Je, Biblia ya ukweli/Halisi ni ipi?

Je, Biblia ya ukweli/Halisi ni ipi?

ww sidhani kama ni MUUMINI!
Ingekuwa ni MUUMINI ungeamini Kauli ya Allah!
[emoji116][emoji116]

)يآ أيها الذين آمنوا آمنوا بالله و رسوله والكتاب الَذي نزل على رسوله والكتاب الذي أنزل من قبل. ومن يكفر با لله و ملا ئكته و كتبه و رسله واليوم الآخر فقد ضل ضلالا بعيدا(.
“Enyi mlio amini! Muaminini Mwenyezi Mungu na Mtume wake na Kitabu kilicho teremshwa kwa mtume wake na Kitabu kilicho teremshwa kabla yake. Na mwenye kumkufuru Mwenyezi Mungu na Malaika wake na Vitabu vyake na Mitume wake, na siku ya mwisho, hakika amepotea upotovu ulio mbali (na haki).“Qur’an tukufu.

Ukae ukielewa kwamba BIBLIA TAKATIFU SIO VIPANDE VYA KARATASI ILAHA NI NENO LA MWENYEZI MUNGU! AMBALO MUNGU YEHOVA AMETUUMBIA SISI WAUMINI NDANI YETU KUPITIA DHAMIRA NJEMA!
Sasa unaniletea Quran umeambiwa kila anayehoji Biblia ni Atheist ama Muislam? Kwa taarifa yako mimi nilipata diploma kabisa ya Theology na Evangelism..... So najua nachoandika hapa.
 
Sasa unaniletea Quran umeambiwa kila anayehoji Biblia ni Atheist ama Muislam? Kwa taarifa yako mimi nilipata diploma kabisa ya Theology na Evangelism..... So najua nachoandika hapa.
Povu ya nini??
Nyumba yako ya vioo! unaanzisha mchezo wa kurushiana mawe [emoji88]
 
Mimi ni Mkristu Mkatoliki na ukweli utabaki pale pale kuwa dini ni njia ya binadamu kufikia muumba wake. Hivyo basi, watu wali 'edit' Biblia kwa jinsi waonavyo wao ni sawa, na kujua ukweli halisi wa kitabu hiki ni ngumu. Kila mtu aamini tu Biblia anayoona ni sawa bila kuona kwamba wengine wanakosea au wajinga.
Safi sana kwa mchango mzuri!!
 
the only one
FB_IMG_16207304584337299.jpg
 
as long as Yesu Kristo you hai - uimara kwa ukrsito upo intact leo na hata milele irregardless waongeze ama kupunguza baadhi ya mistari kwenye holly bible - Roho Mtakatifu atawaongoza wakristo kufikia uzima wa milele.
Hongera, hapo umeshakuwa na imani kama Waislaam. Waislam tunaamini Yesu Kristo hajafa, yu hai. Soma...

Quran tukufu inasema hivi,"Na kwa kauli yao kuwa: ‘Tumemuua Yesu mwana wa Maryamu, Mtume wa Mwenyezi Mungu’. Hakika ni kuwa hawakumuua wala hawakumsulubu, lakini walishabihishiwa kwao. Wale wanaotofautiana katika hilo wako katika shaka wala hawana ilimu ya uhakika kuhusu hilo, wanafuata tu dhana. Hakika ni kuwa hawakumuua".
"Bali Mwenyezi Mungu Alimnyanyua Kwake, na hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye nguvu, Mwenye hikima". [An-Nisaa: 157-158]
 
Hamna kitu hapo!!
 
  • Elimu ya cloning ilianzishwa na Allah, Yani allah Ali m clone Issa watu wakamuona Issa Kasulubiwa , alafu allah akasubiria mpaka kipindi cha Muhammad kuwaambia watu kwamba aliwadanganya na Issa bandia, who is the donkey here
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Tutajie Dhehebu hata moja la Kikristo wanao hitlafiana kihusu Kifo na Kufufuka kwa Yesu!
Wanao Hitlafiana ni Waislamu!
Sunni and the like wanasema Yesu Hakufa!
Qadian wanasema Yesu Kafa!
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huwa siwaelewi watu Kabsa yaani kwenye mjadala wa biblia Bado Quran inaingia!! Na kwenye mjadala wa Quran Bado biblia itaingia tu [emoji16][emoji16][emoji16] Duuh
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Tutajie Dhehebu hata moja la Kikristo wanao hitlafiana kihusu Kifo na Kufufuka kwa Yesu!
Wanao Hitlafiana ni Waislamu!
Sunni and the like wanasema Yesu Hakufa!
Qadian wanasema Yesu Kafa!
Mimi sina dhehebu. Mimi ni Muislam.

