliondoka pale msalabani na Binadamu Yesu akalia, Mungu wangu Mbona unaniacha.
Elimu hii Waislamu hawana, ila wana elimu ya Majini ambao hawaonekani na sisi hatuwahoji.

Badala ya kuuliza taratibu wanabaki kubisha tu. Basi wasome Mwanzo 18 Waone Mungu wa Wakristo yupoje.
Ukristo ni Imani
Uislamu ni Dini
Ni vitu viwili tofauti kabisa.

Mungu wa Wakristo anapenda kukutana na watu wake, ila akija katika umbo lake Binadamu atakufa kwakuwa ni zaidi ya ukali wa JUA.

Ndio maana anajibadilisha ili Binadamu aweze kuhimili.
Mama wa Musa alijigeuza mjakazi ili aishi na mtoto wake kwa Farao.
Mungu alipompa Nabii Musa Amri Kumi ktk mlima Sinai alikuja kwa Umbo la Moto.
Elimu hii Waislamu hawana.
Mungu wao hajawahi kukutana nao.
Allah hajulikani anaishi wapi.
Hajawahi kukutana na Muhammadi, wala kuwatokewa Waislamu na hawamjui.
Sisi Wakristo, tunakutana na Mungu wetu kila siku. Tukimwita anakuja katika umbo lolote analo taka.

Njooni basi tuwaoneshe Mungu wetu, yupo, hajifichi.
Kama hamtaki basi sawa tu.

Qurani inasema, kama kuna vitu hamvijui basi waulizeni waliopewa kitabu kabla yenu.
Badala ya kuuliza wanajifanya wajuaji basi sawa.
Basi sawa.
Kuna tofauti kati ya Dini na Imani.
Dini ni lazima uifuate. Ukiikana unabidi Uuawe, yaani Ufe.
Imani ni hiari, ukiikubali sawa tu ukiikana sawa tu.
Ila ukiikana hadi mwisho huta faidi matunda yake, utaishia Jehenam, Kuzimu.
Ukiikana Dini unauliwa leoleo kwakuwa ameondoka ktk utaratibu wa maisha flani wa lazima.
[emoji117]Dini ni Utamaduni au mila ambayo hutakiwi kuiacha.

Ndio mana Kuna andiko linasema
"Asiyetaka dini isiyo ya Kiislamu haitakubalika kwake, ndugu wa Mwislamu ni Mwislamu "

Uislamu ni lazima. La basi inabidi uchinjwe.

Ukristo ni hiari, yaani nenda kwa Mungu au kwa Shetani kwa hiari yako mwenyewe. (ndio maana Mashoga wanajiachia tu kwenye nchi zenye Wakristo wengi, wako huru kuikana Imani, kwenye Dini, kama ya Uislamu lazima Wachinjwe na wanajificha wanajua watauliwa, huwezi kuwaona.)

(Kama Jini anaweza kuishi ndani ya Mtu (binadamu) na akazungumza, akaroga, akatembea, Akasoma Qurani kwa kichwa kama a.k.a Masharifu

Mungu ndio ashindwe kuishi ndani ya Yesu ?
au ndani yako ?

Jini na Mungu nani ana UWEZA ?
Ndivyo ilivyokuwa kwa Mtu, Binadamu Yesu Kristo wa Nazarati, alikuwa Mtu, kama wewe.

Yohana 10:38
lakini nikizitenda, ijapokuwa hamniamini mimi, ziaminini zile kazi; mpate kujua na kufahamu ya kuwa Baba yu ndani yangu, nami ni ndani ya Baba.
 
Kwanza kbs nithibitishie kuwa hii Argument yako is logically equivalent na argument ya uwezekano wa Binadamu kuwa Mungu
Unajifanya kichwa ngumu , nimeshakujibu binadamu hawezi kuwa Mungu
turudi kwenye hizo nondo hujajibu hata moja
Jibu haya maswali yote usijibu nusu nusu
  • Alivyokuwa anakuwa binadamu nani alikuwa malaika Jibril
  • Hii Roho aliyoituma Allah iliwezaje kuwa mtu? na wakati hiyo roho imekuwa mtu nani alikuwa hiyo roho
    • 19:17. Na akaweka pazia kujikinga nao. Tukampelekea Roho wetu, akajifananisha kwake sawa na mtu
  • Allah alipojibadili kuwa mti unaowaka moto mungu alikuwa nani? na nani alikuwa mbingu yake wakati yeye yupo duniani kawa moto
  • Allah anavyo jibadili maumbo, umbo la kwanza linakuwa limeenda wapi?
Swali la ziada Kwa nini Jibril aliamua kuvaa mwili wa huyu kijana na wakawa chumbani pamoja na Muhammad
Jibril alivaa mwili wa Dihyah Al-Kalbi (huyu alikuwa mwanaume handsome wa pale kijijini kwa muhammad)
  • .................I did not know him more than any man among you. That was Jibril, peace be upon you, who came down in the form of Dihyah Al-Kalbi.'" Sunan an-Nasa'i 4991
 
Sasa Mungu akijidhihirisha katika umbile la kibinadamu, nani atakuwa Mungu katika kipindi hicho ?

