Je, Biblia ya ukweli/Halisi ni ipi?

Je, Biblia ya ukweli/Halisi ni ipi?

Dini ni nini,, tuanzie hapo kwanza

It seems that you have your own definition...

Ebu nitajie labda naweza kukuelewa
Wewe mwenye Dini ndio ueleze maana ya hiyo Dini.
Mimi sina Dini.
Mimi ni Mwanafunzi wa Yesu Kristo.
Sijaambiwa na Yesu kuhusu Dini.
 
Bado hujajibu swali,, Ebu niletee ushahidi wa hayo unayoyasema...

Unasema Yesu Mungu, alafu pia unasema Yesu mwanadamu... Nani alikuwa Mungu kipindi Yesu alikuwa mwanadamu ?

This is a clear contradiction !!
Ushahidi huu hapa
[emoji116][emoji116]
Yesu ni Mungu Kamili na Ni Mwanadamu Kamili![emoji1377][emoji106]
[emoji116][emoji2533][emoji116][emoji2533]
YN. 1:1-5,14 Hapo mwanzo kulikuwako Neno, naye neno alikuwako kwa Mungu, naye neno alikuwa Mungu. Huyo mwanzo alikuwako kwa Mungu. Vyote vilifanyika kwa huyo; wala pasipo yeye hakikufanyika cho chote kilichofanyika. Ndani yake ndimo ulimokuwa uzima, nao ule uzima ulikuwa nuru ya watu. Nayo nuru yang’aa gizani, wala giza halikuiweza. naye neno alifanyika mwili, akakaa kwetu; nasi tukauona utukufu wake, utukufu kama wa Mwana pekee atokaye kwa Baba; amejaa neema na kweli.

Ona mungu wako anavyo lia lia na kuomba dua mbaya MWENYEZI MUNGU AWAANGAMIZE WAKRISTO NA WAYAHUDI [emoji56] na kampotezea bado HAWAJA ANGAMIA WANADUNDA [emoji123][emoji106][emoji23][emoji23]
[emoji116][emoji116]

وَقَالَتِ الْيَهُودُ عُزَيْرٌ ابْنُ اللَّهِ وَقَالَتِ النَّصَارَى الْمَسِيحُ ابْنُ اللَّهِ ۖ ذَٰلِكَ قَوْلُهُم بِأَفْوَاهِهِمْ ۖ يُضَاهِئُونَ قَوْلَ الَّذِينَ كَفَرُوا مِن قَبْلُ ۚ قَاتَلَهُمُ اللَّهُ ۚ أَنَّىٰ يُؤْفَكُونَ ( 30 )
Na Mayahudi wanasema: Uzeir ni mwana wa Mungu. Na Wakristo wanasema: Masihi ni mwana wa Mungu. Hiyo ndiyo kauli yao kwa vinywa vyao. Wanayaiga maneno ya walio kufuru kabla yao. Mwenyezi Mungu awaangamize! Wanageuzwa namna gani hawa!

Halafu kwa upopoma wako unamsujudoa[emoji13]

Wewe Unalinganisha, UKUU! UWEZO! NA MAAJABU YA MWENYEZI MUNGU NA BABU YAKO?![emoji13]
ni KUFURU NA UJINGA ULIO VUKA MIPAKA AMBAO HATA IBILISI HANA UJASIRI WA KUWAZIA [emoji56]
MWENYEZI MUNGU ATAKALO HUWA NA HANA MSHAURI [emoji106]

Tamka Leo Mwenyezi Mungu Atakalo Hawezi!
 
Point of correction... Nimegundua kosa langu,, ninarekebisha kama ifuatavyo ;

Prophet ni mtume... Huyu anapokea revelation kutoka kwa Mola..

Messenger ni MJUMBE .... Mtu yeyote ( Allah humchagua katika eneo) anaweza kuwa messenger kwa kusambaza Uislamu kwenye eneo lake,,

All Prophets are messengers,, but not all messengers are prophets...

kiHesabu tunasema,, the word Prophet is a subset of the word messenger..
allah anasema Adui Wa jibril ndiye alikuwa anampa revelation muham mad
[emoji116][emoji116]

لَىٰ قَلْبِكَ بِإِذْنِ اللَّهِ مُصَدِّقًا لِّمَا بَيْنَ يَدَيْهِ وَهُدًى وَبُشْرَىٰ لِلْمُؤْمِنِينَ ( 97 )
Sema: Aliye kuwa ni adui wa Jibril, basi huyo ndiye aliye iteremsha Qur'ani moyoni mwako kwa idhini ya Mwenyezi Mungu, inayo thibitisha yaliyo kuwa kabla yake, na ni uwongofu na bishara njema kwa Waumini.
 