Wewe Mkristo au pagani?

Yesu hakusulubiwa, Mwenyezi Mungu alimwokoa.​

Biblia inasema hivi,

"Yesu alipokuwa akiishi duniani, alitoa dua na maombi kwa kilio kikuu na machozi kwa Mungu ambaye angeweza kumwokoa na kumtoa katika kifo, naye Mungu alimsikia kwa sababu alikuwa mnyenyekevu na mtiifu" (Waebrania 5:7)
 
  • Elimu ya cloning ilianzishwa na Allah, Yani allah Ali m clone Issa watu wakamuona Issa Kasulubiwa , alafu allah akasubiria mpaka kipindi cha Muhammad kuwaambia watu kwamba aliwadanganya na Issa bandia, who is the donkey here
Bible inatuambia kila aliyetundikwa msalabani amelaaniwa na mungu.
Katika kumbukumbu la Torati 21:23, Mungu anamwambia Musa kwamba mtu " aliyetundikwa katika mti amelaaniwa na Mungu".
 
Biblia ipo ipo tu, hakuna ya ukweli. Imejazwa mikono ya watu...

50,000 errors in Bible
The Jehovah's Witnesses in their "AWAKE!" Magazine dated 8 September, 1957, carried this startling headline — "50000 ERRORS IN THE BIBLE?" (See below for the reproduction).

jamaat.net

What the christians have to say in this, is still remaining or they are removed? if removed? how many remaining now?

Then how come it becomes word of God?
 
Mimi sina dhehebu. Mimi ni Muislam.

Wewe Mkristo au pagani?

Yesu hakusulubiwa, Mwenyezi Mungu alimwokoa.​

Biblia inasema hivi,

"Yesu alipokuwa akiishi duniani, alitoa dua na maombi kwa kilio kikuu na machozi kwa Mungu ambaye angeweza kumwokoa na kumtoa katika kifo, naye Mungu alimsikia kwa sababu alikuwa mnyenyekevu na mtiifu" (Waebrania 5:7)
SUNNI, AU

SHIA

AMADIA AU MAKADIANI

KUWA MKWELI WEWE NI DHEHEBU GANI
 
Mimi sina dhehebu. Mimi ni Muislam.

Wewe Mkristo au pagani?

Yesu hakusulubiwa, Mwenyezi Mungu alimwokoa.​

Biblia inasema hivi,

"Yesu alipokuwa akiishi duniani, alitoa dua na maombi kwa kilio kikuu na machozi kwa Mungu ambaye angeweza kumwokoa na kumtoa katika kifo, naye Mungu alimsikia kwa sababu alikuwa mnyenyekevu na mtiifu" (Waebrania 5:7)
1622211533831.png
 
Biblia ipo ipo tu, hakuna ya ukweli. Imejazwa mikono ya watu...

50,000 errors in Bible
The Jehovah's Witnesses in their "AWAKE!" Magazine dated 8 September, 1957, carried this startling headline — "50000 ERRORS IN THE BIBLE?" (See below for the reproduction).

jamaat.net

What the christians have to say in this, is still remaining or they are removed? if removed? how many remaining now?

Then how come it becomes word of God?
QURAN YA MUHAMMAD HAIPO MAANA UMAR BIN KHATTAB, ABU BAKR NA ZAID BIN THABIT WALIKUSANYA BAADHI TU YA AYA NA SURA ZA QURAN ZINGINE ZILIKUWA ZIMESHAPOTEA NA KULIWA NA WANYAMA WAO WAKUFUGWA

WAKATI WA UHAI WA ABU BAKR TOKA MWAKA 573 HADI 23 /8/ 634 ALIPOFARIKI MUHAMMAD MWAKA 632 MASWAHABA WENGI WALIKUFA VITANI WALIOKUWA WAMEHIFADHI QURAN KWENYE VIFUA VYAO NDIPO ABU BAKR WAKIWA NA UMAR BIN KHATTAB WAKAAMLISHA QURAN AIKUSANYE ZAID BIN THABIT NA KUIANDIKA KWENYE MSAAFU UPYA KWA SABABU QURAN ILIKUWA IMEPOTEA KWA WATU WALIOULIWA VITANI

