Je, Biblia ya ukweli/Halisi ni ipi?

Je, Biblia ya ukweli/Halisi ni ipi?

Embu jifunze kujenga hoja zako , nimesha kwambia copy paste zako sizisomi

Hoja gani ya kuwasha mwenge mchana jua kali ili umurike?? wewe kama kanisa lako limezowea kudanganya endelea , mimi nakuwekea nondo , kazi kwako kusuka au kunyoa
 
  • Kwa wakristo ni simple kuelezea maana tunaamini utatu , trinity
Turudi kwenye swali letu Allah anaposema Koran 21:30....................................................., that We made every living thing from water?
alikuwa anajumuisha kina nani kwenye kuumba
Siyo wakiristo wote wanaamini katika utatu, Unitarians hawaamini katika utatu

Na wayahudi wenye kitabu chao cha Agano la Kale hawajawahi kuamini kwenye huo utatu tangu wapokee Torah mpaka leo

Kwa hiyo hii tafsiri ni yako potofu!
 
Hiyo aya mbona iko clear, unataka nini?

Una wasiwasi kuwa mtu hajaumbwa kwa udongo au?

Hiyo aya haisemi we made everything from water ONLY

Inasema we made every living thing from Water, Sasa kama kuna kitu kingine viumbe wameumbiwa nacho hiyo haimaanishi kuwa hawana percentage fulani ya maji ndani yake hata kama ni asilimia 0.0000000000000000000000000000000000000000000000000000000001

Na maji yanaweza kuwa kwenye gaseous(vapour) au liquid state(kimiminika) au State nyingine yoyote anayoijua Mungu ila sisi wanadamu hatuijui.

Je una ushahidi wowote wa maanidiko kuwa Kiumbe fulani kimuembwa kwa kitu fulani "ONLY"?
 
Hoja gani ya kuwasha mwenge mchana jua kali ili umurike?? wewe kama kanisa lako limezowea kudanganya endelea , mimi nakuwekea nondo , kazi kwako kusuka au kunyoa
Kisilamu silamu hiyo ni nondo umepatia [emoji817]
Tena ukiipeleka msikitini kwenye watu kama ww walahi utazawadiwa takbir [emoji23][emoji23]

Hivi kwa nini unaamini Mafunuo ambayo muhammad alikuwa anapewa na adui [emoji83] wa Malaika Gabriel??
[emoji116][emoji116]

لَىٰ قَلْبِكَ بِإِذْنِ اللَّهِ مُصَدِّقًا لِّمَا بَيْنَ يَدَيْهِ وَهُدًى وَبُشْرَىٰ لِلْمُؤْمِنِينَ ( 97 )
Sema: Aliye kuwa ni adui wa Jibril, basi huyo ndiye aliye iteremsha Qur'ani moyoni mwako kwa idhini ya Mwenyezi Mungu, inayo thibitisha yaliyo kuwa kabla yake, na ni uwongofu na bishara njema kwa Waumini.

Unavimba mishipa ya shingo kutetea ghilba ya [emoji83]

Msiba huu [emoji24][emoji24]
 
Siyo wakiristo wote wanaamini katika utatu, Unitarians hawaamini katika utatu

Na wayahudi wenye kitabu chao cha Agano la Kale hawajawahi kuamini kwenye huo utatu tangu wapokee Torah mpaka leo

Kwa hiyo hii tafsiri ni yako potofu!
Asie Amini ktk U.3 Sio Mkristo!
 
Mwenyezi Mungu ana uhuru wa kuzungumza katika person yoyote anayotaka maana yeye ndiye mmiliki wa Lugha.
Anaweza kutumia grammar yoyote anayotaka first person singular (I) ,Third person singular(He) , anaweza kutumia Majestic Plural (We)
Yeye yuko huru kwa sababu Lugha ni yake
Ulicho Andika ni Ushahidi kwamba allah sio MWENYEZI MUNGU![emoji106]
sababu allah anaelewa kiarabu tu!
Piga azana kwa kiluga chako! Mfano mulungu mbala, mulungu mbala mbalaaa...
Ataelewa??