Hili lilishajibiwa vizuri rudi kasome, turudi kwenye hoja zangu kwa nini allah anadanganya kwamba kila community na kila taifa lazima lipate mtume wakati hana ushahidi
Hujajibu swali.

Biblia moja unakuta ina vitabu 66, nyingine vitabu 73, nyingine zaidi ya 80.

Pia unakuta bible nyingine pindi wakifanya revision wananyofoa aya nzima nzima kabisa wanaitoa, au wakati mwingine wanazigeuza hizo aya kuwa ni comments tu kwenye footnote

Hebu tueleze katika mazingira kama hayo, Biblia gani kati ya hizo zoote ni sahihi?
 
Umejuaje kuwa ukristo sio dini ikiwa maana ya dini huijui ?
Huoni kwamba unajipa contradiction,, ina maanisha unaongelea kitu ambacho hukuielewi,, that's means unaleta uzushi !!

Ukristo ni dini,, na ni dini ya uongo
We unapata wapi kuthibitisho kuwa Ukristo ni Dini ?
Nipe Aya inayosema
Ukristo ni Dini ?
Yesu Kristo hakuwahi kuzungumzia Dini mahali popote.
Wala hakuhubiri Dini, wala kukuagiza tuwe na Dini.
Wewe unatoa wapi kauli yako ?

Hebu nijibu hapo kwa maandiko sio kusikia kwa watu.
 
UTANGULIZI
Historia ya Biblia ya kikristo ni ndefu jinsi vitabu vilivyopatikana lakini ntaandika kwa kifupi sana na mengine tutaandaika tunavyozidi kuchangia kwenye uzi huu. Na pia nitoe rai mapema kuwa uzi huu sio wa kidini bali wa kielimu/historia hivyo sitegemei watu kurushiana matusi ya kuhusu dini sijui Mungu yupo au hayupo!! N.k
View attachment 993939
Prologue
Biblia ya kikristo ni mjumuiko wa vitabu mbalimbali vya manabii/Mitume wa Mungu ambao vimejumuishwa pamoja ili kutoa muongozo wa kiimani kwa wakristo kote ulimwenguni. Biblia inatambulika kama iliandikwa na vitabu kujumuishwa kwa uweza wa MUNGU hivyo ni kitabu kitakatifu, lakini kilichonishtua ni kugundua kwamba kati ya wakristo wanatumia Biblia tofauti kabisa yaani Wakatoliki Biblia yao ina vitabu 73, waprotestant vitabu 66, Orthodox Tawahedo (Ethiopia) ina vitabu 81 hili limenifanya nifungue uzi ili tumalize mkanganyiko huu na naomba tusome taratibu na kwakuelewa mada inazungumzia nini kabla ya kuchangia kwa kuongozwa na ushabiki au mihemko.