Zaid bin Thabit (ra) amesimulia kuwa :
"Abu Bakr alinitumia mtu kuja kuniita wakati watu wa Yamama walipouliwa (masahaba walipopigana na Musailama). (Nilikwenda) na nilimkuta 'Umar bin Khattab amekaa pamoja naye, Abu Bakr akaniambia: "'Umar amenijia na akaniambia kuwa siku ya Yamama, mauaji mengi yametokea kwa mahafidhi wa Qur-an na nahofia kuwa huenda mauaji yakatokea tena kwa mahafidhi katika vita vingine jambo ambalo linaweza kupelekea sehemu kubwa ya Qur-an kupotea. Hivyo nakushauri (wewe Abu Bakr) kuwa uamrishe kuwa Qur-an ikusanywe." Nikamwambia 'Umar: "Vipi nitafanya jambo ambalo Mtume wa Allah hajalifanya?" 'Umar akaniambia kuwa: "Wallahi; kufanya hivyo ni jambo zuri", na hakuacha kunitaka kufanya hivyo mpaka Allah akaondosha uzito kifuani mwangu na nikaanza kuona uzuri wa mawazo aliyoyaona Umar. Kisha Abu Bakr akaniambia (mimi Zaid): "Wewe ni mtu mwenye akili na hatuna wasi wasi nawe, na wewe ulikuwa ukimuandikia wahyi Mtume (s.a.w).Hivyo vitafute vipande vya Qur-an na uvikusanye'. Wallah! (anasema Zaidi kuwa) lau kama wangeniamrisha kuondoa mmojawapo wa milima, basi lisingelikuwa jambo gumu (zito) kuliko kuikusanya Qur-an. Kisha nikamuuliza Abu Bakr: "Vipi utafanya kitu ambacho Mtume wa Allah hakukifanya?" Abu Bakr alijibu: "Wallahi; kufanya hivyo ni jambo zuri", na akaendelea kunitaka nifanye hivyo mpaka Allah akanipa wepesi kifuani mwangu kama alivyofanya kwa Abu Bakr na 'Umar. Hivyo nikaanza kuitafuta Qur-an (iliyokuwa imetapanyika vipande vipande) katika makozi ya mitende, mawe na mahafidhi na kuikusanya mpaka nikaipata aya ya mwisho ya Suratul-Tawbah kwa Abi Khuza'ymal Ansari; na sikuikuta aya hii kwa yoyote isipokuwa yeye 'Amekujieni Mtume aliye jinsi moja na nyinyi, yanamuhuzunisha yanayokutaabisheni…" mpaka mwisho wa aya (9:128-129).Kisha nakala ya Msahafu ikabakia kwa Abu Bakr mpaka alipofariki, kisha ikabaki kwa 'Umar mpaka mwisho wa maisha yake na hapo tena kwa binti yake Hafsa.
وَعَنْ زَيْدِ بْنِ ثَابِتٍ قَالَ: أَرْسَلَ إِلَيَّ أَبُو بَكْرٍ رَضِيَ اللَّهُ عَنْهُ مَقْتَلَ أَهْلِ الْيَمَامَةِ. فَإِذَا عُمَرُ بْنُ الْخَطَّابِ عِنْدَهُ. قَالَ أَبُو بَكْرٍ إِنَّ عُمَرَ أَتَانِي فَقَالَ إِنَّ الْقَتْلَ قَدِ اسْتَحَرَّ يَوْمَ الْيَمَامَةِ بِقُرَّاءِ الْقُرْآنِ وَإِنِّي أَخْشَى أَنِ اسْتَحَرَّ الْقَتْلُ بِالْقُرَّاءِ بِالْمَوَاطِنِ فَيَذْهَبُ كَثِيرٌ مِنَ الْقُرْآنِ وَإِنِّي أَرَى أَنْ تَأْمُرَ بِجَمْعِ الْقُرْآنِ قُلْتُ لِعُمَرَ كَيْفَ تَفْعَلُ شَيْئًا لَمْ يَفْعَلْهُ رَسُولُ اللَّهِ صَلَّى اللَّهُ عَلَيْهِ وَسَلَّمَ؟ فَقَالَ عُمَرُ هَذَا وَاللَّهِ خَيْرٌ فَلم يزل عمر يراجعني فِيهِ حَتَّى شرح الله صَدْرِي لذَلِك وَرَأَيْت الَّذِي رَأَى عُمَرُ قَالَ زَيْدٌ قَالَ أَبُو بَكْرٍ إِنَّكَ رَجُلٌ شَابٌّ عَاقِلٌ لَا نَتَّهِمُكَ وَقَدْ كُنْتَ تَكْتُبُ الْوَحْيَ لِرَسُولِ اللَّهِ صَلَّى اللَّهُ عَلَيْهِ وَسَلَّمَ فَتَتَبَّعِ الْقُرْآنَ فَاجْمَعْهُ فَوَاللَّهِ لَوْ كَلَّفُونِي نَقْلَ جَبَلٍ مِنَ الْجِبَالِ مَا كَانَ أَثْقَلَ عَلَيَّ مِمَّا أَمَرَنِي بِهِ مِنْ جمع الْقُرْآن قَالَ: قلت كَيفَ تَفْعَلُونَ شَيْئا لم يَفْعَله النَّبِيُّ صَلَّى اللَّهُ عَلَيْهِ وَسَلَّمَ. قَالَ هُوَ وَاللَّهِ خير فَلم أزل أراجعه حَتَّى شرح الله صَدْرِي للَّذي شرح الله لَهُ صدر أبي بكر وَعمر. فَقُمْت فَتَتَبَّعْتُ الْقُرْآنَ أَجْمَعُهُ مِنَ الْعُسُبِ وَاللِّخَافِ وَصُدُورِ الرِّجَال حَتَّى وجدت من سُورَة التَّوْبَة آيَتَيْنِ مَعَ أَبِي ...
صَحِيح (الألباني) حكم :
Mishkat al-Masabih 2220 Kitabu cha 8, Hadithi 110

