Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 16,993
- 63,007
Sasa kwani hakuna wana wa israel waafrika?Kwa hiyo unampinga Allah alivyosema hivi
- Koran [17.2] Na tukampa Musa Kitabu, na tukakifanya uwongofu kwa Wana wa Israili.
Hujui Yusufu ana watoto aliozaa na mwanamke wa afrika mmisri?
Hujui kuwa Musa ana watoto aliozaa na mke wake mkushi?
Hujui mfalme Seleman ana watoto wafrika, wako ethiopia hapo na baadhi wameenda kuishi Israel?
Au wewe ukisikia Afrika unadhani wabantu tu?
Nadhani next time inabidi uelewe kuwa Afrika is just a location, ila watu wa asili ya Afrika wanaweza kuishi popote pale duniani. Ndiyo maana kuna Waafrika Waethiopia huko Israel wanaitwa Falasha Jews, Au wewe huwajui?