Na nini haja ya kuwepo Mitume ikiwa Mungu ajidhihirishe katika umbo la kibinadamu ?
mungu wako Allah alipokuwa moto nani alikuwa mungu katika kipindi hicho
Koran
27:7 : Hakika nimeona moto, nitakwenda nikuleteeni khabari,............
27:9. Ewe Musa! Hakika Mimi ndiye Allah,
 
mungu wako Allah alipokuwa moto nani alikuwa mungu katika kipindi hicho
Koran
27:7 : Hakika nimeona moto, nitakwenda nikuleteeni khabari,............
27:9. Ewe Musa! Hakika Mimi ndiye Allah,
ha ha ha, hawa watu ni wa ajabu sana sana.
Kila nikiwafikiria naishia kucheka tu.
Eti wao na Majini ni Ndugu,
Wao na Sisi Wakristo ni Maadui.
ha ha
Eti rafiki zetu sisi Wakristo ni Mayahudi.
Mbona mimi nina marafiki Wahindu, Wabudha, Warastafarian Nk.
Na sijapata kuwa na rafiki wa Kiyahudi.
Qurani bado naisoma.

Ila bado najiuliza hao na Rafiki zao wa Kijini wanakutanaga wapi ?

Naomba unijibu rafiki
 
ww ni mjinga wa kawaida tu [emoji13]
Hapo kwa akili zako za kisilamu silamu unaona umeuliza swali la sunami [emoji23][emoji23][emoji13]
Hivi hapa YESU Aliagiza kwenda kuyaambia Majengo??
[emoji116][emoji116]
MT. 18:17 Na asipowasikiliza wao, liambie kanisa; na asipolisikiliza kanisa pia, na awe kwako kama mtu wa mataifa na mtoza ushuru.

Nimeamini
[emoji116][emoji116]
MIT. 27:22 Hata ukimtwanga mpumbavu kwa mchi kinuni pamoja na ngano; Upumbavu wake hautamtoka.

ww ni ubao wa kufundishia tu huna ulijualo[emoji13]
Ha ha ha
Waislamu ni Watoto wa Mungu.
Basi uwe unawaelimisha taratibu.
Ni kwamba tu Muhammadi amewapotosha sana.
Mi nawapenda sana Waislamu.
 
