Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 16,953
- 62,857
Naam, kwenye NIV verse ya 4 haipo, wamekudirect kwenye footnote "kusherehesha" yaani kukwambia kuwa hiyo ipo katika "manuscripts" au bible nyinginezo.![]()
John 5:3-4 NIV;KJV - Here a great number of disabled people - Bible Gateway
Here a great number of disabled people used to lie—the blind, the lame, the paralyzed.www.biblegateway.com
Sasa kama wewe ni. mtafuta ukweli ni jukumu lako kutafuta na kujua kwa nini NIV hawakuiweka kama verse