Historia
Wayahudi (Israel) walikuwa wanaandika maandiko wanayovuviwa na Mungu wao Yahweh tokea miaka 600 kabla ya Yesu na walikuwa na fixed canon ya vitabu 24 (39 ukivigawa) mpaka kipindi cha nabii wa mwisho Malachi 400 BC hivyo inasemekana ndio vitabu pekee vilivyokuwepo. kufikia karne ya 4 kabla ya kristo (KK) wayahudi waliokuwa uhamishoni hasa misri walitafsiri vitabu vya agano la kale vilivyoandikwa kiebrania kwenda kigiriki na kuzaa Biblia iliofahamika kama ''Septuagint''.... Biblia hii ilipata ushawishi sana kuliko ya kiebrania na ieleweke kwamba ni Biblia hii ndio imetumika mpaka na Yesu alipokuwa akinakili maandiko ya agano la kale kiufupi 70% ya quotes kutoka agano la kale kwenye vitabu vya Agano jipya vimetolewa kwenye Greek Septuagint. Kufikia hapa kukawepo na Biblia mbili kuu hivyo twende pamoja.
View attachment 993940
Mgogoro
Ikumbukwe Septuagint ilijumuisha vitabu vya kimafundisho ambavyo Hebrew bible haikuvitambua vitabu hivi vinajumuisha Macabees, Sirach,Wisdom of solomon n.k. Sasa ikafika mahali Septuagint (kigiriki) ikawa inatumika zaidi kuliko maandiko ya kiebrania (wayahudi) hivyo kwa mujibu wa mwanahistoria Heinrich Graetz ikabidi kikundi cha wayahudi kikutane kwa kilichoitwa council of Jamnia kilichofanyika 70 Baada ya kristo ambapo ndio kiliweka msimamo wa vitabu gani vya biblia ya kiebrania ndio vitambulike kwa wayahudi wote yote hii ili kuzuia upepo wa Biblia ya Greek sepruagint na hivyo hapa wakawa na msimamo wa vitabu vichache hasa vya agano la kale 39 tofauti na 46 vya septuagint. Hivyo tokea hapa madhehebu tofauti ya kikristo yakachukua Biblia mojawapo ya pande hizi mfano RC wao waliendelea na Greek Septuagint ambayo ndio ilitumiwa na mitume ila waprotestant wao waliamua kuendelea na Hebrew Bible wakiamini ndio halali na haijachakachuliwa pia madhehebu mengine kma Tawahedo Orthodox na mengineo yalikuwa na misimamo yao juu ya vitabu fulani hivyo utakuta baadhi ya makanisa yana vitabu kati ya hivyo 39 hadi 46 vya agano la kale.

Martin Luther
Karne ya 16 kiongozi wa wanamabadiliko/protestants walioamua kujitenga na ukatoliki Dr. Martin Luther naye aliamua kufanya tafsiri ya Biblia kwenda lugha ya kijerumani. Kiliandikwa 1520-34 na katika kuifanyia majumuisho naye alitaka kupunguza vitabu 7 vya agano jipya vikiwemo Ufunuo,Yuda,Waebrania na Yakobo n.k kwa kile alichokiita kwamba "havikuwa na uvuvio wa Roho mtakatifu" na hata leo hii kwenye Luther bible cha waprotestant hivyo vitabu 4 vimewekwa vya mwisho kabisa katika biblia yao na nakala za mwanzoni viliwekwa kundi moja na vitabh vilivyoitwa ''apocrypha''.

Pia luther alikipinga vikali kitabu cha esther nakutaka kifutwe kutoka kwa Biblia. Alisema hakina uvuvio wa Roho mtakatifu maana hakuna mahala kinamtaja MUNGU!! Martin luther alipinga pia uwepo wa kitabu cha James/Yakobo kwenye Biblia sabau kwanza kiliandikwa karne ya 2 ambapo muandishi wanayedai ni Yakobo kaka yake yesu alishakuwa amekufa toka mwaka 67 BK hivyo aliona kma ni kilifojiwa tu.
View attachment 993938

HITIMISHO
Sasa baada ya kuwa nimepitia baadhi ya hoja za wana JF humu hasa zinazogusa maslahi ya kikristo huwa wana conclude kuwa Biblia haina makosa maana ilivuviwa na Roho mtakatifu sasa nilikuwa nataka wajuzi mnisaidia maswali yafuatayo

1.je kauli hii inapotolewa huwa ina maana ya Biblia ipi ambayo ilivuviwa na Roho?

2. Je Biblia gani ni halali

3. Manabii wanasema usiongeze au kupunguza neno kwenye Vitabu vyao sasa Je kama mmoja ndio yupo sahihi ina maana wengi wamepotoshwa??

4. Na kama wamepotoshwa je nini hatma ya ukristo kama wahuni wachache wanaweza ongeza maneno au kupunguza kwenye Biblia

5. Swali la mwisho naamini MUNGU anaona haya makosa Je ina maana karuhusu neno lake lipotoshwe?? Na kama sio kwanini mpaka sasa kaacha wahuni wachezee NENO lake.

