Je, Biblia ya ukweli/Halisi ni ipi?

Je, Biblia ya ukweli/Halisi ni ipi?

Mkuu nakwambia hicho kitu hakuna,, Kwanini mpaka sasa huweki ushahidi kama kweli..

Mm nimesoma dini tangia mtoto hadi sasa naendelea kujifunza....

Unasema umeikariri Qur'an alafu hujui Kiarabu,, upo Sawa kweli wewe ?
Waislamu wengi hamjui kiharabu ila mnaimba tu , Mimi nimeikariri cover to cover kwa lugha ya kingereza translation maarufu 5
 
Endelea kujifunza,, ipo siku utasilimu...

Bila shaka huna imani na dini yako,, endelea kujifunza...
-Nimegundua ni Kitabu Cha mzaa Sana na kituko
Yani sehemu ambazo Allah anaongea unakuta Allah hana uhakika anatumia maneno may (huu ni udhaifu wa hali ya juu)
-Nimegundua pia kuwa muislamu huna uhakika wa kwenda mbinguni ni Allah amesha waumba wa mbinguni na motoni toka tumboni mwa mama zao yani wewe unatoa mate hapa lakini Allah unakuta kasha kuumba wewe ni motoni
  • nimesoma pia Allah kwenye mbingu yake ni ngono tu na atatoa uume mrefu usio na mwisho ( do you want to take selfie na dick Yako )
  • nimesoma pia Allah atakupa mwanamke mwenye Tako la urefu wa one miles

Hivyo vyote ni matamanio ya kibinadamu , ambayo katika uzima wa melele Mimi siitaji matamanio ya kibinadamu Mungu wangu kaniahidi nitakuwa kama Malaika sina need za kibinadamu
 
Sasa mwanadamu anazidi vp sifa Allah ?

Allah hana sifa za kibinadamu kama kuzaa, kula, kufanya mapenzi, kunya, kukojoa, etc. ....

Kiufupi,, Allah sio binadamu,, na binadamu hawezi kuwa Mungu
allah mbona mwanaume kama ww!
Msikilize anavyo sema
[emoji116][emoji116]
بَدِيعُ السَّمَاوَاتِ وَالْأَرْضِ ۖ أَنَّىٰ يَكُونُ لَهُ وَلَدٌ وَلَمْ تَكُن لَّهُ صَاحِبَةٌ ۖ وَخَلَقَ كُلَّ شَيْءٍ ۖ وَهُوَ بِكُلِّ شَيْءٍ عَلِيمٌ ( 101 )
Yeye ndiye Muumbaji wa mbingu na ardhi bila ya ruwaza. Itakuwaje awe na mwana naye hakuwa na mke? Naye ndiye aliye umba kila kitu. Naye ni Mwenye kujua kila kitu.

Asiye kuwa na mwanamke nani??
 
Kuna sehem Allah amesema Muhammad SAW alikuwa na dhambi ?
Kwa hiyo wewe ni mjuzi kuliko Allah , amewezaje kusema amesamehe dhambi zijazo alafu hakuna dhambi zijazo , unataka kumfanya Allah ni kichaa hajui yajayo
 
Endelea kujifunza,, ipo siku utasilimu...

Bila shaka huna imani na dini yako,, endelea kujifunza...
Mbingu ya Allah
Kula Nyama ya ndege , kunywa chai ya tangawizi , kuwa na ema ,kuwa na kochi, kunywa pombe n.k

Siitaji needs za binadamu
Mwanamke hana zawadi yoyote ,yani mwanamke kwa Allah atakuwa anazunguka tu bustanini mwanaume anaenda kumchukua akampige ngono
 
Maelezo ni mengi, lakini sijajibiwa swali langu.
Napenda unitajie Biblia ipi ni ya uongo na kwa nini? Nitajie tu na toa sababu zake.
Wapi nimesema kuna Biblia ya uongo?? Nmeuliza Biblia ya ukweli/Halisi ni ipi kati ya hizo zinazokinzana? Maana A na B haziwezi zote kuwa sahihi wakati zinapingana so mmoja pekee ndio mkweli.

Je ni nani?
 
Yesu alizaliwa mwaka, mwezi na tarehe gani ?

