Je, Biblia ya ukweli/Halisi ni ipi?

Je, Biblia ya ukweli/Halisi ni ipi?

Kwani wewe ulisoma kitabu chochote kile kabla ya Muhammad? [emoji16]

Hilo linawezekenaje wakati Muhammad kazaliwa karne ya 6 na wewe umezaliwa karne ya 20,na kafa kabla hujazaliwa Inawezekanaje uwe umesoma kitabu kabla yake?

Hiyo aya haikuhusu wewe, inawahusu waliosoma kitabu kabla ya Muhammad!
Kwa hiyo ile kauli ya Allah alipo agiza
[emoji116][emoji116]
Malik aliripoti: Mtume wa Mwenyezi Mungu, Rehema na Amani zimshukie, alisema, "Nimekuachia mambo mawili ambayo hayatakupotosha, maadamu utayashikilia: Kitabu cha Mwenyezi Mungu na Sunnah ya Nabii wake. . ”

Chanzo: al-Muwaṭṭa '1661

Daraja: Sahih (halisi) kulingana na Ibn Abdul Barr

عن مالك أن رسول الله صلى الله عليه وسلم قال تركت فيكم أمرين لن تضلوا ما تمسكتم بهما كتاب الله وسنة نبيه

1661 موطأ مالك كتاب الجامع باب القدر خلق آدم ثم مسح ظهره بيمينه فاستخرج منه ذرية

24/331 المحدث ابن عبدالبر خلاصة حكم المحدث محفوظ معروف مشهور في التمهيد

halafu kungwi yako aliye kufunda somo la kumjua allah hana Sifa wala Malaka ya Kufundisha deen hii ya warabu wa makka![emoji13]
 
Sasa tatizo liko wapi katika andiko hili, mbona liko clear tu
 
RUDI KWENYE MASWALI , iwe continent iwe taifa iwe jamii, iwe kabila wewe leta ata mtume mmoja kutoka africa, ukishindwa Allah atakuwa katuingiza chaka

Nondo zipo pale pale , kumbuka Allah kasema judgment haitapitishwa mpaka wapate mtume
  • Haya ni maelezo yako , Koran inaposema kitu lazima kithibitishwe , Swali lipo pale pale weka ata Mtume mmoja wa Allah alie tumwa Africa, kama umeshindwa Kila nchi Africa
  • Tunaaminije usemi wa Allah kwamba Kila kundi alituma mitume wakati ata historia haineshi hivyo
  • Koran inasema kila community lazima ipate mtume ndio mwisho ufike sasa unaposema ilikuwa zamani huoni unapingana na Allah?
    • Koran 10:47 And for every community there is a messenger. After their messenger has come,1 judgment is passed on them in all fairness, and they are not wronged.
    • Koran 16:36 And We certainly sent into every nation a messenger,...................
  • Leta Jina la mtume alie tumwa na Allah kwa community yoyote africa ata kwa kutumia Historia kama Koran ime fail kutaja

Musa alizaliwa wapi na alitoka wapi?

Ismail mama yake alitoka wapi?
 
Swali hujibu swali kwa masharti mzee,siyo kwa mtindo huu. Sharti la kwanza lazima kuwe kwenye swali hilo ambalo ni jibu kuwe na jibu. Maana yake swali ulilo niuliza mimi siwezi kukujibu kwa swali sababu jibu lake liko wazi.

Sasa najua hilo swali ni gumu kwenu ndiyo maana mnakimbia,na hapa hatulei wajinga . Mpaka mjibu swali hilo.

Ama kuhusu swali ulilo niuliza ni kuwa Allah huapa kwa majina yake,au kwa viumbe wake kama alivyo onyesha katika aya hizo.

Sasa nasubiri majibu ya maswali yangu,kwamba hizo habari anasimulia nani na ushahidi uambatane.

Shukrani.
Nani Anaye Apia Hapa??
[emoji116][emoji116]

وَاللَّيْلِ إِذَا يَغْشَىٰ ( 1 )
Naapa kwa usiku unapo funika!
وَالنَّهَارِ إِذَا تَجَلَّىٰ ( 2 )
Na mchana unapo dhihiri!
وَمَا خَلَقَ الذَّكَرَ وَالْأُنثَىٰ ( 3 )
Na kwa Aliye umba dume na jike Apia kwa

bla bla peleka huko msikitini kwenye watu kama ww ukazawadiwe takbir...

