Je, Biblia ya ukweli/Halisi ni ipi?

Je, Biblia ya ukweli/Halisi ni ipi?

Na huo ndo uthibitisho kuwa Ukristo ni dini ya uongo kwa kukosekana andiko hilo !!
Ukristo sio Dini.
Mbona unakuwa mgumu kuelewa.
Dini ni Uislamu.
Unasema kitu cha uwongo wakati hakipo.
Ukristo ni kumwamini Masihi Yesu Kristo na kufuata maagizo yake.
 
Hapo unataka kulisha watu matango pori. Jisomee maana zote za secretary...

Naona unamuunga mwenzako kumuita Muhammad mere secretary 🤣 🤣 🤣

mwenzako huyu hapa hana heshima
officialboy said: "Messenger ni karani tu... Mtu yeyote anaweza kuwa messenger kwa kusambaza Uislamu kwenye eneo lake.."

Je Allah anamuitaje Muhammad
Koran 3:144 Muḥammad is no more than a messenger;...........

Stupidity is amazing
 
Naona unamuunga mwenzako kumuita Muhammad mere secretary 🤣 🤣 🤣

mwenzako huyu hapa hana heshima
officialboy said: "Messenger ni karani tu... Mtu yeyote anaweza kuwa messenger kwa kusambaza Uislamu kwenye eneo lake.."

Je Allah anamuitaje Muhammad
Koran 3:144 Muḥammad is no more than a messenger;...........

Stupidity is amazing
Naam ana vyeo vingi sana. Usisahau na hiki...

 
UTANGULIZI
Historia ya Biblia ya kikristo ni ndefu jinsi vitabu vilivyopatikana lakini ntaandika kwa kifupi sana na mengine tutaandaika tunavyozidi kuchangia kwenye uzi huu. Na pia nitoe rai mapema kuwa uzi huu sio wa kidini bali wa kielimu/historia hivyo sitegemei watu kurushiana matusi ya kuhusu dini sijui Mungu yupo au hayupo!! N.k
View attachment 993939
Prologue
Biblia ya kikristo ni mjumuiko wa vitabu mbalimbali vya manabii/Mitume wa Mungu ambao vimejumuishwa pamoja ili kutoa muongozo wa kiimani kwa wakristo kote ulimwenguni. Biblia inatambulika kama iliandikwa na vitabu kujumuishwa kwa uweza wa MUNGU hivyo ni kitabu kitakatifu, lakini kilichonishtua ni kugundua kwamba kati ya wakristo wanatumia Biblia tofauti kabisa yaani Wakatoliki Biblia yao ina vitabu 73, waprotestant vitabu 66, Orthodox Tawahedo (Ethiopia) ina vitabu 81 hili limenifanya nifungue uzi ili tumalize mkanganyiko huu na naomba tusome taratibu na kwakuelewa mada inazungumzia nini kabla ya kuchangia kwa kuongozwa na ushabiki au mihemko.

Historia
Wayahudi (Israel) walikuwa wanaandika maandiko wanayovuviwa na Mungu wao Yahweh tokea miaka 600 kabla ya Yesu na walikuwa na fixed canon ya vitabu 24 (39 ukivigawa) mpaka kipindi cha nabii wa mwisho Malachi 400 BC hivyo inasemekana ndio vitabu pekee vilivyokuwepo. kufikia karne ya 4 kabla ya kristo (KK) wayahudi waliokuwa uhamishoni hasa misri walitafsiri vitabu vya agano la kale vilivyoandikwa kiebrania kwenda kigiriki na kuzaa Biblia iliofahamika kama ''Septuagint''.... Biblia hii ilipata ushawishi sana kuliko ya kiebrania na ieleweke kwamba ni Biblia hii ndio imetumika mpaka na Yesu alipokuwa akinakili maandiko ya agano la kale kiufupi 70% ya quotes kutoka agano la kale kwenye vitabu vya Agano jipya vimetolewa kwenye Greek Septuagint. Kufikia hapa kukawepo na Biblia mbili kuu hivyo twende pamoja.
View attachment 993940
Mgogoro
Ikumbukwe Septuagint ilijumuisha vitabu vya kimafundisho ambavyo Hebrew bible haikuvitambua vitabu hivi vinajumuisha Macabees, Sirach,Wisdom of solomon n.k. Sasa ikafika mahali Septuagint (kigiriki) ikawa inatumika zaidi kuliko maandiko ya kiebrania (wayahudi) hivyo kwa mujibu wa mwanahistoria Heinrich Graetz ikabidi kikundi cha wayahudi kikutane kwa kilichoitwa council of Jamnia kilichofanyika 70 Baada ya kristo ambapo ndio kiliweka msimamo wa vitabu gani vya biblia ya kiebrania ndio vitambulike kwa wayahudi wote yote hii ili kuzuia upepo wa Biblia ya Greek sepruagint na hivyo hapa wakawa na msimamo wa vitabu vichache hasa vya agano la kale 39 tofauti na 46 vya septuagint. Hivyo tokea hapa madhehebu tofauti ya kikristo yakachukua Biblia mojawapo ya pande hizi mfano RC wao waliendelea na Greek Septuagint ambayo ndio ilitumiwa na mitume ila waprotestant wao waliamua kuendelea na Hebrew Bible wakiamini ndio halali na haijachakachuliwa pia madhehebu mengine kma Tawahedo Orthodox na mengineo yalikuwa na misimamo yao juu ya vitabu fulani hivyo utakuta baadhi ya makanisa yana vitabu kati ya hivyo 39 hadi 46 vya agano la kale.