Nilimuuliza mwenzako hili swali wiki mbili zilizopita, mpaka leo hajanijibu

Itakuwa vema kama utamsaidia..
Wewe Jana nilikuacha kwakuwa nilikuona unataka ubishi tu.
Na tatizo kubwa hata Qurani yako husomi.
Yaani ni Maamuma.
Na ukifundishwa hutaki.
Yesu si ndio Issa au sio.
Soma Qurani yako itakuambia Issa alizaliwa lini. [emoji848][emoji848][emoji848]
Mi najua tu kwamba Issa alizaliwa Madina chini ya Mti wa Mtende.
Zaidi muulize Muhammadi au Allah watakuambia.
Au kama Allah hasemi chochote kuhusu Nabii wake Issa basi ni mungu feki.
Vipi akae kimya kuhusu tarehe ya kuzaliwa Nabii wake Issa ?
Wakati Qurani 19:19 Allah anamtuma Jibril kumpelekea Binti Miriamu, mtoto wake Issa..!
Jibrili si alitaja tarehe alipomtembelea Miriam au sio.

Qurani unayo, bado unauliza maswali ambayo yamejibiwa na Qurani.
We kwani ni Chizi au [emoji3064][emoji3064][emoji3064]
 
Huo ni wivu sasa..
Haya mambo ukiwa kafiri utayaskia kwenye redio tu..
Kwenye ukristo hakuna maelezo hayo kwasababu ni imani ya kuunga-unga..

Na huu ni moja ya uthibitisho kuwa Uislamu umekamilika kila idara...
Wivu kwamba utapewa uume mrefu usio na mwisho au?, unataka uutumie kujipigia picha ?
Mbingu ya Allah ni ngono tupu hakuna Cha zaidi
Wapi nimesema mm ni mjuzi kuliko Allah ? Mbona mzushi sana wewe

Kwani Allah kumsamehe madhambi yake yajayo ndo inamaanisha kuwa alifanya madhambi ?
Unaweza kuleta ushahidi wa hayo madhambi kama kweli aliyafanya !!

Acha longolongo mkuu

Nasubiri ushahidi alafu tuendelee.
Unapo kuwa Ni mjuzi kuliko Allah , ni hapo unapo muona Allah hajui yajayo, yani amemsamehe Muhammad dhambi zijazo alafu wewe unasema hakuna dhambi zijazo kwa hiyo Allah hajui kwamba Kuna dhambi zinajazo za Muhammad na kasemehe hewa
 
Sehemu gani hapo Allah amesema yeye ni Mwanaume ?

Moja ya maajabu ya Qur'an ni lugha iliyotumika.....

Hapo imesemwa ivo ilimradi tupate kuelewa kwa ufahamu wetu sisi kama binadamu...

Sasa angetaja features zake za kiUngu tungeweza kuelewa ?

Hichi kitu ndo mnashindwa kuelewa !!

Hakuna mtu anayeweza kuikosoa Qur'an.... Labda ww ndo ushindwe kuielewa

Hili swali lako ni la uongo,, kwasababu Allah sio binadamu...
Swali lako litajibiwa kwa case ya binadamu...Yaani binadamu anayeweza kuwa na mke ni MWANAUME

Tatizo lenu hamna akili !!
Allah kasema akitaka mke anachukua Malika au horis
 
Mungu alipofanya Sample yake kwa Wana wa Israeli,
Alitumia Manabii wengi sana na waliandika vitabu vingi sana ambapo vipo katika kumbukumbu za vitabu vya
Torati
Zaburi
Manabii
Wafalme
Nakadhalika nakadhalika.

Watu wa Dini na Imani wakaanza kuvikusanya na kuviweka katika kitabu kimoja wakakiita Biblia.

Waroma wakachukua vitabu 72 nadhani.
Wapentekoste wakachukua vitabu 66
Wamomoni nao wakachukua vitabu wanavyopenda.
Ingawa maandiko yalipishana sehemu kadhaa chache lakini mambo ya msingi yalibaki kama yalivyo.
Kwa mfano
Amri kumi za Mungu ziko vile vile.
Zaburi iko vilevile katika vitabu vyote
Nakadhalika.

Againo la Kale lilikuwa maalum kwa Ajiri ya Watu wa Israeli.
Yaani liliwahusu wao tu.

Ndio maana katika hilo hilo Agano Mungu alisema hivi

" Yeremia 31:31 Angalia, siku zinakuja, asema Bwana, nitakapofanya agano jipya na nyumba ya Israeli, na nyumba ya Yuda.
Yeremia 31:32 Si kwa mfano wa agano lile nililolifanya na baba zao, katika siku ile nilipowashika mkono, ili kuwatoa katika nchi ya Misri; ambalo agano langu hilo walilivunja, ingawa nalikuwa mume kwao, asema Bwana.
Yeremia 31:33 Bali agano hili ndilo nitakalofanya na nyumba ya Israeli, baada ya siku zile, asema Bwana; Nitatia sheria yangu ndani yao, na katika mioyo yao nitaiandika; nami nitakuwa Mungu wao, nao watakuwa watu wangu.
Yeremia 31:34 Wala hawatamfundisha kila mtu jirani yake, na kila mtu ndugu yake, wakisema, Mjue Bwana; kwa maana watanijua wote, tangu mtu aliye mdogo miongoni mwao hata aliye mkubwa miongoni mwao, asema Bwana; maana nitausamehe uovu wao, wala dhambi yao sitaikumbuka tena."

