Je, Biblia ya ukweli/Halisi ni ipi?

Je, Biblia ya ukweli/Halisi ni ipi?

Abdul Acha kuchanganya madesa kama Muhammad

Hebu soma biblia kisa cha ujenzi wa mnara wa babeli Mwanzo 11:5-7

5 Ndipo Mwenyezi-Mungu akashuka chini kuuona mji huo na mnara walioujenga binadamu. 6 Mwenyezi-Mungu akasema, “Tazama, watu hawa ni taifa moja na wote wana lugha moja; huu ni mwanzo tu wa yale watakayoyafanya. Lolote wanalokusudia kulifanya watafanikiwa. 7 Haya, na tushuke chini na kuivuruga lugha yao ili wasielewane wao kwa wao.”

Unaoina plural of Majesty kwenye hiyo verse au unadhani hapo Mungu alitaka kushuka chini na nani?
 
Kama kuna agano la kale na agano jipya basi kuna agano la mwisho.

Si lingine ni Qur'an. Kitabu pekee duniani kilichohifadhiwa kwenye mioyo ya watu wengi zaidi duniani na kitabu pekee duniani ambacho aya zake husomwa kwa ghaibu (bila kufungua kitabu) kila siku mara tano na Waislam wasiopungua billion moja duniani.

Hakika Qur'an ni muujiza unaoishi.

Na haijabadilishwa tokea kuumbwa kwake mpaka hii leo.
 
Hebu soma biblia kisa cha ujenzi wa mnara wa babeli Mwanzo 11:5-7

5 Ndipo Mwenyezi-Mungu akashuka chini kuuona mji huo na mnara walioujenga binadamu. 6 Mwenyezi-Mungu akasema, “Tazama, watu hawa ni taifa moja na wote wana lugha moja; huu ni mwanzo tu wa yale watakayoyafanya. Lolote wanalokusudia kulifanya watafanikiwa. 7 Haya, na tushuke chini na kuivuruga lugha yao ili wasielewane wao kwa wao.”

Unaoina plural of Majesty kwenye hiyo verse au unadhani hapo Mungu alitaka kushuka chini na nani?
Abdool Nilishakujibu Yahweh ana trinity , rudi kwa Allah jibu maswali
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Tutajie Dhehebu hata moja la Kikristo wanao hitlafiana kihusu Kifo na Kufufuka kwa Yesu!
Wanao Hitlafiana ni Waislamu!
Sunni and the like wanasema Yesu Hakufa!
Qadian wanasema Yesu Kafa!
Uislamu muongozo wake Ni quran na sunna

Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
 
Koran ni mashahiri , Yasiyo na muendelezo na kuna verse zingine zinakuacha hewani huelewi muandishi alikuwa anazungumza nini
Allah kuna verse zingine anajisahau kwamba Yeye ndo anatakiwa kuwa mungu
Koran 2:29. Yeye ndiye aliye kuumbieni vyote vilivyomo katika ardhi.... Huyu ni Allah anaongea moja kwa moja Alafu Anasema tena Yeye (who is Yeye)
Itakuchukua karne kuielewa quran

Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
 
Itakuchukua karne kuielewa quran

Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
  • Naona mnaongezeka kusaidiana, Yani Allah katengezeza Issa bandia anaefanana na Issa original kamuondoa original kamuweka bandia asulubiwe ili watu wwamini kwamba Issa kasalubiwa akakaaaaaaa miaka kama 2100 ndio allah akarudi akasema niliwadanganyaga yule alikuwa nimewafananishia original nilimleta kwangu, whats a stupid idea is this
Stupidity is amazing
 
Gavana Ni kweli mnatumia maji kama kiongozi wenu huyu
Imesimuliwa Abu Huraira: Nilimfuata Mtume wakati alikuwa anaenda kujisaidia. Alikuwa haangalii kushoto wala kulia. Kwa hivyo, nilipokaribia karibu naye aliniambia, "Nitafutie mawe ili nisafishie sehemu zangu za siri(au alisema kitu kinachofanana), na usilete mfupa au kipande cha dung." Basi nikaleta mawe katika kona ya vazi langu na kuziweka kando yake kisha nikamwacha. Alipomaliza (kutoka kusaidia) aliitumia mawe kujisafisha. (Sahih Bukhari 1: 4: 157)
 
Imesimuliwa Na Nani ? Padri wako??

Tunaelewa nyinyi wengine bila kuwapatia harufu maaskofu wenu mnajiona hamjaokoka
 
Imesimuliwa Na Nani ? Padri wako??

Tunaelewa nyinyi wengine bila kuwapatia harufu maaskofu wenu mnajiona hamjaokoka
Abdool Acha mara moja kupindisha mada ulio anzisha mwenyewe, Jadili ni kwa jinsi gani Muhammad aliweza kutumia mawe kuchamba
 
KJV ni the most nearest to the original Bible.