Kwa ukafir wako wa kumpinga allah aliye kupiga ban kuuliza
[emoji116][emoji116]

101. Enyi mlio amini! Msiulize mambo ambayo mkidhihirishiwa yatakuchukizeni. Na mkiyauliza inapo teremshwa Qur'ani mtabainishiwa. Mwenyezi Mungu amesamehe hayo. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye maghfira Mpole. 101 all nahly

Jibu sasa [emoji56][emoji56]
 
Sasa tatizo liko wapi katika andiko hili, mbona liko clear tu
Tatizo ni ww [emoji88]
Au sio ww uliye andika haya??
[emoji116][emoji116]
Kwani wewe ulisoma kitabu chochote kile kabla ya Muhammad? [emoji16]

Hilo linawezekenaje wakati Muhammad kazaliwa karne ya 6 na wewe umezaliwa karne ya 20,na kafa kabla hujazaliwa Inawezekanaje uwe umesoma kitabu kabla yake?

Hiyo aya haikuhusu wewe, inawahusu waliosoma kitabu kabla ya Muhammad

Ulicho andika ni Ujinga [emoji817]
 
Nasubiri majibu ya maswali yangu.
 
Hebu weka vizuri basi hoja zako, yaani pandisha aya huku ukieleza umeielewa vipi kuliko kucopy na kupaste. Aya zinatafsiri zake ambazo wakati mwingine ni contextual zaidi na siyo literal.

Sasa ukipandisha aya juu ya aya bila kuweka ulivyoelewa inakuwa ni copy na kupaste isiyo na tija!
Eleza wewe umezielewaje hizo aya.

Kama unavyoona kwenye sheria wakati mwingine huwa wanatazama nia na sababu ya kutunga sheria fulani kwa wakati fulani basi na Qur'an wakati mwingine inatazama sababu na muktadha wa kushuka aya fulani kutokana na tukio fulani na sisi hutafsiri circumstances zinazojitokeza ndani ya muktadha huo

Sasa ili tukusaidie usichoelewa weka kwanza umezielewaje hizo aya, badala ya kucopy na kupaste aya bila kujenga hoja zako
 
Tatizo ni ww [emoji88]
Au sio ww uliye andika haya??
[emoji116][emoji116]
Kwani wewe ulisoma kitabu chochote kile kabla ya Muhammad? [emoji16]

Hilo linawezekenaje wakati Muhammad kazaliwa karne ya 6 na wewe umezaliwa karne ya 20,na kafa kabla hujazaliwa Inawezekanaje uwe umesoma kitabu kabla yake?

Hiyo aya haikuhusu wewe, inawahusu waliosoma kitabu kabla ya Muhammad

Ulicho andika ni Ujinga [emoji817]
Umeshikwa pabaya , mpaka uwache ukafiri
 
Nani Anaye Apia Hapa??
[emoji116][emoji116]

وَاللَّيْلِ إِذَا يَغْشَىٰ ( 1 )
Naapa kwa usiku unapo funika!
وَالنَّهَارِ إِذَا تَجَلَّىٰ ( 2 )
Na mchana unapo dhihiri!
وَمَا خَلَقَ الذَّكَرَ وَالْأُنثَىٰ ( 3 )
Na kwa Aliye umba dume na jike Apia kwa

bla bla peleka huko msikitini kwenye watu kama ww ukazawadiwe takbir...

Kwa ukafir wako wa kumpinga allah aliye kupiga ban kuuliza
[emoji116][emoji116]

101. Enyi mlio amini! Msiulize mambo ambayo mkidhihirishiwa yatakuchukizeni. Na mkiyauliza inapo teremshwa Qur'ani mtabainishiwa. Mwenyezi Mungu amesamehe hayo. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye maghfira Mpole. 101 all nahly

Jibu sasa [emoji56][emoji56]
Construct ya aya hiyo haina tofauti na Construct ya "shahada" aliyowafundisha Yesu wanafunzi wake

".. Wakujue wewe Mungu wa Kweli na wa pekee na Yesu Kristo uliyemtuma"

Mtu anayependa ligi isiyo na maana anaweza kuuliza kuwa Kama Yesu ndo alikuwa anasema hiyo kauli na si mtu mtu mwingine yeyote kwa nini hakusema "Wakujue wewe Mungu wa kweli na wa pekee na Mimi Yesu Kristo Uliyenituma"?.