Naomba kuwasilisha

Cc: ningeomba Moderator kina Active na Mhariri msihamishe uzi huu jukwaa la dini ili niweze kupata mawazo ya wana JF wote hta wasio na access na jukwaa la dini, nitashukuru kwa hilo.
Kwa ufupi ni kwamba maana ya biblia ni makataba tu kwa kiswahili rahisi. Vitabu hivi vilikuwa vya ngano za kawaida ambazo waandishi wake wengi walikuwa washairi. Si biblia tu hata quran ni kitu kile kile toka mahali pale pale. Vyote ni vitabu vya hadithi vilivyopewa uungu japo si kweli. Hata ukivisoma. Utasikia fulani kamzaa fulani na fulani kamzaa fulani au ukisiliza quran inavyosomwa ni mashairi ya kawaida yaliyopewa uungu usiokuwepo. Hata kinachoitwa amri kuu za mungu ni maigizo kwani tulikuwa nazo na kuzitekeleza kabla ya kuletewa haya mavitabu. Kimsingi, kinachoitwa amri kumi za mungu kinamtofautisha mnyama na watu. Hata mbwa wa kiafrika au paka anapoiba nyama au maziwa anajua ingawa hajasoma wala kuambiwa na 'mungu' wala biblia na quran kuwa usiibe. Akimkuta mwenzake anampanda jike lake watapigana ingawa hajaambiwa usizini.
 
Ww jamaa utaacha lini uzushi na uongo...

Ukioneshe sehemu Allah anasema ni physical creature nakuwa mkristo Sasa hv....

Jibril alikuwa binadamu lini ? Uzushi mtupu..

Hili swali linawapalia ; Yesu aliwezaje kuwa Mungu na Binadamu kwa wakati mmoja ? It's a clear contradiction...

Nani alikuwa Mungu pindi Yesu alikuwa binadamu ?
  • Ndio maana nimekwambia Mungu wako hawezi maana yeye ni Physical being na scholar wote waislamu wanakiri hilo
  • Mungu wa wakristo ni Roho
    • Yohana 4:24 suv: Mungu ni Roho, nao wamwabuduo yeye imewapasa kumwabudu katika roho na kweli.
  • officialboy said "Jibril alikuwa binadamu lini ? Uzushi mtupu.."

  • Also on the authority of `Umar (ra) who said: While we were one day sitting with the Messenger of Allah (ﷺ) there appeared before us a man dressed in extremely white clothes and with very black hair.......................................He said, "That was Jibril. He came to teach you your religion." Hadith 2, 40 Hadith an-Nawawi​
    Anza na Jibril kwanza​

 
Nimekwambia leta ushahidi huna.... Huu ni uzushi tu kama ilivyo kawaida yako

Mpaka sasa mna Miungu 3.... Enhee endelea kuwataja

Bado sijaona sehemu inayosema yeye ni binadamu....
Pili,, naomba uniambie hio ni hadithi ya ngapi kitabu gani.... Kwasababu ushazoea kutudanganya, wakati mm vitabu ninavyo..
Usiponiambia basi hoja yako nitaitupilia kwasababu ni kawaida yako kutudanganya
  • Allah kuwa physical nakuandalia maandiko kwa hiyo kaa kwa kutulia , pia jua kwamba allah hana roho (ni Hollow inside)
  • Mungu ni mmoja acha upumbavu
  • Shida yako kwenye hiyo hadith ni lugha au maana kuna mda unaandika haibu nasikia mimi 🤣 🤣 alafu kuwa makini nimetaja mpaka hadith ila hujaona
    • Also on the authority of `Umar (ra) who said: While we were one day sitting with the Messenger of Allah (ﷺ) there appeared before us a man dressed in extremely white clothes and with very black hair.......................................He said, "That was Jibril. He came to teach you your religion." Hadith 2, 40 Hadith an-Nawawi
      • Ngoja nikusaidie na lugha kidogo , Umar alikuwa amekaa na Muhammad mara akatokea mtu amevaa nguo nyeupe sana na nywele zake ni nyeusi sana ............ Muhammad akamwambia Umar yule ni Jibril baada ya Jibril kuondoka
 
Unajua Kiarabu ?

أُمَّة ۖ ,, unajua maana yake hio ? Tuanzie hapo,, isije kuwa nabishana na mtu hajui Kiarabu !!
Acha mchezo kijana , ingia hapo weka verse soma , ni waislamu ndio mmeweka maandiko yenu
 
Ww jamaa utaacha lini uzushi na uongo...