1622212023822.png
 
Mimi sina dhehebu. Mimi ni Muislam.

Wewe Mkristo au pagani?

Yesu hakusulubiwa, Mwenyezi Mungu alimwokoa.​

Biblia inasema hivi,

"Yesu alipokuwa akiishi duniani, alitoa dua na maombi kwa kilio kikuu na machozi kwa Mungu ambaye angeweza kumwokoa na kumtoa katika kifo, naye Mungu alimsikia kwa sababu alikuwa mnyenyekevu na mtiifu" (Waebrania 5:7)

Gal 3:13-14 SUV​

Kristo alitukomboa katika laana ya torati, kwa kuwa alifanywa laana kwa ajili yetu; maana imeandikwa, Amelaaniwa kila mtu aangikwaye juu ya mti; ili kwamba baraka ya Ibrahimu iwafikilie Mataifa katika Yesu Kristo, tupate kupokea ahadi ya Roho kwa njia ya imani.

ISAYA 53​

1 Nani aliyeamini mambo tuliyosikia?
Nani aliyetambua kuwa mkono wa Mwenyezi-Mungu ulihusika?
2Maana, mbele yake Mwenyezi-Mungu,
mtumishi wake alikua kama mti mchanga,
kama mzizi katika nchi kavu.
Hakuwa na umbo wala sura ya kutupendeza,
wala hakuwa na uzuri wowote wa kutuvutia.
3Alidharauliwa na kukataliwa na watu,
alikuwa mtu wa uchungu na huzuni.
Alikuwa kama mtu kinyaa kwa watu;
alidharauliwa na tukamwona si kitu.
4 Hata hivyo alivumilia majonzi yetu,
na kubeba huzuni zetu.
Sisi tulifikiri amepata adhabu,
amepigwa na Mungu na kuteswa.
5 Lakini alijeruhiwa kwa sababu ya dhambi zetu,
aliumizwa kwa sababu ya maovu yetu.
Kwa kuadhibiwa kwake sisi tumepata uhai;
kwa kupigwa kwake sisi tumepona.
6 Sisi sote tumepotea kama kondoo,
kila mmoja wetu ameelekea njia yake.
Lakini Mwenyezi-Mungu alimtwika adhabu,
ambayo sisi wenyewe tuliistahili.
7 Alidhulumiwa na kuteswa,
lakini alivumilia kwa unyenyekevu,
bila kutoa sauti hata kidogo.
Alikuwa kama mwanakondoo apelekwaye machinjoni,
kama kondoo akaavyo kimya anapokatwa manyoya.
Hakutoa sauti hata kidogo.
8Alidhulumiwa, akahukumiwa na kupelekwa kuuawa;
na hakuna mtu aliyejali yanayompata.
Alifukuzwa kutoka nchi ya walio hai,
kwa sababu ya makosa ya watu wangu.
9 Walimzika pamoja na wahalifu;
katika kifo aliwekwa pamoja na matajiri,
ingawa hakutenda ukatili wowote,
wala hakusema neno lolote la udanganyifu.
10Mwenyezi-Mungu alipenda kumwumiza
na kumweka katika huzuni.
Alijitoa mhanga kwa ajili ya kuondoa dhambi.
Mtumishi wa Mungu atakuwa na wazawa;
ataishi maisha marefu.
Yeye ndiye atakayetimiza mpango wa Mwenyezi-Mungu.
 