Martin Luther
Karne ya 16 kiongozi wa wanamabadiliko/protestants walioamua kujitenga na ukatoliki Dr. Martin Luther naye aliamua kufanya tafsiri ya Biblia kwenda lugha ya kijerumani. Kiliandikwa 1520-34 na katika kuifanyia majumuisho naye alitaka kupunguza vitabu 7 vya agano jipya vikiwemo Ufunuo,Yuda,Waebrania na Yakobo n.k kwa kile alichokiita kwamba "havikuwa na uvuvio wa Roho mtakatifu" na hata leo hii kwenye Luther bible cha waprotestant hivyo vitabu 4 vimewekwa vya mwisho kabisa katika biblia yao na nakala za mwanzoni viliwekwa kundi moja na vitabh vilivyoitwa ''apocrypha''.

Pia luther alikipinga vikali kitabu cha esther nakutaka kifutwe kutoka kwa Biblia. Alisema hakina uvuvio wa Roho mtakatifu maana hakuna mahala kinamtaja MUNGU!! Martin luther alipinga pia uwepo wa kitabu cha James/Yakobo kwenye Biblia sabau kwanza kiliandikwa karne ya 2 ambapo muandishi wanayedai ni Yakobo kaka yake yesu alishakuwa amekufa toka mwaka 67 BK hivyo aliona kma ni kilifojiwa tu.
View attachment 993938

HITIMISHO
Sasa baada ya kuwa nimepitia baadhi ya hoja za wana JF humu hasa zinazogusa maslahi ya kikristo huwa wana conclude kuwa Biblia haina makosa maana ilivuviwa na Roho mtakatifu sasa nilikuwa nataka wajuzi mnisaidia maswali yafuatayo

1.je kauli hii inapotolewa huwa ina maana ya Biblia ipi ambayo ilivuviwa na Roho?

2. Je Biblia gani ni halali

3. Manabii wanasema usiongeze au kupunguza neno kwenye Vitabu vyao sasa Je kama mmoja ndio yupo sahihi ina maana wengi wamepotoshwa??

4. Na kama wamepotoshwa je nini hatma ya ukristo kama wahuni wachache wanaweza ongeza maneno au kupunguza kwenye Biblia

5. Swali la mwisho naamini MUNGU anaona haya makosa Je ina maana karuhusu neno lake lipotoshwe?? Na kama sio kwanini mpaka sasa kaacha wahuni wachezee NENO lake.

Naomba kuwasilisha

Cc: ningeomba Moderator kina Active na Mhariri msihamishe uzi huu jukwaa la dini ili niweze kupata mawazo ya wana JF wote hta wasio na access na jukwaa la dini, nitashukuru kwa hilo.
"IMANI YAKO NDIYO ITAYOKUPONYA"
 
Muhammad just a mere secretary 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣

Mtanivunja mbavu kwa kicheko
Hii inazidi kuthibitisha kuwa una matatizo ya akili..

Unaweza kunithibitishia kuwa karani maana yake ni secretary ? Ndo mana kila siku nawaambia tabia yenu ni kuzusha mambo ya uongo !!
 
Nani kakwambia karani maana yake ni secretary... Daah jamaa ni mjinga sana unashindwa kung'amua vitu vidogo hvo..

Mpaka sasa umeshindwa kuthibitisha kuwa Paulo sio mtume wa Uongo
Mpaka sasa umeshindwa kutaja mwaka, mwezi na tarehe alozaliwa Yesu
Mpaka sasa umeshindwa kuthibitisha Uungu wa Yesu

Jitafakari sana
Abdool naona unazidi kupotea Nenda kajifunze kwanza Allah anaposema Messenger anamaanisha nini hapo nimekusaidia , ili usiendelee kumdhalilisha Muhammad
Tena nimetumia neno la kuppunguza makali ,wewe umemuita Muhamma ni Mere Clerk
officialboy said: "Messenger ni karani tu... Mtu yeyote anaweza kuwa messenger kwa kusambaza Uislamu kwenye eneo lake.."