Ukioneshe sehemu Allah anasema ni physical creature nakuwa mkristo Sasa hv....

Jibril alikuwa binadamu lini ? Uzushi mtupu..

Hili swali linawapalia ; Yesu aliwezaje kuwa Mungu na Binadamu kwa wakati mmoja ? It's a clear contradiction...

Nani alikuwa Mungu pindi Yesu alikuwa binadamu ?
  • Turudi kwenye Allah kuwa Physical being hana roho (hollow inside)
  • Allah anasema siku ya mwisho ataonesha Ugoko wake
    • 68:42. Siku utakapo wekwa wazi mundi,
  • Kila kitu kitatoweka ila uso wa allah utabaki
    • 28:88Everything will be destroyed except His Face.
  • Macho kama macho
    • 52:48...........Kwani wewe hakika uko mbele ya macho yetu.........
  • Pia siku ya mwisho atabadili umbo lake na waislamu mtamkaa na kumwambia sio shape mlio ijua
    • Some people said, "O Allah's Messenger (ﷺ)! Shall we see our Lord on the Day of Resurrection?" He said,..................Allah will come to them in a shape other than they know and will say, 'I am your Lord.' They will say, 'We seek refuge with Allah from you..........Sahih al-Bukhari 6573
  • Mguu wa Allah
    • Narrated Abu Huraira: (that the Prophet said) It will be said to the Hell, 'Are you filled?' It will say, 'Are there any more (to come)?' On that Allah will put His Foot on it, and it will say 'Qati! Qati! (Enough! Enough!). Sahih Bukhari 4849
  • Anza na hizi kwanza
 
Ndo maana nikakwambia kuwa kutokuwepo kwa andiko linalotetea dini ya Ukristo ni uthibitisho kuwa Ukristo ni dini ya uongo...

Kwasababu Yesu hakuhubiri Ukristo,, pia Yesu hakuwahi kwenda Kanisani..

Huu ni uthibitisho dhahiri kuwa Ukristo umetungwa na watu tu.
Unang'ang'ania sana kuwa Ukristo ni Dini.
Hebu muulize huyo aliyekuambia akupe andiko.
Dini ni Uislamu na andiko lipo.

Na kwanini wewe ukisikia Ukristo unashupalia kuwa ni Dini tu. Kwanini usiseme ni mila, au Utamaduni, au Imani.
Kwanini unaegemea kwenye Dini tu, hebu fafanua hapo.
Tatizo lako unataka kulinganisha Ukristo na Uislamu. Hivyo ni vitu viwili tofauti kabisa.
 
Leo hii ukiSearch top religions,, huwezi kuikosa Ukristo...

Dunia nzima inatambua hilo ( by definition )..... Nilikwambia ulete definition yako hukuleta !!

Sasa kwakuwa umekiri kuwa hakuna andiko linaloJustify Ukristo ni dini,, na kwamba Yesu hakuwahi kuingia kanisani... Hii inatuthibitishia kuwa Ukristo ni dini ya Uongo..
Hapa ni kama unasema, Baiskeli ni chakula cha uongo.
Baiskeri sio chakula ni chombo cha usafiri sasa kwanini useme ni chakula cha uongo ?

We Umethibitisha wapi kuwa Ukristo ni Dini ?
Hadi useme ni Dini ya Uongo ?

Qurani inasema,
" tumewapeni Uislamu iwe Dini yenu"

Wapi umesikia Ukristo umekabidhiwa kwa watu iwe Dini yao?

Tatizo lako unasikiliza maneno ya watu na unaamini bila kujiridhisha kwa uthibitisho.

Ukristo sio Dini.
Sasa unaposema ni Dini ya Uongo mi binafsi nakuona huna uwezo wa kuchambua hoja.

Ungekuwa na mawazo kidogo ungeniuliza hivi.

" Ukristo ni nini ? "
 
Ndo maana nikakwambia Ukristo ni dini ya uongo kwa sababu hakuna andiko inayoitetea.... Cheki hapa sasa !!
View attachment 1812326
Nimekuambia ungeniuliza Ukristo nini ?
Wewe unacopy na kupest kwenye Google.
Basi iamini hiyo Google.