Againo Jipya lenyewe ndo hili ambalo alikabidhiwa Yesu Kristo.


"Luka 22:14 Hata saa ilipofika aliketi chakulani, yeye na wale mitume pamoja naye.
Luka 22:15 Akawaambia, Nimetamani sana kuila pasaka hii pamoja nanyi kabla ya kuteswa kwangu;
Luka 22:16 kwa maana nawaambia ya kwamba siili tena hata itakapotimizwa katika ufalme wa Mungu.
Luka 22:17 Akapokea kikombe, akashukuru, akasema, Twaeni hiki, mgawanye ninyi kwa ninyi;
Luka 22:18 Maana nawaambia ya kwamba tangu sasa sinywi mazao ya mzabibu hata ufalme wa Mungu utakapokuja.
Luka 22:19 Akatwaa mkate, akashukuru, akaumega, akawapa, akisema, [Huu ndio mwili wangu unaotolewa kwa ajili yenu; fanyeni hivi kwa ukumbusho wangu.
Luka 22:20
[emoji117] Kikombe nacho vivyo hivyo baada ya kula; akisema, Kikombe hiki ni agano jipya katika damu yangu, inayomwagika kwa ajili yenu."

Hivyo basi azma ya Mungu kuwaleta Neno lake kwa Binadamu wote lilitimia katika kuileta Injiri kwa watu wote.
Ndio mana Yesu alisema
(Enendeni ulimwenguni pote mkaihubiri Injiri kwa watu wote)

Kuhusu Amri kumi kwamba je zinatuhusu.
Amri kumi zilikuwa na mapungufu mengi sana.

Mfano, jirani tuliambiwa
Tusimwibie
Tusimwue
Tusitamani mali au mke wake
Tusizini naye
Tusimwambie uwongo.

Lakini kuna mambo zaidi ambayo jirani inabidi tusi mtendee.
Mfano vipi maswala ya kumpiga ngumi ya utosi bila kumwua, kumtemea mate je ?

Ndio maana Yesu katika Injiri akaleta Amri kuu mbili

1. Mpende sana Mungu
2. Mpende sana jirani.

Amri hizi mbili ndio Amri Kuu zina zina funika Amri Kumi.

Kuhusu vitabu kama vya Henoko, Barnaba nk.

Ni kwamba Biblia ambayo imekamilishwa na Injiri, huko nyuma vitabu vilikuwa vingi tu watu wakachagua kutokana na mitazamo yao.
Mfano Wapentekoste wamekiondoa kitabu cha Yoshua Bin Sira kwakuwa Sira ameruhusi kunywa pombe kwa kiasi.
Waroma wanakunywa Uransi kidogo ndio maana wamekichukua.

Vilevile vitabu vingine.

Naskia Waislamu wanakikubali kitabu cha
Injiri ya Barnaba.[emoji16][emoji16][emoji16] lakini sijui kwanini hawaja kijumuisha ktk Qurani.

Lengo la sasa hivi ni kuisikia Injiri yaani Agano Jipya na kutenda kama alivyo agiza Yesu Kristo.

Na Wataalamu wa teolojia, wamejitahidi kuichukua Injiri kama ilivyo.
Ziko tofauti ndogo tu kwenye lugha
Mfano neno
(Kuokoka) Waroma wanaandika (Kusalimika)
Lengo likibaki lilelile.
Mambo ya msingi kama
Kubatiza,
Kukiri Yesu Kristo ni Bwana na Mwokozi
Linabaki pale pale.

Sasa kuhusu ukweli wa Biblia ipi inategemea wewe unamsimamo gani

Unahitaji mafundisho ya Yoshua Bin Sira au la.

[emoji847] Nawasilisha kwa kurekebishwa
 
Mm sijui mkuu,, Mm niulize kuhusu kuzaliwa kwa Muhammad SAW ntakujibu

Nawauliza nyie wakristo kwasababu ndo mwalimu, mwokozi, na Mungu wenu..

Ina maana wakristo hamjui mwaka, mwezi na tarehe alozaliwa Yesu ?