Hadi allah anamuomba MWENYEZI MUNGU AWAANGAMIZE Wakriato na Wayahudi
[emoji116][emoji116]
وَقَالَتِ الْيَهُودُ عُزَيْرٌ ابْنُ اللَّهِ وَقَالَتِ النَّصَارَى الْمَسِيحُ ابْنُ اللَّهِ ۖ ذَٰلِكَ قَوْلُهُم بِأَفْوَاهِهِمْ ۖ يُضَاهِئُونَ قَوْلَ الَّذِينَ كَفَرُوا مِن قَبْلُ ۚ قَاتَلَهُمُ اللَّهُ ۚ أَنَّىٰ يُؤْفَكُونَ ( 30 )
Na Mayahudi wanasema: Uzeir ni mwana wa Mungu. Na Wakristo wanasema: Masihi ni mwana wa Mungu. Hiyo ndiyo kauli yao kwa vinywa vyao. Wanayaiga maneno ya walio kufuru kabla yao. Mwenyezi Mungu awaangamize! Wanageuzwa namna gani hawa!
 
Kisilamu silamu hiyo ni nondo umepatia [emoji817]
Tena ukiipeleka msikitini kwenye watu kama ww walahi utazawadiwa takbir [emoji23][emoji23]

Hivi kwa nini unaamini Mafunuo ambayo muhammad alikuwa anapewa na adui [emoji83] wa Malaika Gabriel??
[emoji116][emoji116]

لَىٰ قَلْبِكَ بِإِذْنِ اللَّهِ مُصَدِّقًا لِّمَا بَيْنَ يَدَيْهِ وَهُدًى وَبُشْرَىٰ لِلْمُؤْمِنِينَ ( 97 )
Sema: Aliye kuwa ni adui wa Jibril, basi huyo ndiye aliye iteremsha Qur'ani moyoni mwako kwa idhini ya Mwenyezi Mungu, inayo thibitisha yaliyo kuwa kabla yake, na ni uwongofu na bishara njema kwa Waumini.

Unavimba mishipa ya shingo kutetea ghilba ya [emoji83]

Msiba huu [emoji24][emoji24]

Mafunuo unaamini wewe . Kumetajwa mafunuo hapo? Hii ndio hatari ya kuzoea kufunuana.
 
Siyo wakiristo wote wanaamini katika utatu, Unitarians hawaamini katika utatu

Na wayahudi wenye kitabu chao cha Agano la Kale hawajawahi kuamini kwenye huo utatu tangu wapokee Torah mpaka leo

Kwa hiyo hii tafsiri ni yako potofu!
Ambae ahamini Utatu sio mkristo Weka hilo akilini, na usirudie tena
 
Hiyo aya mbona iko clear, unataka nini?

Una wasiwasi kuwa mtu hajaumbwa kwa udongo au?

Hiyo aya haisemi we made everything from water ONLY

Inasema we made every living thing from Water, Sasa kama kuna kitu kingine viumbe wameumbiwa nacho hiyo haimaanishi kuwa hawana percentage fulani ya maji ndani yake hata kama ni asilimia 0.0000000000000000000000000000000000000000000000000000000001

Na maji yanaweza kuwa kwenye gaseous(vapour) au liquid state(kimiminika) au State nyingine yoyote anayoijua Mungu ila sisi wanadamu hatuijui.

Je una ushahidi wowote wa maanidiko kuwa Kiumbe fulani kimuembwa kwa kitu fulani "ONLY"?
Kwa nini unakwepa swali la msingi anaposema "We" wakati akiwa anaumba , hiyo "WE" maana yake nini

Koran 21:30....................................................., that We made every living thing from water?
alikuwa anajumuisha kina nani kwenye kuumba

Kuna viumbe Allah kasema kaviumba kwa moto , huo moto ulitoka kwenye maji au?
 
Nimekujibu ,huna höja umebaki eti husomi
 
Kwa nini unakwepa swali la msingi anaposema "We" wakati akiwa anaumba , hiyo "WE" maana yake nini

Koran 21:30....................................................., that We made every living thing from water?
alikuwa anajumuisha kina nani kwenye kuumba

Kuna viumbe Allah kasema kaviumba kwa moto , huo moto ulitoka kwenye maji au?
Nimekwambia Mungu kwenye Qur'an anatumia pronouns apendavyo

anatumia first person singular, anatumia third person anatumia plural of Majesty

Wewe unasema plural of Majesty inatumika kwenye presence ya wengi, Hiyo siyo lazima, Kwa mfano Mfalme/Malkia anaweeza kuandika decree akiwa peke yake na akasema "We decree that every Tuesday will be a holiday",Na ikaeleweka kuwa anamaanisha "I decree that every Tuesday will be a holiday".