Mwanzo 18:1
Bwana akamtokea Ibrahimu karibu na mialoni ya Mamre, alipokuwa ameketi mlangoni pa hema yake mchana wakati wa hari.
18:2 Akainua macho yake akaona, na tazama, watu watatu wamesimama mbele yake. Naye alipowaona alipiga mbio kuwalaki kutoka mlangoni pa hema, akainama mpaka nchi,
18:3 akasema, Bwana wangu, kama nimeona fadhili machoni pako nakuomba usinipite sasa mimi mtumwa wako.
18:4 Na yaletwe basi maji kidogo mkanawe miguu, mkapumzike chini ya mti huu.
18:5 Nami nitaleta chakula kidogo, mkaburudishe moyo, baadaye mwendelee, iwapo mmemjia mtumwa wenu. Wakasema, Haya, fanya kama ulivyosema.
18:6 Basi Ibrahimu akaenda hima hemani kwa Sara, akasema, Himiza vipimo vitatu vya unga safi, uukande, ufanye mikate.
18:7 Ibrahimu akapiga mbio kwenda kundini, akaleta ndama wa ng'ombe aliye laini, mzuri, akampa mtumishi, naye akahimiza kuiandaa.
18:8 Akatwaa siagi na maziwa, na ndama aliyoiandaa, akawaandikia mbele yao, akasimama karibu nao chini ya mti, nao wakala.
18:9 Wakamwambia, Yu wapi Sara mkeo? Akasema, Yumo hemani.
18:10 Akamwambia, Hakika nitakurudia wakati huu huu mwakani, na tazama, Sara mkeo atapata mwana wa kiume. Sara akasikia mlangoni pa hema iliyokuwapo nyuma yake.
18:11 Basi Ibrahimu na Sara walikuwa wazee, na umri wao mkubwa, na Sara alikuwa amekoma katika desturi ya wanawake.
18:12 Kwa hiyo Sara akacheka moyoni mwake, akisema, Niwapo mkongwe, nitapata furaha, na bwana wangu mzee?
18:13 Bwana akamwambia Ibrahimu, Mbona Sara amecheka akisema, Mimi kweli nitazaa mwana, nami ni mzee?
18:14 Kuna neno gani lililo gumu la kumshinda Bwana? Kwa muhula wake nitakurudia, wakati huu huu mwakani, na Sara atapata mwana wa kiume.
18:15 Akakana Sara, akisema, Sikucheka, maana aliogopa. Naye akasema, Sivyo, umecheka.
18:16 Kisha watu hao wakaondoka huko wakaelekeza nyuso zao Sodoma. Ibrahimu akaenda pamoja nao awasindikize.
18:17 Bwana akanena, Je! Nimfiche Ibrahimu jambo nilifanyalo,
18:18 akiwa Ibrahimu atakuwa taifa kuu, hodari, na katika yeye mataifa yote ya dunia watabarikiwa?
18:19 Kwa maana nimemjua ya kwamba atawaamuru wanawe, na nyumba yake baada yake waishike njia ya Bwana, wafanye haki na hukumu, ili kwamba Bwana naye akamtimizie Ibrahimu ahadi zake.
18:20 Bwana akasema, Kwa kuwa kilio cha Sodoma na Gomora kimezidi, na dhambi zao zimeongezeka sana,
18:21 basi, nitashuka sasa nione kama wanayotenda ni kiasi cha kilio kilichonijia; na kama sivyo, nitajua.
18:22 Basi wale watu wakatoka huko wakaelekea Sodoma; lakini Ibrahimu alikuwa akali akisimama mbele za Bwana.
18:23 Ibrahimu akakaribia, akasema, Je! Utaharibu mwenye haki pamoja na mwovu?
18:24 Huenda wakawapo wenye haki hamsini katika mji, utaharibu, wala hutauacha mji kwa ajili ya hao hamsini wenye haki waliomo?
18:25 Hasha usifanye hivyo, ukamwue mwenye haki pamoja na mwovu, mwenye haki awe kama mwovu. Hasha; Mhukumu ulimwengu wote asitende haki?
18:26 Bwana akasema, Nikiona katika Sodoma wenye haki hamsini mjini, nitapaacha mahali pote kwa ajili yao.
18:27 Ibrahimu akajibu, akasema, Basi, nimeshika kusema na Bwana, nami ni mavumbi na majivu tu.
18:28 Huenda wakapunguka watano katika wale hamsini wenye haki, je! Utaharibu mji wote kwa kupungua watano? Akasema, Sitauharibu, nikiona humo arobaini na watano.
18:29 Akazidi tena kusema naye, akinena, Huenda wakaonekana humo arobaini? Akasema, Sitafanya kwa ajili ya hao arobaini.
18:30 Akasema, Bwana asiwe na hasira, nami nitasema, Huenda wakaonekana huko thelathini? Akasema, Sitafanya, nikiona humo thelathini.
18:31 Akasema, Tazama, nimeshika kusema na Bwana, huenda wakaonekana huko ishirini? Akasema, Sitaharibu kwa ajili ya hao ishirini.
18:32 Akasema, Bwana asiwe na hasira, nami nitasema mara hii tu, Huenda wakaonekana huko kumi? Akasema, Sitaharibu kwa ajili ya hao kumi.
18:33 Basi Bwana alipokwisha kuzungumza na Ibrahimu, akaenda zake; Ibrahimu naye akarudi mahali pake.
 
ha ha ha, hawa watu ni wa ajabu sana sana.
Kila nikiwafikiria naishia kucheka tu.
Eti wao na Majini ni Ndugu,
Wao na Sisi Wakristo ni Maadui.
ha ha
Eti rafiki zetu sisi Wakristo ni Mayahudi.
Mbona mimi nina marafiki Wahindu, Wabudha, Warastafarian Nk.
Na sijapata kuwa na rafiki wa Kiyahudi.
Qurani bado naisoma.

Ila bado najiuliza hao na Rafiki zao wa Kijini wanakutanaga wapi ?

Naomba unijibu rafiki
Umesoma na hizi
[emoji116][emoji116]

لَتَجِدَنَّ أَشَدَّ النَّاسِ عَدَاوَةً لِّلَّذِينَ آمَنُوا الْيَهُودَ وَالَّذِينَ
أَشْرَكُوا ۖ وَلَتَجِدَنَّ أَقْرَبَهُم مَّوَدَّةً لِّلَّذِينَ آمَنُوا الَّذِينَ قَالُوا إِنَّا نَصَارَىٰ ۚ ذَٰلِكَ بِأَنَّ مِنْهُمْ قِسِّيسِينَ وَرُهْبَانًا وَأَنَّهُمْ لَا يَسْتَكْبِرُونَ ( 82 )
Hakika utawakuta walio shadidi kuliko watu wote katika uadui kwa walio amini ni Mayahudi na washirikina. Na utawakuta walio karibu mno kwa mapenzi ni wale wanao sema: Sisi ni Manasara. Hayo ni kwa sababu wapo miongoni mwao makasisi na wamonaki, na kwa sababu wao hawafanyi kiburi

يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا لَا تَتَّخِذُوا الْيَهُودَ وَالنَّصَارَىٰ {51}

"Enyi Mlioamini msiwafanye marafiki mayahudi na manswara." (5:51)

Yaani adui #.1 wa waumini sio shetani ila wayahudi![emoji56]
 
Back
Top Bottom