Hivi wewe nadharia ya
" Uislamu ni Dini"
Asili yake ni kwenye habari za Google au Qurani ?

Hao waandishi wa kwenye Google ndio Mitume hadi una wanakuu na kuwaamini?

Mi nikianza KUKUPA habari za Dini yako nikinukuu kwenye Google utaziamini ?
 
Nitaanza kukuelewa pale utakaponiambia umetumia definition ipi ya neno DINI mpka unasema Ukristo sio dini !!

Kwanini wakristo wanaabudu makanisani ilhali Yesu hakuwahi kuingia kanisani ?

Wapi YESU alinijinadi kuwa yeye ni Mungu ?

Hii yote inadhihirisha ni dini ya Uongo..
Mi najua habari za Ukristo.
Habari za Dini nadhani wenye Uislamu ndio wanazifahamu kwa undani kwa maana wamekabidhiwa Dini ya Kiislamu.
Mi sijaambiwa popote niwe na Dini.
Au niifuate Dini fulani.
Mambo ya Dini waulize wanaosema wana Dini.
Au endelea kuwauliza Google wakupe chanzo cha hiyo Dini.
 
Mkuu kwenye bible kuna mstari unasema hivi "kila neno lenye pumzi ya Mungu lafaa kwa mafundisho "
Kwa iyo wanaotumia vitabu vingi/ vichache wote wapo sawa.
....
Umeongea point sana, hata kama ni kitabu kimoja tu, as long as ni neno la Mungu kinafaa.

Mtu analalamika idadi, wakati hata kitabu cha Mwanzo hajasoma.
 
Ndo maana nilianza kukwambia hizo ni habari zako ww peke yako...

Dunia nzima inatambua Ukristo ni dini,, in addition ni dini yenye wafuasi wengi kulingana na takwimu..

Kwanini nasema ni dini ya uongo ?
Jibu unalo wewe,, hakuna andiko linaloJustify..

Shukraan..
Kwani hujawauliza ni lini na nani aliyewakabidhi hiyo Dini.
Nakuachia uwaulize wakufafanulie.

Usinishirikishe na mimi, mi sijasema popote kuwa Ukristo ni Dini.
 
wayahudi waliokuwa uhamishoni hasa misri walitafsiri vitabu vya agano la kale vilivyoandikwa kiebrania kwenda kigiriki na kuzaa Biblia iliofahamika kama ''Septuagint''....
Hii ilikuwa ni translation au rewriting?
Kufikia hapa kukawepo na Biblia mbili kuu hivyo twende pamoja.
Translation inazaaje machapisho mawili tofauti, yaani kutofautiana?
kumbukwe Septuagint ilijumuisha vitabu vya kimafundisho ambavyo Hebrew bible haikuvitambua vitabu hivi vinajumuisha Macabees, Sirach,Wisdom of solomon n.k. Sasa ikafika mahali Septuagint (kigiriki) ikawa inatumika zaidi kuliko maandiko ya kiebrania (wayahudi)
Utofauti wa hiyo ya Kiebrania na kigiriki, itakuwa ni rewriting kwa ku-edit na kuongeza hivyo vitabu. Kumbuka wagiriki walikuwa wana-falsafa wazuri hivyo labda ndio maana hiyo ya kigiriki ilikuwa na logic nzuri ingawaje uzuri wa logic sio wakati wote ni ukweli.

Kwa kifupi, haya ni maandiko ya wanadamu, ambayo mpaka leo tunaandika kuhusu Mungu ingawje hayajumuishwi kwenye Biblia. Kama ni maandiko ya Mungu, basi tayari yalishakuwa programmed ndani ya ubongo wa mwanadamu. Lakini kwa sehemu kubwa ni kwa fikra na mitazamo ya wanadamu.
 
1. Neno alikuwepo kwa Mungu
2. Huyo neno pia ni Mungu

Hapa tunaona kwamba kuna Mungu wawili,, hii kitu ni clear contradiction
Mbona ujinga umekuzidi??
Wawili wako wapi hapo??
Hivi ww ukimtukana mtu! Akikushtaki utajitetea mahakamani sio wewe uliye tukana ilaha aliye tukana ni neno?!

Kifupi, Tuwekee ayat Toka Biblia Takatifu Wakristo wana Mungu wawili![emoji101]
 
Back
Top Bottom