Sisi waelewa tunajua kuwa hiyo siyo ishu bali ni ufundi tu wa lugha wa mzungumzaji, anaweza kutumia tamathali mbalimbali za semi kufikisha ujumbe fulani, kwa mfano anaweza kutumia namna isiyo ya direct kujirefer yeye mwenyewe!

Sasa unfortunately naona na wewe unaleta ligi hizohizo kuhusu aya Qur'an uliyoiquote hapo juu.

Tatizo hoja zenu ni dhaifu sana, yaani hazina nguvu hata kidogo.

Hoja zenu zinacollapse kwenye logic hata kwenye semantics na grammar za lugha hasa ya kiarabu ambayo hamuielewi vizuri
 
KAMA HUJUI DEEN YA LIGI HII HAPA
[emoji116][emoji116]
هُوَ الَّذِي أَرْسَلَ رَسُولَهُ بِالْهُدَىٰ وَدِينِ الْحَقِّ لِيُظْهِرَهُ عَلَى الدِّينِ كُلِّهِ وَلَوْ كَرِهَ الْمُشْرِكُونَ ( 33 )
Yeye ndiye aliye mtuma Mtume wake kwa uwongofu na Dini ya Haki ipate kushinda dini zote, ijapo kuwa washirikina watachukia

Tatizo hoja zenu ni dhaifu sana, yaani hazina nguvu hata kidogo.

Hoja zenu zinacollapse kwenye logic hata kwenye semantics na grammar za lugha hasa ya kiarabu ambayo hamuielewi vizuri
ww unae jijua ungekuwa muisilamu??
wakti Allah kampa Quran muhammad awaonye nguguze wa karibu?!
[emoji116][emoji116]

وَكَذَلِكَ أَوْحَيْنَا إِلَيْكَ قُرْآنًا عَرَبِيًّا لِّتُنذِرَ أُمَّ الْقُرَى وَمَنْ حَوْلَهَا وَتُنذِرَ يَوْمَ الْجَمْعِ لَا رَيْبَ فِيهِ فَرِيقٌ فِي الْجَنَّةِ وَفَرِيقٌ فِي السَّعِيرِ ﴿٧﴾
42/Ash-Shura-7: Va kazealika avhaaynea ilayka kur’eanan aaraabiyyan li tunzira ummal kurea va man haavlahea va tunzira yavmal cam’i lea rayba feeh(feehi), fareekun feel cannati va fareekun fees saaeer(saaeeri).

وَأَنذِرْ عَشِيرَتَكَ الْأَقْرَبِينَ ( 214 )
Na uwaonye jamaa zako walio karibu nawe.

sasa ww ni mjuzi![emoji106] nani anaye Apia hapa
[emoji116][emoji116]
وَاللَّيْلِ إِذَا يَغْشَىٰ ( 1 )
Naapa kwa usiku unapo funika!
وَالنَّهَارِ إِذَا تَجَلَّىٰ ( 2 )
Na mchana unapo dhihiri!
وَمَا خَلَقَ الذَّكَرَ وَالْأُنثَىٰ ( 3 )
Na kwa Aliye umba dume na jike Apia kwa
 
Mimi ni Mkristu Mkatoliki na ukweli utabaki pale pale kuwa dini ni njia ya binadamu kufikia muumba wake. Hivyo basi, watu wali 'edit' Biblia kwa jinsi waonavyo wao ni sawa, na kujua ukweli halisi wa kitabu hiki ni ngumu. Kila mtu aamini tu Biblia anayoona ni sawa bila kuona kwamba wengine wanakosea au wajinga.
asante sasa naamini wenye akili sio wote wamekufa ,mungu akubariki na uzao wako
 
Musa alizaliwa wapi na alitoka wapi?

Ismail mama yake alitoka wapi?
Acha kuuliza badala ujibu , Umeongeza swali linginge very sensitive
  • Kwa kuuliza kwako Ismail mama yake ametoka wapi ni wazi unataka kututhibitishia kwamba alikuwa mtume africa, wapi kwenye koran au hadith tunasoma hayo uliyothibitisha
  • Musa alikuwa mtume kwa Jews according to quran,
    • Koran [17.2] Na tukampa Musa Kitabu, na tukakifanya uwongofu kwa Wana wa Israili.
Nimesha pangua uongo (Takiya) wako wote turudi kwenye maswali yangu haya hapa
  • Koran inasema kila community lazima ipate mtume ndio mwisho ufike sasa unaposema ilikuwa zamani huoni unapingana na Allah?
    • Koran 10:47 And for every community there is a messenger. After their messenger has come,1 judgment is passed on them in all fairness, and they are not wronged.
    • Koran 16:36 And We certainly sent into every nation a messenger,...................
  • Leta Jina la mtume alie tumwa na Allah kwa community yoyote africa ata kwa kutumia Historia kama Koran ime fail kutaja
Stupidity is amazing
 
Hebu rudi tena kule uliponiuliza swali uone uliulizaje? . Nimekujibu kama ulivyouliza!