Tatizo ninaloliona kwako ni ufahamu mdogo wa grammar na context meaning za lugha ya kiarabu, Yaani unashikia bango kitu ambacho hata Makafiri wa Kiarabu waliokuwa wakimpinga Muhammad hawajawahi kuona ni ishu kwa sababu lugha yao ya kiarabu wanaijua vizuri. Mnakuja nyie miaka 1500 baadae mnachukua translation katika lugha nyingine then mnashangaa kwa nini kiarabu hakiendani na aina ya grammar za lugha zenu
 
Nimekwambia Mungu kwenye Qur'an anatumia pronoubs apendavyo

anatumia first person singular, anatumia third person anatumia pural of Majesty

Wewe unasema plural of Majesty inatumika kwenye presence ya wengi, Hiyo siyo lazima, Kwa mfano Mfalme/Malkia anaweeza kuandika decree akiwa peke yake na akasema "We decree that every Tuesday will be a holiday",Na ikaeleweka kuwa anamaanisha "I decree that every Tuesday will be a holiday".

Tatizo ninaloiona kwako ni ufahamu mdogio wa grammar na context meaning za lugha ya kiarabu, Yaani unashikia bango kitu ambacho Makafiri wa Kiarabu waliokuwa wakimpinga Muhammad hawajawahi kuona ni ishu. Mnakuja nyie miaja 1500 nachukua translation katika lugha nyingine then mnashangaa kwa nini kiarabu hakiendani na aina ya grammar za lugha zenu
Bado unashangaza Sana, Allah wakati anaumba anatumiaje Neno We wakati hakukua na chochote let's say ndo alikuwa anaumba

Unapo mfananisha Allah na mfalme wa unakosea Sana , Allah supposed to be god , mfalme anawatu wake ambao anafanya nao kazi ndio maana anatumia we , ata kiongozi wa kampuni anaweza akatumia we akijumuisha watu wake anaofanya nao kazi

Turudi kwenye swali
Koran 21:30....................................................., that We made every living thing from water?
alikuwa anajumuisha kina nani kwenye kuumba
 
Bado unashangaza Sana, Allah wakati anaumba anatumiaje Neno We wakati hakukua na chochote let's say ndo alikuwa anaumba

Unapo mfananisha Allah na mfalme wa unakosea Sana , Allah supposed to be god , mfalme anawatu wake ambao anafanya nao kazi ndio maana anatumia we , ata kiongozi wa kampuni anaweza akatumia we akijumuisha watu wake anaofanya nao kazi

Turudi kwenye swali
Koran 21:30....................................................., that We made every living thing from water?
alikuwa anajumuisha kina nani kwenye kuumba
Naona wewe sasa unaleta ubishi tu usio na msingi.

Jibu la hilo tumeshakupa kuwa kwa Lugha ya Kiarabu na hata kiingereza kutumia neno "We" siyo lazima imaanishe Wingi inaweza kumaanisha mtu mmoja lakini ikimply heshima ya power ya mamlaka

Sasa kama unalazimisha Jibu, basi sisi waislamu toka karne ya Saba tunaelewa hiyo kwa maana yangu ninayokupa sasa. Kama wewe una tafsiri yako tofauti basi baki nayo wewe lakini siyo yetu sisi waislamu
 
Nimeshamaliza kazi , muhandishi wa Koran alikuwa anajiwekea we ata maali pasipo husika if Allah is god amekosea kosea Sana kutumia we kwenye kuumba ,
Koran 21:30....................................................., that We made every living thing from water?
alikuwa anajumuisha kina nani kwenye kuumba.

Cha msingi mlisha onywa Sana KUHUSU Hafs kuwa ni muongo na mlaghai ona sasa Koran aliowapatia leo mnahangaika kijitetea sijui malkia sijui mfalme akiongea 😂 😂 😂 😂 na grammatical error kibao

Mara Allah amataje mungu na kumuomba Mungu awaangamize watu

Koran Allah akimuomba mwenyezi Mungu awaangamize wakristo na wayahudi
.........Mwenyezi Mungu awaangamize! Wanageuzwa namna gani hawa!
 
Wacha kupapatika soma unachoandikiwa
 
Back
Top Bottom