Je Allah anamuitaje Muhammad
Koran 3:144 Muḥammad is no more than a messenger;...........

Stupidity is amazing
 
Point of correction... Nimegundua kosa langu,, ninarekebisha kama ifuatavyo ;

Prophet ni mtume... Huyu anapokea revelation kutoka kwa Mola..

Messenger ni MJUMBE .... Mtu yeyote ( Allah humchagua katika eneo) anaweza kuwa messenger kwa kusambaza Uislamu kwenye eneo lake,,

All Prophets are messengers,, but not all messengers are prophets...

kiHesabu tunasema,, the word Prophet is a subset of the word messenger..
Messenger aliyotumia Allah maana yake ni Mtume au Mitume , kwa minajili hiyo turudi kwenye mada yetu ya mwanzo kabisa ambayo ni hii hapa
Maswali yangu bado yapo
  • Allah kasema kila community lazima ipate mtume ndio aweze kuwahukumu jamii husika na ndipo maswali yangu yalipokuja
  • Huko nyuma ulidai pia Ismail mama yake alikuwa mtume alie toka Africa , hili hajathibitisha bado
  • Sulayman Koran inamtaja alikuwa pia mtume kwa Israil
  • Musa alikuwa mtume kwa Jews according to quran, na unaposema asili (kwamba musa alitokea afrika) unapingana na allah alipo sema Musa alikuwa kwa wana wa Israili tu
    • Koran [17.2] Na tukampa Musa Kitabu, na tukakifanya uwongofu kwa Wana wa Israili.
  • Koran inasema kila community lazima ipate mtume ndio mwisho ufike sasa unaposema ilikuwa zamani huoni unapingana na Allah?
    • Koran 10:47 And for every community there is a messenger. After their messenger has come,1 judgment is passed on them in all fairness, and they are not wronged.
    • Koran 16:36 And We certainly sent into every nation a messenger,...................
  • Leta Jina la mtume alie tumwa na Allah kwa community yoyote africa ata kwa kutumia Historia kama Koran ime fail kutaja (Hujaweka ushaidi mpaka sasa)
  • Kama hao uliowataja hapo walikuwa pia mitume weka majina na verses kutoka koran
 
Wapi hapo nimesema mtu yeyote anaweza kuwa Mtume wa Uislamu ?
officialboy said: "Messenger ni karani tu... Mtu yeyote anaweza kuwa messenger kwa kusambaza Uislamu kwenye eneo lake.."
Hapo umesema mtu yoyote anaweza kuwa Messenger (Mtume) kwa kusambaza Uislamu
Allah anasema
  • Koran 3:144 Muḥammad is no more than a messenger;...........
    • Na Muhammad hakuwa ila ni Mtume tu. Wamekwisha pita kabla yake Mitume...........
 
Hahahahh,, umeshindwa kuleta andiko..

Nashkuru kwa kuwa umeelewa
Nimeelewa kweli kweli [emoji106]
kwamba muham mad Hajatumwa na Mwenyezi Mungu [emoji817][emoji106]

Tuwekee ushahi kama huu
[emoji116][emoji116]


إِنِّي أَنَا رَبُّكَ فَاخْلَعْ نَعْلَيْكَ ۖ إِنَّكَ بِالْوَادِ الْمُقَدَّسِ طُوًى ( 12 )
Hakika Mimi ndiye Mola wako Mlezi! Basi vua viatu vyako. Kwani upo katika bonde takatifu la T'uwa.

mungu wako allah alipo mtuma muham mad kama alivyo mtuma musa wa Quran
[emoji101][emoji101]
 
Translation haiwezi kutofautiana mkuu... Qur'an sio kama Biblia..

Pole kwa kuaibika
Aisee unaongea nini , Kati ya kitabu chenye translation tofauti nyingi ni Koran , jipe moyo ntakuhaibisha Sana , kama leo nilivyokuacha ujae nikakulipua
 
Bado hujajibu swali,, Ebu niletee ushahidi wa hayo unayoyasema...

Unasema Yesu Mungu, alafu pia unasema Yesu mwanadamu... Nani alikuwa Mungu kipindi Yesu alikuwa mwanadamu ?

This is a clear contradiction !!
Unapokwama unaleta login ya mungu Allah
-Allah ni physical yani ana umbile linaloshikika
-Ana mikono miwili upande mmoja (kulia) na anavidole vitano
-Ana mguu
-na anakaa kwenye kitu
Unajiuliza Sana maana huelewi
Yahweh ni roho

Tukirudi tena na kaswali kadogo jibril aliwezaje kuwa Malaika na pia yupo ndani ya binadamu

Allah kuwa ni physical creature kwa hiyo hawezi kuwa binadamu , ila kuwa mti unao Waka moto aliweza , na pia Allah anajibadili shape
 
Back
Top Bottom