Ni uthibitisho kuwa imani yenu ya kuunga unga.
Hata mimi sijui Mkuu.
Kama ambavyo sijui tarehe aliyozaliwa Issa Bin Mariam.
 
Nikikwambia uthibitishe hili,, huwezi

Mpaka sasa hujaleta ushahidi

Ndo maana nikakuuliza swali rahisi,

Kama amemsamehe dhambi zijazo, Je, inamaanisha kwamba alifanya hayo madhambi ?

Tatizo lenu hamna akili
Kuthibitisha KUHUSU kupewa uume ambao umesimama mda wote na mrefu Sana siitaji , wewe na Imani Yako unajua kabisa ndio zawadi Allah atakupa na kukupa wanawake 72 na watoto wakiume watakuudumia ukiwa unapiga shoo

Nimekwambia unapo jifanya mjuzi ni unapojua Allah hajui yajayo , yani kama alikuwa anajua yajayo alisemehe vipi kama alikuwa anajua Muhammad hatafanya dhambi , unataka kusema Allah alikuwa na matumizi mabaya ya msamaha , wewe ungekuwa Saudi wamesha kutenganisha mda mrefu
 
Swali kwako,,

Biblia ni maandiko ya nani ?
Ya Mitume, Manabii, na Walimu wa Dini na imani. Kama Torati aliandika Musa.


Kutoka 17:14 Bwana akamwambia Musa, Andika habari hii katika kitabu iwe ukumbusho, kisha ihubiri masikioni mwa Yoshua; ya kuwa nitaufuta ukumbusho wa Amaleki kabisa, usiwe tena chini ya mbingu.

Kutoka 34:27 Bwana akamwambia Musa, Andika maneno haya; kwa kuwa mimi nimefanya agano nawe, na pamoja na Israeli, kwa mujibu wa maneno haya.

Kutoka 24:12 Bwana akamwambia Musa, Njoo huku juu kwangu mlimani, uwe huku; nami nitakupa mbao za mawe na ile sheria na hiyo amri niliyoiandika ili uwafundishe.
 
Kama huna uthibitisho basi hoja yako ni ya uongo... Logically, hiyo tunaiita Fallacy argument

If you assert a claim without valid proof, then it is considered void...

Umeshindwa kuelezea logically uhusiano baina ya kusamehewa dhambi na yeye kufanya dhambi !!

Unawezaje kusema Muhammad SAW alifanya madhambi wakati hakuna ushahidi huo !!

Kupewa dhamana ya kusamehe madhambi haimaanishi kwamba alifanya hayo madhambi...

Napata mashaka sana na elimu yako na ufahamu wako....

Rudi shule mkuu...
Wewe dini Yako kwa kiwango kikubwa mno huijui, ata maandiki wewe ni mtupu Sana , nikikuweka nitakuhaibisha mno na kwa leo sina mda huo

Nina swali ujibu ndio au hapana
Je Allah anajua yajao?
 
Naijua vzr sana kuliko unavyofkiria..

Tatizo lenu hamuielewi Qur'an,, pia mzusha uongo.. Nikiwaambia mlete uthibitisho, mnakimbia...

Yesu alizaliwa mwaka, mwezi na tarehe gani ?

Nijibu hilo swali kwanza,, alafu na mm ntakujibu..
Umeshajibiwa huko juu,

Je Allah anajua yajayo?
 
Okay,,

Nani aliyeunganisha hivo vitabu ?

Idadi ya hivo vitabu ni vingapi ?
Walimu waliunganisha hivyo vitabu.
Kuhusu uwingi ni sawa viko vingi sana.
Soma andiko langu hapo juu.

Na Injiri ya Barnaba ipo.
 
Kwa nini kwenye bible zenu sometimes unakuta verse fulani zinapatikana katika version fulani lakini verse hizohizo hazimo kwenye version nyingine?

  • Kwa mfano verse hii (John 5:3–4), kwenye King James Version ipo, lakini kwenye New International Version haipo.
  • Mfano wa pili ni verse hii (1 John 5:7–8), Hii imo kwenye King James version lakini haimo kwenye New International version.

Unakuta moja ina vitabu zaidi ya 70, nyingine ina vitabu 66, nyingine ina vitabu zaidi ya 80?, Nyingine aya fulani na fulani wamezifuta.

Je, Biblia itakuwa authentic katika hali hii ?
Je, Biblia itakuwa credible katika hali hii ?
Hilo nilisha waumbua wenzako hiyo mifano Yako ni uongo nenda kasome acha copy paste.

Je Allah anajua yajayo?
 
Back
Top Bottom