Wewe swali lako lilikuwa lete jina la Mtume Mmoja "KUTOKA" Afrika, Nimekujibu ni Musa, maana Musa kazaliwa Afrika, na kisa chake Maarufu cha kutupwa mto nile akaokotwa na kulelewa kwenye familia ya Farao kinajulikana!, Au Misri siyo Afrika?

Kabla sijaendelea, Unakubali au unakataa kuwa Musa ni Mtume Kutoka Afrika?

Then sasa swali lako la sasa baada ya kuliweka vizuri lisomeke ni "Nani MTUME WA WAAFRIKA" Au vipi?
 
Hebu rudi tena kule uliponiuliza swali uone uliulizaje.

Wewe swali lako lilikuwa lete jina la Mtume Mmoja KUTOKA Afrika, Nimekujibu ni Musa, maana Musa kazaliwa Afrika, na kisa chake Maarufu cha kutupwa mto nile akaokotwa na kulelewa kwenye familia ya Farao kinajulikana!

Kabla sijaendelea, Unakubali au unakataa kuwa Musa ni Mtume Kutoka Afrika?

Ismail mama yake ni Mwafrika, Kwa hiyo Ismail hana Tofauti na Machotara kama vile Obama na Bob Marley maana hao mzazi wao mmoja ni black na Tunawaregard kama weusi wenzetu. Kwa hiyo kwa swali lako la awali la MTUME KUTOKA AFRIKA nimekujibu

Sasa Swali lako la sasa ni MTUME WA WAAFRIKA AU VIPI?
Unatumia kiungo gani kutafakari dogo??
Hivi mkimbizi mmetu aliyeko Tanzania!
Akizaa mtoto akiwa Tz ni Mtanzania??[emoji13]
 
Mwanzoni kauliza swali nitaje Mtume KUTOKA Afrika!
Pigia msitari neno "KUTOKA"

By the way Generation ya Musa ilikuwa na miaka 400 pale Misri, wale ni waafrika kabisa wale.
 
Maingiliano ya kijamii ya muda mrefu yanaweza kubadili utaifa wa vizazi

Kwa hiyo hii aya allah kadanganya?!
[emoji116][emoji116]
{يَا أَيُّهَا النَّاسُ إِنَّا خَلَقْنَاكُمْ مِنْ ذَكَرٍ وَأُنْثَى وَجَعَلْنَاكُمْ شُعُوبًا وَقَبَائِلَ لِتَعَارَفُوا إِنَّ أَكْرَمَكُمْ عِنْدَ اللَّهِ أَتْقَاكُمْ إِنَّ اللَّهَ عَلِيمٌ خَبِيرٌ}
Enyi watu! Hakika Sisi tumekuumbeni kutokana na mwanamume na mwanamke. Na tumekujaalieni kuwa ni mataifa na makabila ili mjuane. Hakika aliye mtukufu zaidi kati yenu kwa Mwenyezi Mungu ni huyo aliye mchamngu zaidi katika nyinyi. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kujua, Mwenye khabari.

Sasa tuwekee ushahidi wa Myahudi aliye badili kuwa mwarabu![emoji56]
 
Hebu rudi tena kule uliponiuliza swali uone uliulizaje? . Nimekujibu kama ulivyouliza!

Wewe swali lako lilikuwa lete jina la Mtume Mmoja "KUTOKA" Afrika, Nimekujibu ni Musa, maana Musa kazaliwa Afrika, na kisa chake Maarufu cha kutupwa mto nile akaokotwa na kulelewa kwenye familia ya Farao kinajulikana!, Au Misri siyo Afrika?

Kabla sijaendelea, Unakubali au unakataa kuwa Musa ni Mtume Kutoka Afrika?

Then sasa swali lako la sasa baada ya kuliweka vizuri lisomeke ni "Nani MTUME WA WAAFRIKA" Au vipi?
Embu jibu maswali acha ubabaishaji , Mussa nimeshapangua hoja yake Allah kasema alimtuma kwa isaraili ,

Back
Top Bottom