Ukitaka kuona michezo michezo kwenye kutafsiri biblia,na kuitafsiri kwa kufuata Ajenda za kisiasa hebu angalia Tafsiri ya kitabu cha Mwanzo 16: 12, Unabii kuhusu Ishmael

Angalia biblia Tofauti tofauti zilivyotafsiri hilo andiko: Cheki sehemu nilizobold

Genesis 16:12 Parallel Verses​

Genesis 16:12, NIV: "He will be a wild donkey of a man; his hand will be against everyone and everyone's hand against him, and he will live in hostility toward all his brothers.'"

Genesis 16:12, ESV: "He shall be a wild donkey of a man, his hand against everyone and everyone’s hand against him, and he shall dwell over against all his kinsmen.”"

Genesis 16:12, KJV: "And he will be a wild man; his hand will be against every man, and every man's hand against him; and he shall dwell in the presence of all his brethren."

Genesis 16:12, NASB: "But he will be a wild donkey of a man; His hand will be against everyone, And everyone’s hand will be against him; And he will live in defiance of all his brothers.'"

Genesis 16:12, NLT: "This son of yours will be a wild man, as untamed as a wild donkey! He will raise his fist against everyone, and everyone will be against him. Yes, he will live in open hostility against all his relatives.'"

Genesis 16:12, CSB: "This man will be like a wild donkey. His hand will be against everyone, and everyone's hand will be against him; he will settle near all his relatives.""

Genesis 16:12,[New American Standard Version]
"He will be a wild donkey of a man, His hand will be against everyone, And everyone's hand will be against him; And he will live to the east of all his brothers."

UKISOMA HIZO TAFSIRI: ANDIKO HILOHILO MOJA!

1. King James anatafsiri kuwa Ishamel ataishi miongoni mwa ndugu zake
2. Bible nyingine zinatafsiri kuwa Ishamael atakuwa adui wa ndugu zake (yaani ataishi kwa uadui na ugomvi wa ndugu zake)
3. Bible nyingine zinatafsiri kuwa Ishmael ataishi jirani na ndugu zake
4. Bible nyingine zinatafsiri kuwa Ishamael ataishi Mashariki ya ndugu zake!

Umeona bias na Geopolitics agenda kwenye hizi Tafsiri?

  1. Lengo hapa ni kuwademonise waarabu waonekane wao watakuwa magaidi, wagomvi wagomvi
  2. Lengo la pili ni kulazimisha kuwa Ishmael si mkazi halali wa Palestine/Israel ndo unaona hizo tafsiri za he will live to the east of his brothers, au near his brothers. Hapa unaweza kujiuliza hilo neno Mashariki walilitoa wapi!

Ila King James anatafsiri kuwa "HE WILL LIVE IN THE PRESENCE OF HIS BROTHERS", akimaanisha kuwa Ataishi na Ndugu zake!. Sasa tafsiri hii ya King James ni dhahiri kuna watu hawakuipenda maana inaonyesha kuwa Mwarabu anaweza kuishi katika nchi ya Israel kwa ndugu zake, na myahudi pia akaishi uarabuni kwa ndugu zake

Kuna Agenda za Geopolitics kwenye tafsiri ya bible, na ndiyo maana White supremacists kwa miaka mingi wametumia bible kujustify utumwa na ukoloni
 
Uislamu muongozo wake Ni quran na sunna

Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
Mbona ww mndenge hufuati huu muongozo wa quran??
[emoji116][emoji116]
وَكَذَٰلِكَ أَوْحَيْنَا إِلَيْكَ قُرْآنًا عَرَبِيًّا لِّتُنذِرَ أُمَّ الْقُرَىٰ وَمَنْ حَوْلَهَا وَتُنذِرَ يَوْمَ الْجَمْعِ لَا رَيْبَ فِيهِ ۚ فَرِيقٌ فِي الْجَنَّةِ وَفَرِيقٌ فِي السَّعِيرِ
7.
Na namna hivi tumekufunulia Qur'ani kwa Kiarabu ili uwaonye watu wa Mama wa Mji wa Makka na walio pembezoni mwake. Na uhadharishe na Siku ya Mkutano, haina shaka hiyo. Kundi moja litakuwa Peponi, na kundi jengine Motoni.

وَأَنذِرْ عَشِيرَتَكَ الْأَقْرَبِينَ ( 214 )
Na uwaonye jamaa zako walio karibu nawe.

ARABS are the true Muslims and the true descendants of Prophet Muhammad (pbuh)..

"Non—Arabs who without shame, called themselves Muslims are just plain Converts whom are lowly cowards with unhonourable souls That were overwhelmed with ease by the Swords of Allah, thus they deserved to be called as our Dogs."
oW8jh.jpg
 
View attachment 1804816
Hizo ni propaganda pages za waupingao uislamu na waislamu huku wakiwa na chuki kubwa
 
Back
Top Bottom