Mimi sina dhehebu. Mimi ni Muislam.

Wewe Mkristo au pagani?

Yesu hakusulubiwa, Mwenyezi Mungu alimwokoa.​

Biblia inasema hivi,

"Yesu alipokuwa akiishi duniani, alitoa dua na maombi kwa kilio kikuu na machozi kwa Mungu ambaye angeweza kumwokoa na kumtoa katika kifo, naye Mungu alimsikia kwa sababu alikuwa mnyenyekevu na mtiifu" (Waebrania 5:7)
QURAN YA MWAKA 1933 YA MUBARAK AHMAD NA MAULAWI SHER ALI YA MWAKA 1945 ISA ALIKUFA MSALABANI
UKIJA HAPA INASEMA QURAN YA MAULAWI SHER ALI IMESEMA ISA ALIKUFA MSALABANI NA ALIPINGILIWA MSALABANI HAKIKA UKRASA 184-185
😁
😁
YA MWAKA 1945
✔
Quran 4:158-159
✔
158 . Na kusema kwao: Hakika tumemwua Masihi Isa mwana wa Mariamu, Mtume wa Mungu; hali hawakumwua wala hawakumfisha msalabani, bali alifananishwa kwao (kama maiti). Na kwa hakika wale waliohitilafiana kwalo, yakini wana shaka nalo, wao hawalijui hakika yake isipokuwa wanafuata dhana. Na kwa yakini wao hawakumwua-
✔
159. Bali Mwenyezi Mungu Alimnyanyua Kwake, na Mwenyezi Mungu ni Mwenye nguvu, Mwenye hekima.
Ufafanuzi wa Aya hizo
✔
Aya 158 Kwa kuzingatia kanuni za sarufi, kijina kinachoashiriwa katika neno shubbiha chaweza kurejea si kwa mwingine isipokuwa Isa bin maryamu mwenyewe. Hii ina maana kwamba ni yeye aliyekuwa amefichika na kufanywa aonekane kwao katika hali nyingine. Hivyo basi Nabii Isa bin Maryamu alipotundikwa msalabani alining'inia akifanana na mtu aliyekufa akiwa amepigiliwa msalabani hasa
👈

SWALI NANI ALIMUONDOA ISA BIN MARYAM AKIWA MAITI JUU MSALABANI
TOA USHAHIDI WAPI ISA BIN MARYAM HAKUPIGILIWA JUU YA MSALABA NDANI YA QUR-AN YENU

1622269547335.png
 
Mimi sina dhehebu. Mimi ni Muislam.

Wewe Mkristo au pagani?

Yesu hakusulubiwa, Mwenyezi Mungu alimwokoa.​

Biblia inasema hivi,

"Yesu alipokuwa akiishi duniani, alitoa dua na maombi kwa kilio kikuu na machozi kwa Mungu ambaye angeweza kumwokoa na kumtoa katika kifo, naye Mungu alimsikia kwa sababu alikuwa mnyenyekevu na mtiifu" (Waebrania 5:7)
Basi kama ww ni muisilamu na Sio Muumini jibu lako umepatia [emoji106]

Ila Ungekuwa Muumini ungeaAmini Kauli hii ya Haki ya Allah
[emoji116][emoji116]

)يآ أيها الذين آمنوا آمنوا بالله و رسوله والكتاب الَذي نزل على رسوله والكتاب الذي أنزل من قبل. ومن يكفر با لله و ملا ئكته و كتبه و رسله واليوم الآخر فقد ضل ضلالا بعيدا(.
“Enyi mlio amini! Muaminini Mwenyezi Mungu na Mtume wake na Kitabu kilicho teremshwa kwa mtume wake na Kitabu kilicho teremshwa kabla yake. Na mwenye kumkufuru Mwenyezi Mungu na Malaika wake na Vitabu vyake na Mitume wake, na siku ya mwisho, hakika amepotea upotovu ulio mbali (na haki).“Qur’an tukufu
 
Back
Top Bottom